kenyans.co.ke
@kenyans Wed, 15 Jul 2026 11:50:10
KNEC Announces Mandatory Rehearsals for Some Candidates
This announcement comes days after KNEC announced the release of the results of thousands of the cohort of those particular students, and instructed to collect them at Mitihani House, South C, during weekdays.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 01:46:35
How to Buy Airtime with PayPal
PayPal is a widely used online payment service that allows you to pay for goods and services securely. While PayPal does not sell airtime directly, you can use it as a payment method on supported mobile recharge websites and apps. This enables you to top up your own phone or send airtime to someone else [...] The post How to Buy Airtime with PayPal appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 01:49:34
How to Buy All Network Minutes on Telkom
Telkom offers All Network Voice bundles that allow prepaid customers to make calls to any mobile network in South Africa. These once-off bundles are available in different minute allocations and validity periods, making them suitable for both light and frequent callers. You can purchase them using USSD, the Telkom app, the Telkom website, or selected [...] The post How to Buy All Network Minutes on Telkom appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 01:52:44
How to Buy Bank Repo Cars
Bank repossessed cars, often called repo cars, are vehicles that have been repossessed by financial institutions after owners failed to meet their loan repayments. These vehicles are usually sold through auctions or approved dealers to recover the outstanding debt. Buying a repo car can be a cost-effective way to own a vehicle, but it is [...] The post How to Buy Bank Repo Cars appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 01:55:45
How to Buy Bitcoin on Luno
Luno is a popular cryptocurrency platform that allows users to buy, sell, and store Bitcoin and other digital assets. Buying Bitcoin on Luno is straightforward once you have created and verified your account. Before investing, it is important to understand that cryptocurrency prices are highly volatile, and you should only invest money you can afford [...] The post How to Buy Bitcoin on Luno appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 01:57:57
How to Buy Bundles on Telkom
Telkom offers a variety of prepaid bundles, including data, voice, SMS, social media, and streaming bundles to suit different communication needs. Customers can purchase these bundles using USSD, the MyTelkom app, WhatsApp, online self-service, banking apps, or at Telkom stores. Learning how to buy bundles on Telkom helps you stay connected while managing your mobile [...] The post How to Buy Bundles on Telkom appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 02:01:57
CBK assures Kenyans of stable shilling as forex reserves expected to grow
The Central Bank of Kenya (CBK) has assured Kenyans that the country's currency will remain stable as Kenya expects to receive more US dollars from recent government asset sales. CBK Governor Kamau Thugge said the additional foreign currency inflows will strengthen the countrys foreign exchange reserves, helping protect the economy from both local and global [...] The post CBK assures Kenyans of stable shilling as forex reserves expected to grow appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 02:06:30
KEPSA CEO Carole Kariuki appointed to Equity Bank Kenya board
Kenya Private Sector Alliance (KEPSA) Chief Executive Officer Carole Kariuki has been appointed to the Board of Directors of Equity Bank Kenya, adding her extensive private sector leadership experience to the lenders governance team. Kariuki will continue serving as an Independent Non-Executive Director at the Nairobi Securities Exchange (NSE) while taking up her new role [...] The post KEPSA CEO Carole Kariuki appointed to Equity Bank Kenya board appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 02:11:26
Education Ministry admits delayed capitation has pushed universities, TVETs into financial crisis
The Ministry of Education has admitted that persistent delays and inadequate disbursement of capitation funds have plunged public universities, Technical and Vocational Education and Training (TVET) institutions and teacher training colleges into financial distress. Education Cabinet Secretary Julius Migos Ogamba acknowledged the funding challenges while appearing before the National Assembly Public Investments Committee on Governance [...] The post Education Ministry admits delayed capitation has pushed universities, TVETs into financial crisis appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 16 Jul 2026 01:55:30
Mshukiwa aliyedaiwa kufa Shakahola ajitokeza kortini
MSHUKIWA anayekabiliwa na mashtaka ya kuua bila kukusudia pamoja na mhubiri Paul Mackenzie katika kesi ya vifo vya Shakahola, alishangaza Mahakama ya Mombasa baada ya kujitokeza binafsi na kusisitiza kuwa taarifa za kifo chake si za kweli. Moses Karema, anayejulikana pia kama Charif, alisema yuko hai na akapinga ushahidi uliotolewa awali na baba yake mahakamani ukidai alikuwa amefariki akazikwa. "Mimi sijafa. Ilisemekana nimekufa na mwili wangu ukakabidhiwa baba yangu kwa mazishi," Karema aliiambia mahakama. Karema ni mmoja wa washukiwa 95 wanaokabiliwa na mashtaka ya kuua bila kukusudia kuhusiana na vifo vya wafuasi 238 wa kanisa la Good News International la Mackenzie mwituni Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Akiwasilisha utetezi wake, Karema alisema kosa la kutangazwa kuwa amekufa linaonyesha kuwa upande wa mashtaka ulifanya makosa makubwa katika utambuzi wa miili, jambo ambalo, kwa mujibu wake, linadhoofisha ushahidi dhidi yake. Alisema aliitwa kutoka Gereza la Shimo la Tewa kufika Mahakama Kuu baada ya baba yake, Charo Mwathethe Mulewa, kutoa ushahidi katika kesi tofauti ya mauaji ya Shakahola akidai kuwa Karema alifariki, alifanyiwa uchunguzi wa maiti na kuzikwa. Kulingana naye, baba yake alipewa nyaraka zilizoonyesha alikuwa amefariki na akaomboleza na kumzika, kabla ya mahakama kubaini baadaye kuwa alikuwa hai. "Nilitolewa gerezani kwa sababu ilidaiwa nimekufa. Baba yangu alisema alikabidhiwa mwili wangu na hata alikuwa na ripoti ya uchunguzi wa maiti ikionyesha nimekufa na kuzikwa," alisema. Karema alisema ni katika kesi ya sasa ndipo alipoonyeshwa ripoti tofauti ya uchunguzi wa maiti ikionyesha kuwa aliyefariki alikuwa ndugu yake Emmanuel Charo. "Hati niliyoona leo ikionyesha Emmanuel ndiye aliyekufa sikuwahi kuonyeshwa awali. Inanishangaza kuona sasa ni ndugu yangu, si mimi, ndiye anayedaiwa kufa na kuzikwa. Walimfanya baba yangu aniomboleze nikiwa bado hai," alisema. Pia alipinga madai kuwa dada yake Sidi Charo Mwathethe alifariki Shakahola, akisema alikufa miaka mingi kabla hajazaliwa na kuzikwa nyumbani kwao Malindi. Aidha, alikanusha madai kuwa ndugu zake Emmanuel na Winnie walifariki msituni, akisema alipohamia Shakahola mwaka wa 2020 aliwaacha Malindi. Ingawa amekuwa rumande kwa miaka mitatu na hajui walipo sasa, alisisitiza anaamini bado wako Malindi. Karema alikiri kumiliki ekari nne za ardhi Shakahola ambako aliishi na mama yake Ann Kadzo pamoja na dada yake Janet, ambao pia ni washtakiwa wenzake. Alisema hao ndio pekee wa familia yake waliokuwa wakiishi naye na akaomba aachiliwe huru ili arudi nyumbani Shakahola. Hata hivyo, upande wa mashtaka ulishikilia kuwa, watu watano wa familia ya Karema waliripotiwa kutoweka, huku uchunguzi wa DNA na ushahidi mwingine ukihusisha baadhi yao na miili iliyofukuliwa Shakahola. Ushahidi ulionyesha Karema, mama yake na dada yake Janet walinusurika, huku ndugu zake Sidi, Winnie na Emmanuel wakifariki. Winnie alikuwa akiishi Shakahola na mumewe Alex wa Mashamba. Waendesha mashtaka pia walisema mabaki ya Emmanuel yalitambuliwa na kukabidhiwa familia, lakini baba yake alikataa kumzika kwa vile alitengana na mama yake miaka mingi iliyopita. Hatimaye mabaki yake ambayo yalikuwa mifupa, yalizikwa na mjomba wake. Upande wa mashtaka ulisema, mkanganyiko wa awali ulitokana na baba yake Karema kutambua kimakosa mabaki ya Emmanuel kama ya Karema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 16 Jul 2026 00:49:22
Loaded pistol recovered in dustbin at Moi International Airport, Mombasa
Security agencies are investigating an incident where a loaded pistol was recovered from a dustbin at Moi International Airport in Mombasa. The firearm was discovered on Wednesday night by a cleaner while emptying a rubbish bin near Terminal One. According to police, the cleaner noticed a black glove hidden among the trash and, upon inspecting [...] The post Loaded pistol recovered in dustbin at Moi International Airport, Mombasa appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 16 Jul 2026 00:55:31
Askofu atimua mapadri saba kwa ukosefu wa nidhamu na mwenendo mbaya
JIMBO la Katoliki ya Maralal limewasimamisha kazi mapadri saba na kutangaza sheria kali zitakazodhibiti mwenendo, matumizi ya fedha na maisha ya kila siku ya makasisi. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Askofu Hieronymus Emusugut Joya kusema kuwa tathmini ya kina aliyofanya ilibaini changamoto kubwa zilizokuwa zikikumba jimbo hilo. Katika barua ya kichungaji ya kurasa nne aliyoandika Julai 12, askofu huyo alisema hatua hizo zimetokana na karibu miaka minne ya uchunguzi, ukaguzi wa hesabu na mashauriano tangu alipochukua uongozi wa dayosisi hiyo mnamo Oktoba 2022. Askofu alisema alikuta jimbo hilo likikabiliwa na matatizo ya kifedha, kiutawala na kichungaji yaliyomlazimu kuanzisha mageuzi ya kurejesha uwajibikaji na nidhamu. "Ni jambo la kuhuzunisha kusema kwamba nilikuta dayosisi hii ikiwa na matatizo mengi lakini hakuna aliyekuwa tayari kuniambia chanzo chake wala jinsi ya kuyatatua," Askofu Joya aliandika katika barua hiyo iliyoripotiwa na shirika la habari za Kikatoliki la ACI Africa. Alisema moja ya hatua zake za kwanza ilikuwa kuimarisha hali ya dayosisi kupitia michango na harambee huku akiweka mifumo mipya ya kuboresha utawala na usimamizi wa fedha. "Hilo lilinisaidia kufanya tathmini ya dayosisi, kukagua hesabu za parokia zote, taasisi na ofisi, kuweka mifumo na miundo mipya, kufanya marekebisho na kulipa madeni pamoja na baadhi ya mikopo," alisema. Askofu huyo pia alitetea wito wake wa mara kwa mara wa kutafuta msaada wa kifedha akisema fedha zilizokusanywa zimebadilisha hali ya dayosisi. "Nataka kila mtu ajue kwamba nimechangisha mamia ya mamilioni ya pesa tangu nifike hapa, zaidi ya kiasi ambacho waumini wote wa dayosisi hii wamechangia Kanisa lao kwa miaka mingi, bila hata kuhesabu miradi mikubwa iliyotekelezwa moja kwa moja katika parokia na taasisi mbalimbali," alisema. Askofu Joya alisema pia amekuwa akikosolewa kwa madai kwamba hakuwachukulia hatua mapadri waliotuhumiwa kuishi kinyume na wito wao wa kuhudumu au kumiliki mali ambayo chanzo chake hakikuweza kufafanuliwa. Alisema alijizuia kuchukua hatua hadi alipokusanya ushahidi wa kuaminika. "Sijawahi kumshuku wala kumwajibisha padri yeyote bila kuwa na taarifa za kuaminika. Kwa kuwa sasa nina taarifa hizo na nimewatambua mapadri husika, natangaza mambo mawili," alisema. Baadaye askofu alitangaza kuwasimamisha kazi mapadri saba na kuanzisha kanuni mpya za maadili kwa makasisi kwa mujibu wa Sheria za Kanisa. Miongoni mwa masharti mapya, mapadri wote wanatakiwa kurejea katika vituo vyao kabla ya saa moja jioni kila siku kwa ajili ya sala za jioni. Pia hawataruhusiwa kulala nje ya makazi yao bila idhini ya askofu. Maagizo hayo pia yanakataza watu wa kawaida kulala au kuishi katika nyumba za mapadri au nyumba za watawa bila kibali cha askofu. Aidha, mapadri wamepigwa marufuku kunywa pombe katika baa au kuongoza Misa na ibada nyingine za Kanisa wakiwa wamelewa au wakiwa bado wanasumbuliwa na athari za ulevi. Barua hiyo pia inawakataza mapadri kujihusisha na biashara binafsi nje ya kazi za Kanisa au kumiliki utajiri na mali ambayo hawawezi kueleza chanzo chake kwa njia ya kuridhisha. Mageuzi hayo pia yanahusu usimamizi wa fedha katika dayosisi nzima. Askofu Joya ameagiza parokia na taasisi zote za Kanisa kuimarisha kamati za fedha, kuandaa bajeti za kila mwaka, kufanyiwa ukaguzi wa hesabu mara kwa mara na kuhakikisha rasilimali za Kanisa zinasimamiwa kwa uwazi. Pia ameweka masharti makali kuhusu matumizi ya magari ya dayosisi na kuwaagiza mapadri kutii kikamilifu sheria za Kanisa pamoja na sheria za Kenya. Askofu alisema mageuzi hayo yanalenga kulinda heshima ya upadri, kuboresha usimamizi wa rasilimali za Kanisa na kurejesha imani ya waumini. Katika barua hiyo ya kichungaji iliyoripotiwa kwanza na ACI Africa, askofu alisema hatua hizo za kinidhamu zilifuatia tathmini yake pamoja na kupokea taarifa alizozitaja kuwa za kuaminika kuhusu mwenendo wa baadhi ya mapadri na usimamizi wa mali ya Kanisa.
read moreRight Column Content