kahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 05:12:56
Tyrone Hill Net Worth
Tyrone Hill has an estimated net worth of $20 million. The retired American professional basketball player built his fortune during a 14-season NBA career, earning millions of dollars in player salaries while establishing himself as one of the leagues dependable power forwards. He played for the Golden State Warriors, Cleveland Cavaliers, Milwaukee Bucks, Philadelphia 76ers [...] The post Tyrone Hill Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 05:23:47
Charles Oakley Net Worth
Charles Oakley has an estimated net worth of $12 million. The retired American professional basketball player built his wealth during a 19-year NBA career, earning millions of dollars through contracts with several teams, including the Chicago Bulls, New York Knicks, Toronto Raptors, Washington Wizards and Houston Rockets. Oakley became known for his physical playing style, [...] The post Charles Oakley Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 12 Oct 2026 04:55:24
IEBC yalenga kuongeza vituo 9,000 vya kupiga kura kuelekea 2027
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini (IEBC) inapanga kuongeza zaidi ya vituo 9,000 vya kupigia kura kabla ya uchaguzi mkuu wa Agosti 10, 2027. Kwa sasa pendekezo la IEBC la kuongeza idadi ya wapigakura katika kila kituo kutoka 700 hadi 1,000 linakabiliwa na upinzani katika Bunge la Kitaifa. Stakabadhi rasmi ya IEBC iliyowasilishwa bungeni inaonyesha kuwa vituo vya kupigia kura vinatarajiwa kuongezeka kutoka 46,229 vilivyotumika katika uchaguzi wa 2022 hadi 55,393. Hii inatokana na lengo la tume kusajili wapigakura wapya milioni 6.3 kabla ya uchaguzi ujao. Hata hivyo, wabunge wanapinga pendekezo la kuongeza idadi ya wapigakura kwa kila kituo, wakitaka idadi ya sasa ya wapigakura 700 idumishwe. Pendekezo hilo katika Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa 2024 liliidhinishwa na Seneti mnamo Disemba 2024, lakini limekumbana na upinzani katika Bunge la Kitaifa. IEBC inakadiria kuhitaji vifaa 59,959 vya kielektroniki vya Kiems kwa shughuli za uchaguzi, vikiwemo vifaa 3,959 vitakavyotengwa kwa mafunzo ya maafisa wa uchaguzi katika maeneobunge. Mwenyekiti wa IEBC, Erastus Ethekon, alisema maeneo ya vituo vipya yataamuliwa baada ya zoezi la usajili wa wapigakura kukamilika. "Vituo vipya vitaanzishwa katika maeneo ambako vituo vya sasa vya kupigia kura na usajili wa wapigakura vinazidi wapigakura 700," akasema Bw Ethekon, akiongeza kuwa umbali na haja ya kusongeza vituo karibu na wapigakura pia zitazingatiwa. Kifungu cha 38A cha Sheria ya Uchaguzi kinaeleza kuwa idadi ya wapigakura katika kila kituo haipaswi kuzidi 700 ili kuhakikisha uchaguzi unaendeshwa kwa njia huru. Hata hivyo, Kamati ya Haki na Masuala ya Sheria ya Bunge la Kitaifa inapinga pendekezo la kuongeza idadi hiyo. "Mimi lazima nikiri kuwa tuna tatizo kidogo kuhusu kifungu hiki na vifungu vingine. Tutapendekeza marekebisho wakati mswada huu utakapowasilishwa kusomwa kwa mara ya tatu," akasema Mbunge wa Tharaka George Murugara, ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo. Bw Ethekon alisema tume itahifadhi sajili ya sasa ya wapigakura milioni 22.3 na kuongeza wapya milioni 6.3, na hivyo kufikisha jumla ya milioni 28.63. Mchakato wa kuhakiki na kuthibitisha sajili hiyo utafanywa miezi sita kabla ya uchaguzi wa 2027. IEBC sasa inaachana na matumizi ya takwimu za sensa kuweka malengo ya usajili, ikipendelea takwimu kutoka Idara ya Usajili wa Watu na Idara ya Huduma za Uhamiaji kuhusu vitambulisho vya taifa na pasipoti zilizotolewa. Tume inasema mfumo wa zamani haukuwa sahihi wala rahisi kuthibitishwa, kwa kuwa takwimu za sensa zinajumuisha watu wasiostahili kupiga kura, wakiwemo wasio raia na wakimbizi. Badala yake, IEBC itatumia mfumo wa idadi ya watu wanaostahili kujiandikisha kama wapigakura, kwa kuzingatia barua zinazohitajika kisheria. Katiba, chini ya Ibara ya 83, inahitaji raia kuwa na kitambulisho cha taifa au pasipoti halali ya Kenya ili kusajiliwa kama mpigakura. Ili kufikia lengo lake, tume itaendeleza usajili katika afisi zote 290 za maeneobunge, vituo vya Huduma Center, wadi, taasisi za elimu ya juu na Wakenya wanaoishi ughaibuni. IEBC inasema mikakati hiyo itasaidia kuweka malengo halisi, kutumia rasilimali kwa ufanisi na kuhakikisha Wakenya wengi zaidi wanapata nafasi ya kujiandikisha kupiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sun, 11 Oct 2026 13:51:31
CS Ogamba leads Mazingira Day celebrations in Kisii
Education Cabinet Secretary Migos Ogamba led residents of Kisii in a tree planting exercise at Nyangweta Forest in Etago Sub County to mark this years Mazingira Day celebrations. The celebration was a culmination of the Mazingira Week running from October 5th to October 10th under the theme "Our environment, our responsibility: collective action for tree...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 12 Oct 2026 04:27:31
Kiambu intensifies flood prevention works in Kiamumbi, Township and Thindigua
Kiambu Township Ward is undertaking targeted drainage works in Kiamumbi, Township and Thindigua to address known water-flow bottlenecks and reduce the risk of flooding as the county prepares for the anticipated El Niño rains. Speaking to Kenya News Agency, Ward Administrator Job Amisi said a multiagency team had intensified the clearing of silt, unblocking, repairing...
read morekenyans.co.ke
@kenyans Mon, 12 Oct 2026 04:15:49
Gachagua Ally Names Opposition Moles, Links Them to Ruto
The move comes days after DCP leader Rigathi Gachagua alleged that some principals within the opposition are threatening to go their own way if they are not picked as the opposition flagbearer.
read moreRight Column Content