kahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 01 Oct 2026 03:57:21
Ronaldo leaves Portugal camp after coach denies rift
Cristiano Ronaldo says he has left Portugals international camp and will explain the reasons why in time. It comes after head coach Jorge Jesus earlier said there was no rift with the captain, following claims the five-times Ballon dOr winner had refused to train. Ronaldo has said he considered retiring from international football after the [...] The post Ronaldo leaves Portugal camp after coach denies rift appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 01 Oct 2026 04:00:47
Maria Bartiromo Net Worth
Maria Bartiromo is an American journalist, author, columnist, and television news anchor who has an estimated net worth of $50 million. She built her wealth through a decades-long career in financial television, including major roles at CNBC and Fox Business Network, as well as income from books and other professional work. Bartiromo became one of [...] The post Maria Bartiromo Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 01 Oct 2026 03:55:32
Orengo anaelekea wapi kisiasa? Mdahalo wachacha akikosa mikutano ya upinzani
KUKOSEKANA kwa Gavana wa Siaya James Orengo katika mikutano kadhaa muhimu ya viongozi wa upinzani katika siku za hivi majuzi kumezua mjadala mkubwa kuhusu hatua yake ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Kwa mwanasiasa ambaye amekuwa nguzo muhimu katika siasa za upinzani kwa miongo kadhaa, kila hatua yake au hata kutokuwepo kwake katika hafla muhimu huibua maswali mengi. Hali hiyo imefanya wengi kujiuliza iwapo Orengo anajiandaa kujiunga na muungano mpya wa kisiasa au anapanga kuanzisha mkondo wake mwenyewe. Baada ya kuwa kimya kwa muda, Orengo alijitokeza Septemba 21 wakati wa uzinduzi wa muungano mpya wa The Ukombozi Alliance, uliobadilishwa jina kutoka Azimio la Umoja One Kenya Coalition Party. Watazamaji wa kisiasa walitafsiri hatua hiyo kama ishara kwamba huenda alikuwa akijipanga kupata nafasi mpya katika upinzani. Hata hivyo, siku chache baadaye alikosekana katika kikao muhimu cha viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi ambapo Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna aliidhinishwa kuwa mgombea wa urais wa muungano huo katika uchaguzi wa 2027. Kutokuwepo kwake kulionekana kuwa na uzito mkubwa kwa sababu hapo awali jina lake lilikuwa likitajwa miongoni mwa wale waliokuwa wakitazamwa kama viongozi wanaoweza kuwania nafasi ya juu katika muungano huo. Orengo pia hakuhudhuria mkutano wa kisiasa uliofanyika Narok licha ya jina lake kuwekwa kwenye mabango ya viongozi walioalikwa. Viongozi waliokuwepo ni pamoja na kiongozi wa muda wa Jubilee Fred Matiang'i na kiongozi wa People's Party of Kenya Ndindi Nyoro. Katika mahojiano maalum, Orengo aliwataka wafuasi wake kuwa watulivu huku akisema bado anaunga mkono umoja wa upinzani katika mapambano ya kuleta mabadiliko nchini. "Ninaunga mkono mapambano ya mageuzi yanayohitaji umoja na hatua za kisiasa. Wafuasi wangu wawe watulivu. Nitafafanua hatua yangu inayofuata kwa wakati unaofaa," alisema. Ingawa hakufichua mipango yake, taarifa zinaonyesha kuwa Orengo anafikiria kufufua chama cha Liberal Democratic Party (LDP), ambacho zamani kilihusishwa na Raila Odinga na marehemu Dennis Kodhe. Kidokezo kubwa zaidi kilitolewa Jumatano alipoweka ujumbe kwenye mitandao ya kijamii akisema, "Maadhimisho ya Baba yanakaribia, jiandaeni," akiambatisha picha ya kofia yenye rangi rasmi za LDP, yaani kijani, bluu na nyeupe. Wadadisi wa siasa wanaamini kuwa hatua hiyo huenda ikawa njia ya Orengo kujijengea nafasi mpya ya kujadiliana na makundi mbalimbali ya upinzani, yakiwemo Ukombozi Alliance na Linda Mwananchi. Chanzo cha karibu naye kinasema Orengo anaamini eneo la Nyanza linafaa kuwa na sauti yenye uzito zaidi katika siasa za upinzani. Wafuasi wake wanahisi baadhi ya viongozi ndani ya Linda Mwananchi wanajaribu kupunguza ushawishi wake. Hata hivyo, Seneta wa Kakamega Boni Khalwale amepuuzilia mbali madai ya mzozo mkubwa ndani ya vuguvugu hilo. Amesema tofauti za maoni kati ya Orengo, Sifuna na mbunge Babu Owino ni jambo la kawaida katika mfumo wa vyama vingi. Kwa sasa, hatua anayopanga Orengo bado ni siri. Lakini uchaguzi wa 2027 unapokaribia, kila ishara inaonyesha kuwa gavana huyo wa Siaya anajitayarisha kufanya uamuzi muhimu ambao unaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa za upinzani nchini.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 01 Oct 2026 03:23:32
Charles Payne Net Worth
Charles Payne has an estimated net worth of $9 million. The American financial journalist and television host is best known for his work with Fox Business, where he has built a career covering the stock market, investing, entrepreneurship and economic issues. Payne is the host of Making Money with Charles Payne, a Fox Business program [...] The post Charles Payne Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 01 Oct 2026 03:00:00
By hook or crook: Sh2.2tr Lamu refinery project kicks off amid scrutiny
Kenya has launched construction of the Sh2.2 trillion Dangote East Africa refinery in Lamu, with regional leaders backing greater local processing of African resources.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 01 Oct 2026 02:55:24
Mbwembwe ujenzi wa kiwanda cha kipekee Afrika Mashariki ukianza Lamu
KENYA imezindua rasmi ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta na bidhaa za petroli cha Dangote East Africa Petroleum Refinery and Petrochemicals SEZ katika Kaunti ya Lamu, mradi unaotarajiwa kugharimu takriban Sh2 trilioni. Shughuli ya uwekaji jiwe la msingi iliongozwa na Rais William Ruto katika Bandari ya Lamu jana na kuhudhuriwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Benin Romuald Wadagni na Rais wa Togo Jean-Lucien Savi de Tové. Mwekezaji mkuu wa mradi huo, bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, pia alikuwepo. Rais Ruto alisema mradi huo ni hatua muhimu katika juhudi za Afrika za kujitegemea kiuchumi kwa kusindika rasilimali zake badala ya kuziuza kama malighafi. "Mradi huu ni zaidi ya kiwanda cha kusafisha mafuta. Ni uwekezaji katika usalama wa kawi, ukuaji wa viwanda na ushirikiano wa kikanda. Ni thibitisho kuwa Afrika sasa inaweza kufadhili, kujenga na kuongeza thamani ya bidhaa zake hapa nyumbani," alisema Rais Ruto. Aliongeza kuwa kwa muda mrefu Afrika imekuwa ikitoa malighafi huku mataifa mengine yakinufaika kwa kuzisindika, kuzitengeneza na kupata ajira pamoja na mapato yanayotokana nazo. Kwa mujibu wa Rais, Kenya ilitumia zaidi ya Sh530 bilioni mwaka uliopita kuagiza bidhaa za mafuta kutoka nje, hali inayoonyesha umuhimu wa kuwa na uwezo wa kuzalisha bidhaa hizo ndani ya eneo hili. "Lazima tuzalishe zaidi ya tunachotumia. Lazima tuongeze thamani ya bidhaa tunazozalisha na kupunguza kutegemea bidhaa zinazoagizwa kutoka nje," alisema. Rais Museveni aliunga mkono maono hayo akisema viwanda vitasaidia kufungua fursa mpya za kiuchumi katika eneo la Afrika Mashariki. Alitumia mfano wa msimamo wa Uganda wa kutotuma madini ya chuma kusindikwa nje ya nchi ili kusisitiza umuhimu wa kuongeza thamani ya rasilimali ndani ya nchi husika. Kiongozi huyo pia alitoa wito wa kuharakishwa kwa muungano wa Afrika Mashariki ili kurahisisha biashara, uwekezaji na uhamaji wa wafanyakazi katika ukanda huu. "Tunapaswa kuwa na Shirikisho la Afrika Mashariki ambapo wananchi wanaweza kuvuka mipaka kwa urahisi na kufanya kazi popote katika eneo hili," alisema. Kwa upande wake, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed alisema hatua ya Afrika kutegema pakubwa masoko ya nje umefanya bara hili kukumbwa na misukosuko ya bei na changamoto za ugavi wa bidhaa muhimu. Alisema kiwanda cha Lamu kitasaidia kuleta huduma za usindikaji wa mafuta karibu na soko la Afrika Mashariki na kupunguza gharama ya kupata bidhaa za petroli. "Kadri viwanda na idadi ya watu vinavyoongezeka, mahitaji ya mafuta nayo yanaongezeka. Mradi huu utakuwa na mchango mkubwa katika sehemu hii ya bara," alisema. Bilionea Aliko Dangote alisema mradi huo unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 40 ijayo na utakuwa mfano wa kile ambacho Waafrika wanaweza kufanikisha wanaposhirikiana. Alisema Afrika imebarikiwa kwa rasilimali nyingi lakini inaendelea kupoteza mapato kwa kuuza malighafi na kuagiza bidhaa zilizotengenezwa. "Lazima Afrika ijitosheleze. Hatupaswi kutegemea nchi nyingine kwa bidhaa muhimu. Asilimia 94 ya dawa tunazotumia zinaagizwa kutoka nje. Tunahitaji kujenga viwanda vyetu na kuimarisha uzalishaji wa ndani," alisema. Dangote aliongeza kuwa kundi lake linapanga kuwekeza zaidi katika sekta mbalimbali za Afrika ifikapo mwaka 2030, zikiwemo madini, viwanda, bandari na kawi. Mradi wa Lamu unatarajiwa kuwa msingi wa maendeleo ya mji mkubwa wa viwanda unaozunguka bandari hiyo. Pia utaongeza mahitaji ya huduma za usafirishaji, uhandisi, ujenzi, makazi na kawi huku ukifungua maelfu ya nafasi za kazi. Viongozi waliohudhuria hafla hiyo walisisitiza kuwa maendeleo ya Afrika yatapatikana kupitia ongezeko la viwanda, usindikaji wa rasilimali ndani ya bara na ushirikiano wa kikanda unaolenga kuboresha maisha ya wananchi na kukuza uchumi wa mataifa ya Afrika.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 30 Sep 2026 20:42:26
Sussexes condemn 'reckless intrusion' after men spotted near Archie and Lilibet's school
The Duke and Duchess of Sussex have accused an international photographer of extraordinary recklessness for looking into the grounds of the school attended by their children, Prince Archie and Princess Lilibet. Two men, both wearing backpacks, were spotted circling the perimeter of the school, with police later identifying one of them as an international press [...] The post Sussexes condemn reckless intrusion after men spotted near Archie and Lilibets school appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 30 Sep 2026 20:51:34
Hegseth expected to fire more top ranking US military
Defence Secretary Pete Hegseth is expected to announce the firings of 20% of admirals and generals across the US Armed Forces, according to US media. The announcement is anticipated Wednesday at Marine Corps Base Quantico in Virginia, adding to an earlier round of personnel cuts in 2025. There are over 800 active-duty generals and admirals [...] The post Hegseth expected to fire more top ranking US military appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 30 Sep 2026 20:55:05
Ethiopia fighting escalates in Tigray killing 52 civilians, medic tells the BBC
At least 52 civilians have been killed during three days of heavy fighting around Alamata in Ethiopias northern Tigray region, hospital sources have told the BBC. It appears government troops have taken control of the town from regional fighters and intend to push north towards Mekelle, the regions main city. Social media clips show army [...] The post Ethiopia fighting escalates in Tigray killing 52 civilians, medic tells the BBC appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 30 Sep 2026 21:01:13
Wicknell Chivayo, wife among dead in Zimbabwe helicopter crash
Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo and his wife, Lucy "Lulu" Muteke, are reported to have been killed after a helicopter crashed in Marondera Rural, east of Harare, on Wednesday evening. The Zimbabwean government confirmed that the crash was fatal and that there were no survivors. Government spokesperson Nick Mangwana said the aircraft was carrying a high-profile [...] The post Wicknell Chivayo, wife among dead in Zimbabwe helicopter crash appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 30 Sep 2026 21:12:05
Tragic Final Flight of Wicknell Chivayo: What We Know About the H120 Colibri
The world of Zimbabwean high society was rocked this week by the devastating news of a helicopter crash in the Marondera Rural area, a tragedy that claimed the lives of prominent businessman Wicknell Chivayo, his wife Lucy Lulu Muteke, and four others. The crash, which occurred around 5 p.m., left no survivors and has left [...] The post Tragic Final Flight of Wicknell Chivayo: What We Know About the H120 Colibri appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 30 Sep 2026 21:16:00
List of Recent Helicopter Crashes Worldwide
The tragic crash in Zimbabwe is a heartbreaking reminder of the inherent risks of aviation. While flying remains one of the safest modes of transportation, accidents do happen, and when they involve helicopters, they often capture global attention. Here is a look at some of the other significant helicopter crashes reported around the world in [...] The post List of Recent Helicopter Crashes Worldwide appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content