kahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 05 Sep 2026 01:51:59
At least five people killed in accident in Kitui
Five people were killed and three others injured after a Mitsubishi lorry veered off the road and landed in a trench in Kitui County. The accident occurred on September 4, 2026, in the Kasarani area along the Kasala murram road in Ikutha Sub-County. According to police, the vehicle, registration, was transporting goods to Kasala Market [...] The post At least five people killed in accident in Kitui appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 05 Sep 2026 01:56:09
Boy dies after falling from third-floor balcony in Umoja
A four-year-old boy died after falling from the balcony of a third-floor apartment at Mwalimu Court in Nairobi's Umoja Two area. Police said the juvenile, fell from the balcony of his family's residential house at about 8:40pm on September 4, 2026. The child was rushed to Penda Medical Hospital, where he was pronounced dead on [...] The post Boy dies after falling from third-floor balcony in Umoja appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 05 Sep 2026 01:55:50
Mzozo wa fidia Mau wazuka tena familia 15,000 zikidai kuachwa nje
MPANGO wa kufidia familia zilizofurushwa kutoka Msitu wa Mau umeibua tena mzozo wa kibinadamu na kisiasa katika eneo la South Rift, huku maelfu ya waathiriwa wakidai serikali imewatelekeza. Zaidi ya familia 15,000 ambazo hazikujumuishwa katika mpango wa fidia sasa zinataka kulipwa. Zinadai baadhi ya maafisa wa serikali waliingiza majina ya jamaa na washirika wao katika orodha ya walionufaika, licha ya kutokuwa waathiriwa. Mzozo huo ulizuka baada ya Rais William Ruto kutangaza Agosti 26 katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Tendwet, Narok Kusini, kuwa serikali ilikuwa imelipa familia 13,000 zilizofurushwa Mau mwaka 2019. Serikali ilikuwa imesajili familia 28,000 kuwa waathiriwa wa zoezi hilo. Hata hivyo, haikutoa maelezo ya kwa nini familia 15,000 ziliachwa nje ya mpango wa fidia. Rais Ruto alisema Sh2.6 bilioni zimetolewa kwa familia 13,000, kila moja ikipokea Sh200,000 kupitia simu zao. "Leo tunatoa Sh2.6 bilioni kwa jumla ya familia 13,000 zilizofurushwa kutoka Msitu wa Mau. Kila familia sasa itapokea Sh200,000 kama fidia," alisema. Alisema familia nyingine 2,000 zilizokuwa zinaishi katika kambi za wakimbizi wa ndani zilishapokea fidia ya Sh300,000 kila moja, hatua iliyowezesha kufungwa kwa kambi hizo baada ya zaidi ya miaka sita. Rais Ruto alisema suala la Mau lilikuwa limefikia mwisho. Hata hivyo, tangazo hilo limefufua mzozo huo badala ya kuumaliza. Familia zilizoachwa nje zimelalamika na kutishia kurejea katika Msitu wa Mau iwapo serikali haitazifidia kama wenzao waliolipwa. Katika mkutano uliofanyika Olmekenyu mnamo Alhamisi, maelfu ya waathiriwa walitaka serikali ieleze kwa nini waliondolewa kwenye orodha ya walionufaika. Walisema serikali ina siku saba kutoa suluhisho kabla yao kuchukua hatua zaidi. Diwani wa wadi ya Mara, Kipngeno Chepkwony, ambaye ndiye kiongozi pekee aliyezungumza na waathiriwa hao, aliitaka serikali kuchunguza suala hilo upya. "Tuongee na serikali na hasa Rais kuhusu suala hili ili tupate suluhisho la kudumu. Tusiruhusu suala hili kutumiwa kisiasa ili watu walioachwa nje ya mpango wa fidia waweze kuzingatiwa na kulipwa," alisema. Mmoja wa waathiriwa, Fred Mutai, alisema familia zimevumilia kwa muda mrefu. "Familia zimeteseka kwa muda mrefu, lakini serikali imeongeza chumvi na pilipili kwenye kidonda cha zamani na kufanya hali ambayo tayari ilikuwa dhaifu kuwa mbaya zaidi," alisema. Afisa wa DCP Leonard Cheruiyot alisema Sh200,000 hazitoshi na serikali ilipaswa kununua ardhi na kuwapa waathiriwa makazi mapya.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 05 Sep 2026 00:55:27
Ruto aagiza maafisa wa polisi kuheshimu haki za binadamu
RAIS William Ruto amewataka maafisa wa usalama nchini kuzingatia haki za binadamu, uwajibikaji na utaalamu wanapotekeleza majukumu yao, huku serikali ikiendeleza mageuzi makubwa yanayolenga kuboresha huduma za polisi nchini. Akizungumza Ijumaa katika hafla ya kufuzu kwa kundi la 59 la makurutu wa Huduma ya Polisi wa Utawala katika Chuo cha Kitaifa cha Polisi, Embakasi, Rais alisema kuwa mageuzi yanayoendelea katika Huduma ya Kitaifa ya Polisi yanalenga kujenga taasisi yenye uwajibikaji na inayowahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. "Katiba inataka Huduma ya Kitaifa ya Polisi kudumisha taaluma na nidhamu, kuzuia ufisadi, kuzingatia uwazi na uwajibikaji, kuheshimu haki za binadamu na kudumisha imani ya wananchi," alisema Rais Ruto. Aliongeza kuwa misingi hiyo inapaswa kuongoza kila hatua ya maafisa wa polisi, kuanzia kukamatwa kwa washukiwa, uchunguzi wa makosa ya jinai, usimamizi wa mikusanyiko ya umma hadi mahusiano yao ya kila siku na wananchi. Rais pia aliwakumbusha maafisa hao kuwa Katiba inalinda haki na uhuru mbalimbali ikiwemo uhuru wa kujieleza, kujiunga na vyama, kukusanyika, kuandamana na kushiriki shughuli za kisiasa, na kwamba polisi wana wajibu wa kulinda haki hizo. "Katiba yetu pia inahakikisha uhuru wa kujieleza, kujumuika, kukusanyika, kuandamana na kushiriki kisiasa. Hizi ni haki muhimu katika mfumo wetu wa kidemokrasia na lazima ziheshimiwe na kulindwa," alisema. Rais alisema mageuzi ya polisi yanafanywa kwa manufaa ya umma na yanagharamiwa kwa fedha za walipa kodi, hivyo kila hatua katika mchakato huo lazima iwe wazi na iweze kuchunguzwa na wananchi. "Mpango huu wote wa mageuzi unatekelezwa kwa maslahi ya umma na kwa kutumia rasilimali za umma," alisema, akiongeza kuwa kila kipengele cha mageuzi hayo kinapaswa kuhimili uchunguzi wa wananchi. Aliwaambia maafisa waliofuzu kuwa mafanikio ya mageuzi hayo hayatapimwa kwa sera, hotuba, sare mpya au vifaa vya kisasa pekee, bali kwa namna wananchi wa kawaida watakavyohudumiwa. "Yatapimwa kwa kuangalia kama afisa anaitikia anapohitajika, anatekeleza sheria bila upendeleo, anakataa rushwa, analinda walio katika mazingira magumu, anaheshimu utu wa binadamu na anawatendea Wakenya wote kwa usawa mbele ya sheria," alisema Rais. Aliwataka maafisa hao kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri lakini pia kwa kujizuia na kuonyesha utu. "Hudumuni kwa ujasiri, lakini kwa kujizuia; tumieni mamlaka yenu, lakini kwa uwajibikaji; na tekelezeni sheria, lakini kwa ubinadamu," alisema. Kauli za Rais zilijiri huku Waziri wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa Kipchumba Murkomen akikanusha madai kwamba kuna vitengo vya polisi vinavyofanya kazi nje ya mamlaka ya Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja. Murkomen alisema madai hayo hayana ukweli na yanalenga kupotosha umma kuhusu muundo wa uongozi ndani ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi. "Wale wanaodai kwamba kuna vitengo ndani ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi vinavyofanya kazi nje ya mamlaka ya Inspekta Jenerali ni wapotoshaji wa ukweli," alisema. Alisisitiza kuwa serikali itaendelea kuunga mkono uhuru wa Huduma ya Kitaifa ya Polisi na kuilinda dhidi ya ushawishi wa nje. "Tutaendelea kuunga mkono uhuru wa NPS dhidi ya aina yoyote ya kuingiliwa kutoka nje," alisema. Murkomen alisema mageuzi yanayotekelezwa kwa sasa yanatokana na mapendekezo ya Jopokazi la Kitaifa kuhusu Mageuzi ya Polisi lililoongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga. Kwa mujibu wake, mageuzi hayo yanalenga kuunda huduma ya polisi yenye utaalamu, iliyoandaliwa vizuri, iliyo na vifaa vya kisasa na inayoweka maslahi ya wananchi mbele. Miongoni mwa hatua zilizokwisha kutekelezwa ni kuboresha mitaala ya mafunzo ya polisi ili kuweka mkazo zaidi kwenye haki za binadamu, katiba na utawala wa sheria. "Moja ya mambo yaliyofanyika ni kuboresha mtaala wa mafunzo. Sasa unajumuisha mafunzo kuhusu haki za binadamu, utawala wa kikatiba na utawala wa sheria," alisema Murkomen. Waziri huyo alisema serikali pia inawekeza pakubwa katika teknolojia na vifaa vya kisasa ili kuboresha operesheni za usalama na utoaji huduma kwa wananchi. Rais alisema ustawi wa maafisa wa polisi umepewa kipaumbele katika mageuzi hayo. Alieleza kuwa serikali imekamilisha awamu tatu za nyongeza ya mishahara, hatua iliyoongeza mshahara wa msingi wa konstebo wa polisi kwa asilimia 36.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 05 Sep 2026 00:02:13
Flight price rises due to 'foolish leaders' starting wars, Virgin's Branson says
Virgin Group founder Sir Richard Branson has blamed flight price rises on foolish leaders starting wars, in a thinly veiled reference to the US-Israel conflict with Iran. Middle East tensions have choked the production and transportation of millions of barrels of oil, causing a surge in the price of car and jet fuels, which are [...] The post Flight price rises due to foolish leaders starting wars, Virgins Branson says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 05 Sep 2026 00:06:47
Lauryn Hill, Wyclef and Giggs among surprise guests at Jay-Z's long-awaited UK show
Jay-Zs first headline solo show in the UK in more than a decade saw him celebrate hip-hop culture alongside a host of special guests, including Lauryn Hill, Wyclef Jean and Giggs. The US rap superstar rolled back the years for more than two hours playing hits like 99 Problems, Empire State of Mind and [...] The post Lauryn Hill, Wyclef and Giggs among surprise guests at Jay-Zs long-awaited UK show appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 05 Sep 2026 00:10:43
Board orders IEBC to review, amend tender over unclear, insufficiently objective requirements
The Public Procurement Administrative Review Board (PPARB) has ordered the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) to review, amend and republish its tender for the Integrated Elections Management System (IEMS). This is over multiple deficiencies in the procurement document ahead of the 2027 General Election. In a decision delivered on September 3, the Board partially [...] The post Board orders IEBC to review, amend tender over unclear, insufficiently objective requirements appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 04 Sep 2026 23:55:55
Why are European countries moving their gold out of North America?
When the central bank of the Netherlands confirmed this week that it had moved tonnes of the countrys gold out of North America, it said the relocation would make it better prepared for severe crises. Some 86 tonnes from the combined total of about 313 tonnes held in the US and Canada were relocated to [...] The post Why are European countries moving their gold out of North America? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 04 Sep 2026 23:58:57
Indian state gives taxi and tuk-tuk drivers a year to learn local language
An Indian state has given taxi and tuk-tuk drivers one more year to learn the local language after a new rule making it mandatory sparked protests. Transport officials in the western state of Maharashtra had begun testing drivers ability to conduct basic conversations in Marathi, the states official language, on 20 August. Those who failed [...] The post Indian state gives taxi and tuk-tuk drivers a year to learn local language appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 04 Sep 2026 23:55:13
Simu zatumika kufuatilia kuenea kwa Ebola DRC
MAAFISA wa afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameanza kutumia data ya simu za mkononi kufuatilia mienendo ya watu na kutambua maeneo ambayo Ebola inaweza kuenea. Hii ni kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO). Teknolojia hiyo, ambayo haijawahi kutumika katika kukabiliana na mlipuko wa Ebola, huchanganua taarifa mbalimbali ya mawasiliano ya watu. Hivyo, wataalamu wanaweza kukadiria maeneo ambayo watu husafiri na kutambua maeneo yaliyo katika hatari. Uchambuzi huo unafanywa na shirika la Sweden, Flowminder, kwa kutumia data inayotolewa bila malipo na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom. Taarifa hizo hukusanywa kwa njia fiche bila watafiti kuingilia taarifa binafsi za watumiaji. Kisangani, kitovu muhimu cha usafiri, kilitambuliwa mapema kuwa katika hatari kutokana na idadi kubwa ya wasafiri kutoka maeneo yaliyoathiriwa. WHO iliimarisha maandalizi huko kabla ya visa vya kwanza kugunduliwa. Hadi sasa, mlipuko huo umeenea katika majimbo sita, huku zaidi ya watu 6,250 wakiambukizwa na 3,039 kufariki tangu mlipuko huo kutangazwa Mei 15. Ugonjwa huo unasababishwa na Bundibugyo, ambayo haina chanjo wala tiba iliyoidhinishwa.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 04 Sep 2026 22:55:30
Onyo latolewa kuhusu usalama wa maziwa upungufu ukiendelea
WASIWASI kuhusu usalama wa maziwa umeongezeka huku upungufu wa bidhaa hiyo ukiendelea kushuhudiwa nchini, na kusababisha ongezeko la bei pamoja na kuibuka kwa wauzaji wasio rasmi. Wataalamu wa afya ya umma wameonya kuwa uhaba wa maziwa unaweza kuwafanya baadhi ya wafanyabiashara kutumia mbinu zisizofaa ili kukidhi mahitaji ya soko. Miongoni mwa hofu zilizopo ni uwezekano wa kuuzwa kwa maziwa yasiyopitia ukaguzi unaohitajika au yale yaliyohifadhiwa katika mazingira yasiyo salama. Kutokana na kupungua kwa upatikanaji wa maziwa yaliyosindikwa, baadhi ya watumiaji wamegeukia maziwa yanayouzwa moja kwa moja na wafugaji au wauzaji wa mitaani. Ingawa maziwa hayo yanaweza kuwa salama yakishughulikiwa ipasavyo, wataalamu wanasisitiza umuhimu wa kuyachemsha kabla ya matumizi ili kuzuia magonjwa yanayoweza kuenezwa kupitia maziwa mabichi. Wadau wa sekta ya maziwa wanasema hali ya sasa imechangiwa na ukame na mabadiliko ya hali ya hewa ambayo yamepunguza malisho na maji kwa mifugo. Matokeo yake ni kushuka kwa uzalishaji wa maziwa katika maeneo mengi yanayozalisha bidhaa hiyo nchini. Mamlaka za udhibiti zimewahimiza wananchi kununua maziwa kutoka kwa wauzaji wanaotambulika na kuhakikisha bidhaa wanazonunua zimeidhinishwa kwa matumizi ya binadamu. Pia zimeonya dhidi ya kushawishiwa na bei nafuu kutoka kwa vyanzo visivyoaminika.
read moreRight Column Content