taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 06 Jul 2026 08:40:57
Iran waapa watalipiza kisasi dhidi ya Amerika na Israel kwa kifo cha Ayatollah
TEHRAN, Iran: RAIA wa Iran Jumatatu, Julai 6, 2026 waliapa kuwa lazima nchi hiyo ilipize kisasi cha mauaji ya Kiongozi wa Kidini Ayatollah Ali Khamenei wakielekeza hasira zao kwa Amerika na Israel. Khamenei aliuawa mnamo Februari 28, siku ya kwanza ya Amerika na Israel kutekeleza mashambulizi dhidi ya Iran. Maelfu ya raia wa Iran walijitokeza katika msafara wa mazishi ya Khamenei yaliyofanyika viungani mwa jiji la Tehran. Msafara huo ulikuwa wa kumuaga rasmi kiongozi huyo wa kidini. Jumatatu ilikuwa siku kubwa zaidi katika wiki yenye shughuli nyingi za maombolezo. Picha za angani zilizorushwa na televisheni ya taifa zilionyesha maelfu ya waombolezaji wakiwa wamefurika katika barabara kuu katikati mwa mji wa Tehran. Majeneza ya kiongozi huyo aliyeuawa pamoja na jamaa wanne wa familia yake yalipelekwa, kupitia mitaa ya jiji hilo, kwa kutumia lori kubwa, huku magari ya wazimamoto yakinyunyiza maji kutoka juu ili kupunguza joto kwa waombolezaji. Msafara huo ulipopita chini ya daraja, waombolezaji walirusha mawe kuelekea bango lililokuwa limetundikwa juu likimwonyesha Rais wa Amerika Donald Trump akiwa amelengwa kwa risasi kichwani. "Amerika ilimuua baba yetu. Hatutawaacha mponyoke", likasema maneno kwenye bango hilo. Waombolezaji walikuwa wakipeperusha bendera za Iran pamoja na mabango mekundu. Mabango hayo yaliandikwa "walipiza kisasi wa Khamenei," ikiwa ni kauli yenye umuhimu mkubwa katika Uislamu wa Kishia tangu mjukuu wa Mtume Muhammad alipouawa vitani katika karne ya saba. Mnamo Jumapili, wana watatu wa kiongozi huyo aliyeuawa waliomba kando ya jeneza lake katika ukumbi mkubwa wa sala mjini Tehran. Hata hivyo, Mojtaba Khamenei, ambaye alimrithi baba yake kama Kiongozi Mkuu wa Iran, hakujitokeza hadharani. Inaaminika kuwa alipata majeraha yaliyomsababishia ulemavu wa uso katika shambulizi lililomuua baba yake. Tangu vita vilipoanza Februari 28 kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel na Amerika dhidi ya Iran, Mojtaba hajaonekana tena hadharani. Shughuli za maombolezo zilianza Ijumaa wakati majeneza ya Khamenei mkubwa, mmoja wa mabinti zake na mtoto wake mwenye umri wa miezi 14, mmoja wa wakwe zake, pamoja na mke wa Mojtaba yalipowekwa kwa ajili ya viongozi wa Iran na wageni wa heshima kutoka mataifa mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho. Sherehe nyingine kubwa za maombolezo zilifanyika nje siku za Jumamosi na Jumapili kabla ya msafara mkubwa wa mazishi ya Jumatatu. Baadaye wiki hii, mwili wake utapelekwa katika misafara mingine ya mazishi katika mji wa Qom, ambao ni kitovu cha mafunzo ya Kishia n Iran, na pia katika miji miwili ya Iraq yenye maeneo matakatifu ya Kishia. Baada ya hapo utarejeshwa Iran kwa ajili ya mazishi katika eneo la kihistoria la makaburi ya Mashhad. Vita hivyo vilimalizika baada ya makubaliano ya awali ya amani yaliyofikiwa mwezi uliopita. Viliwaacha viongozi wa kidini wa Iran wakiendelea kubaki madarakani huku wakitangaza ushindi, na kudai kuwa wameongeza ushawishi wao kupitia udhibiti wa njia ya usafirishaji wa mafuta wa Strait of Hormuz. Trump pia amedai ushindi, ingawa malengo aliyoyataja mwanzoni mwa vita ya kuharibu uwezo wa Iran wa nyuklia na makombora, kuzuia uwezo wake wa kushambulia nchi jirani, na kuweka mazingira yatakayowawezesha raia wa Iran kuwaondoa viongozi wao madarakani, hayajatimia. Trump alisema mwishoni mwa wiki kwamba mazungumzo ya amani kati ya Amerika na Iran yameahirishwa kwa wiki moja kutokana na shughuli za mazishi. Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, alisema Jumatatu kuwa Khamenei mkubwa aliuawa kwa sababu aliongoza mpango wa kuiangamiza Israel. "Kiongozi yeyote wa Iran atakayejaribu tena kutekeleza mipango ya kuiangamiza Israel atauawa pia," akasema Katz.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 10:45:56
Nairobi Police boss declares Tuesday a working day, warns Saba Saba gatherings will be illegal
Nairobi Regional Police Commander Issa Mohamud has declared Tuesday, July 7, a normal working day, saying no formal notification has been received for any planned protests in the city and warning that any gathering held without notification will be treated as illegal. Observed annually on July 7, Saba Saba commemorates the 1990 movement that pushed [...] The post Nairobi Police boss declares Tuesday a working day, warns Saba Saba gatherings will be illegal appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 10:23:39
At least 25 killed in Sri Lanka prison riots
At least 25 people have been killed four of them guards and more than 100 injured in prison riots in western Sri Lanka. The two days of violence at Negombo Prison, in a coastal town north of Colombo, began with clashes between two groups of inmates. Prisoners are alleged to have grabbed prison [...] The post At least 25 killed in Sri Lanka prison riots appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 10:32:48
Buckingham Palace says Prince Harry will not stay at palace
Buckingham Palace says Prince Harry will not be staying at the palace during his visit to London this week, despite his team announcing this morning that he had accepted an invitation to do so. Royal sources said the duke had not responded in time to the offer of accommodation at a royal residence and that [...] The post Buckingham Palace says Prince Harry will not stay at palace appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 10:39:00
Court orders closure of case against woman accused of tracking Ruto's flights
Mombasa based social media influencer Halima Ngachia, popularly known as Princess Halima, appeared before the magistrates court on Monday morning, where investigators sought more time to examine electronic gadgets seized from her. After considering the submissions, the court ordered that the miscellaneous application be closed. Halima is accused of operating an X account that allegedly [...] The post Court orders closure of case against woman accused of tracking Ruto's flights appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 09:42:30
UK fighter jets intercept Russian plane over Norwegian Sea
UK fighter jets intercepted a Russian maritime patrol aircraft after it repeatedly approached a carrier strike group in the Norwegian Sea, the Ministry of Defence (MoD) said. The Russian Bear-F plane passed at low altitude and unnecessarily close to the HMS Prince of Wales aircraft carrier and is believed to have dropped 10 sonobuoys into [...] The post UK fighter jets intercept Russian plane over Norwegian Sea appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 09:52:57
Hamas has dissolved its governing body in Gaza, ending 20 years of rule there
In a move that marks the most significant political shift in Gaza in nearly two decades, Hamas announced today the dissolution of its de facto government, clearing the way for a U.S.-backed technocratic committee to assume civilian administration of the Palestinian territory. The announcement, made at a press conference in Deir al-Balah, central Gaza, comes [...] The post Hamas has dissolved its governing body in Gaza, ending 20 years of rule there appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 09:19:13
Five things to know about the Philippines's VP and her impeachment
Philippine Vice President Sara Duterte was riding high not so long ago, sailing to a landslide 2022 election victory with then-ally President Ferdinand Marcos, while also being seen as a near-lock to succeed him. Four years later, the alliance between their powerful families lies in ruins and she is facing a battle for her political [...] The post Five things to know about the Philippiness VP and her impeachment appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 09:22:36
Integrity of game at stake over Fifa Balogun decision – Uefa
Uefa has strongly criticised Fifas shock decision not to uphold Folarin Baloguns automatic ban at this World Cup, calling it unprecedented, incomprehensible and unjustifiable. United States striker Balogun, who was sent off against Bosnia-Herzegovina, should have served a suspension for the last-16 tie against Belgium (Tuesday 01:00 BST). But Fifa opted not to enforce an [...] The post Integrity of game at stake over Fifa Balogun decision Uefa appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 09:26:29
ITV sells media and entertainment arm to Sky for £1.6bn
ITV is selling its media and entertainment divisions to Sky in a £1.6bn deal that the companies say will create a strong rival to global streaming giants. The sale includes ITVs broadcast channels and its ITVX streaming service, with Skys chief executive Dana Strong calling it a defining moment for British media. It is one [...] The post ITV sells media and entertainment arm to Sky for £1.6bn appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 08:59:02
Alex Scott Siblings: Meet Callum and Maya Le Tissier
Alex Jay Scott is a professional footballer who plays as a midfielder for Premier League club Bournemouth. Born on 21 August 2003 in Guernsey, in the Channel Islands, he has risen rapidly through the ranks to become one of Englands most promising young talents. Scott represents England at international level, having progressed through various youth [...] The post Alex Scott Siblings: Meet Callum and Maya Le Tissier appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 09:07:39
Adrien Truffert Siblings: All About Adrien and Florian Truffert
Adrien Lilian Gaëtan Truffert is a French professional footballer who plays as a left-back for Premier League club AFC Bournemouth. Born on 20 November 2001 in Liège, Belgium, to French parents Laurence and Jean-Christophe Truffert, he holds French nationality and has represented France at various youth and senior levels. Truffert is known for his attacking [...] The post Adrien Truffert Siblings: All About Adrien and Florian Truffert appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 08:37:17
432 Assistant County Commissioners graduate as Kenya School of Government marks 100 years
A total of 432 Assistant County Commissioners (ACCs) graduated with Diplomas in Public Administration as the Kenya School of Government (KSG) marked its centenary with a renewed focus on equipping public servants for the digital era, including the adoption of Artificial Intelligence (AI). Speaking during the graduation ceremony at KSG's Kabete Campus on Monday, Cabinet [...] The post 432 Assistant County Commissioners graduate as Kenya School of Government marks 100 years appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 06 Jul 2026 08:56:58
Mohamed Salah Siblings: Meet Nasr and Rabab Salah
Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly, commonly known as Mohamed Salah or Mo Salah, is an Egyptian professional footballer who plays as a right winger. Born on 15 June 1992 in Nagrig, Egypt, he is widely regarded as one of the greatest wingers of all time and one of the best players of his generation. Nicknamed [...] The post Mohamed Salah Siblings: Meet Nasr and Rabab Salah appeared first on Kahawatungu.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Mon, 06 Jul 2026 08:52:26
Treasury Addresses Plans to Use Ksh1 Trillion SACCO Savings for Infrastructure
President William Ruto's administration seeks to raise Ksh5 trillion through the National Infrastructure Fund (NIF) to fund development projects and veer off from the usual borrowing amid mounting debt.
read moreRight Column Content