taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 19 Sep 2026 16:45:47
Wetang'ula amtaka Wamalwa aunge mkono Ruto, amshauri Uhuru astaafu siasa za upinzani
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula ameongeza juhudi za kuimarisha uungwaji mkono kwa Rais William Ruto huku akimtaka kiongozi wa chama cha Democratic Action Party of Kenya (DAP-K), Eugene Wamalwa, kuondoka katika muungano wa upinzani na kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza. Akizungumza katika mikutano tofauti Magharibi mwa Kenya, Wetang'ula alisema Wamalwa anafaa kutathmini upya msimamo wake wa kisiasa na kushirikiana na serikali kwa maslahi ya wananchi. Alidai kuwa viongozi wa muungano anaouunga mkono kwa sasa wanaweza kumsaliti kisiasa. "Muungano ambao ndugu yangu mdogo Eugene Wamalwa anaunga mkono kwa sasa utamwangusha kisiasa. Nafasi yake ni kufanya kazi pamoja na serikali kwa maendeleo ya wananchi," alisema Wetang'ula. Wakati huohuo, Spika huyo alimkosoa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akimtaka kuheshimu hadhi yake ya kiongozi mstaafu na kupatia serikali ya Rais Ruto nafasi ya kuongoza nchi bila kuingiliwa. Akizungumza katika hafla ya kuwawezesha waendesha bodaboda katika shule ya Ojaamong' Comprehensive, Kaunti ya Busia, Wetang'ula alisema marais waliostaafu nchini wamekuwa wakitoa nafasi kwa warithi wao kuongoza bila kuwakosoa hadharani. "Nimehudumu serikalini tangu enzi za Rais Moi na baadaye Rais Kibaki, lakini sijawahi kuona rais mstaafu akimshambulia hadharani aliye mamlakani," alisema. Wetang'ula alimtaka Kenyatta kujikita katika majukumu yake kama rais mstaafu na mwakilishi wa Kenya katika Muungano wa Afrika (AU), akisema nafasi hiyo inahitaji uzalendo na ushirikiano na serikali iliyoko madarakani. Aidha, Spika huyo alitetea azma ya Rais Ruto kutafuta muhula wa pili mwaka 2027, akisema uchaguzi huo unapaswa kuamuliwa kwa msingi wa maendeleo yaliyotekelezwa na serikali. Alitaja miradi ya barabara, nyumba za bei nafuu, kilimo, umeme na unyunyuzaji kama baadhi ya mafanikio ambayo wapigakura wanapaswa kuzingatia. Katika Kaunti ya Busia, Wetang'ula alisifia miradi kama Eneo la Kuchakata Bidhaa za Mauzo ya Nje la Busibwabo na Mradi wa Unyunyuzaji wa Bunyala, akisema itatoa nafasi za ajira na kuchochea uchumi wa eneo hilo. Akiwa katika mazishi katika Eneo Bunge la Saboti, Kaunti ya Trans Nzoia, Spika huyo aliendelea kutetea juhudi za Rais Ruto za kutaka muhula wa pili, akisema viongozi waliomtangulia walihudumu kwa zaidi ya muhula mmoja bila kuzuiwa kisiasa. Pia aliwataka viongozi kuachana na siasa za matusi na badala yake kuzingatia maendeleo ya wananchi, akisisitiza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuzuia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kauli za Wetang'ula zinajiri viongozi wa Kenya Kwanza wakizidisha kampeni za kuimarisha uungwaji mkono wa Rais Ruto katika maeneo mbalimbali nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 13:37:15
National government to construct 10,000 seater stadium in Samburu county
The national government is set to construct the first ever state of the art stadium in Samburu County in a bid to nurture sporting talent for local youths. Speaking during the ground breaking ceremony in Maralal town, Defence Cabinet Secretary (CS) Soipan Tuya said that the government is keen on improving sporting infrastructure across the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 13:42:57
Shahbal pledges Sh50 million fund to boost education, youth empowerment
East African Legislative Assembly (EALA) legislator and Mombasa gubernatorial aspirant Suleiman Shahbal has pledged to improve education standards by establishing one-stop community centres in all 30 wards to nurture talent and help steer young people away from drug and substance abuse. Speaking during a consultative meeting with Christian clergy, Shahbal said the rate of transition...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 13:31:01
Over 18,000 Murang'a dairy farmers to benefit from milk coolers
More than 18,000 dairy farmers in Murang'a County are set to benefit from 12 bulk milk coolers worth Sh87.94 million, in an intervention expected to reduce post-harvest losses, improve milk handling and raise farmers' incomes. The coolers, delivered to dairy cooperative societies in the county, have a combined capacity to handle more than 37,000 litres...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 12:35:48
Editors warn of rising threats, disinformation ahead of 2027 elections
The Kenya Editors Guild (KEG) has warned of increasing pressure, misinformation and disinformation facing the media as Kenya prepares for the 2027 General Election, urging newsrooms to strengthen editorial independence, verification and journalists' safety. KEG President Zubeidah Kananu said journalists and media houses were already operating in an environment characterized by threats, intimidation and attempts...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 12:16:44
KWS boss calls for greater community role in conservation
Communities living around wildlife habitats have been urged to take a leading role in conservation efforts to promote peaceful coexistence between people and wildlife. Speaking during the Ura Gate Cultural Festival at Shauri Grounds in Tharaka Nithi County, in a speech read on his behalf by Deputy Director Abdi Doti, Kenya Wildlife Service (KWS) Director...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 12:22:54
Kapsuswa coffee centre of excellence to boost farming in Uasin Gishu
Uasin Gishu County's coffee sector received a major boost on Friday with the groundbreaking of the Kapsuswa Coffee Innovation, Training and Coffee Nursery Centre in Kamagut Ward, Turbo Sub-County. The facility, located on Mr. Charles Boit's family farm, is expected to strengthen the coffee value chain through technology adoption, farmer training, quality production and value...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 11:37:03
Awendo KMTC set to expand courses
The Kenya Medical Training College (KMTC)-Awendo Campus is set to expand its academic programmes and extend healthcare services to residents through mobile clinics. Speaking during the handover ceremony of a college bus funded by the Awendo National Government Constituency Development Fund (NG-CDF), KMTC Chief Executive Officer (CEO) Kelly Oluoch said expanding training programmes through mobile...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 11:43:42
Clergy calls for tolerance as political temperatures rise
Religious leaders have called on politicians affiliated to various political formations to exercise restraint and tolerance as political temperatures rise ahead of next year's General Election. The clergy also cautioned youths against falling prey to political manipulation, warning that those enticed to engage in violence for short-lived financial gains could end up losing their lives...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 19 Sep 2026 11:49:33
Eldoret residents brace for El Niño floods
Residents, farmers and members of the business community in Uasin Gishu Count have begun taking precautions against possible heavy rains and flooding across the county ahead of the expected heavy rains. They have welcomed the warning by Kenya Meteorological Department's on the possibility of El Niño conditions during October, November and December, saying it was...
read moreRight Column Content