kenyanews.go.ke
@kna Wed, 16 Sep 2026 13:21:26
Nakuru operationalizes fund for people with disabilities
People with disabilities in Nakuru have a reason to smile after the county government operationalized a Sh27.5 fund for the 2025/2026 financial year, aimed at aiding them in starting income-generating activities. Nakuru was the first county government to launch the kitty in 2019 after the County Assembly provided a legal framework to guide the fund....
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 16 Sep 2026 12:40:35
Wanga azua gumzo kwa kusafiri na Ruto katika helikopta moja na rais
GAVANA wa Homa Bay Gladys Wanga amejikuta tena katikati ya gumzo la kisiasa baada ya kuonekana akisafiri kwa helikopta ya Jeshi la Anga pamoja na Rais William Ruto wakati wa ziara yake ya maendeleo katika Kaunti ya Siaya Jumanne. Video iliyosambaa mtandaoni ilimuonyesha Mwenyekiti huyo wa kitaifa wa ODM akishuka kutoka kwa helikopta hiyo pamoja na Rais Ruto baada ya wawili hao kusafiri pamoja kati ya maeneo mbalimbali aliyozuru kiongozi wa nchi. Mchanganuzi wa siasa Walter Opiyo alisema matumizi ya chombo hicho cha Rais ni ishara inayoweza kutafsiriwa kama ukaribu na mamlaka. Alisema helikopta za Rais kwa kawaida hutumiwa na Rais na kikosi chake cha usalama, hivyo kuruhusu kiongozi mwingine kuingia ndani yake kunaweza kuibua maswali kuhusu nafasi yake katika uongozi. "Helikopta ya Rais si matatu. Anayeingia ndani yake lazima afahamu itifaki kuhusu urais na awe mtu anayeaminika. Wanga anaposafiri na Rais, inaonyesha sasa yuko karibu na kitovu cha serikali jumuishi," alisema Opiyo. Aliongeza kuwa safari hiyo ilimpa Wanga muda wa kuwa karibu na Rais bila hadhira. "Dakika hizo angani zinaweza kuwa muhimu zaidi kuliko saa nyingi jukwaani. Hapo ndipo mazungumzo muhimu ya kisiasa yanaweza kufanyika," alisema. Mchanganuzi mwingine, Michael Kojo, alisema hatua hiyo ilikuwa na ujumbe wa kisiasa. "Akiwa mwenyekiti wa ODM, lazima aonyeshe kwamba ushirikiano wa chama na serikali unafanya kazi. Kusafiri na Rais na wote kuvaa kofia za ODM ni ujumbe kwamba ushirikiano huo unaendelea vizuri," alisema. Wanga ana uwezo wa kukodi helikopta yake kama gavana na amewahi kufanya hivyo. Hata hivyo, mara kadhaa amekuwa akisafiri na Rais Ruto anapozuru eneo la Nyanza. Kojo alisema Wanga pia anaweza kuwa anasisitiza ushawishi wake wa kisiasa na kujiweka katika nafasi ya majukumu ya kitaifa siku zijazo. Katika ibada ya maombi katika kanisa la Voice of Salvation and Healing, Kisumu, Jumapili, Wanga aliketi upande wa kushoto wa Rais baada ya Gavana wa Kisumu Anyang' Nyong'o. Katika miezi ya hivi karibuni, wafuasi wake wamekuwa wakimtaja kama mmoja wa wanaoweza kuwania wadhifa wa Naibu Rais, huku yeye akisema ODM haitakubali chochote chini ya kiti hicho katika mpango wowote wa kisiasa wa siku zijazo. Hata hivyo, Wanga pia analenga kuchaguliwa tena kuwa Gavana wa Homa Bay. Safari ya Jumanne haikuwa mara ya kwanza kwa Wanga kupanda helikopta ya Rais. Mapema mwaka huu, alinaswa kwenye video akikimbia kuingia kwenye helikopta hiyo pamoja na Mbunge wa Suna East Junet Mohamed. Kojo alisema kuonekana kwake mara kwa mara pamoja na Rais kunaashiria nafasi yake inayokua katika mawasiliano kati ya ODM na serikali. Wakati wa ziara hiyo, kulionekana alama za vyama tofauti katika mikutano, baadhi ya wananchi wakiwa wamevalia rangi za UDA, wengine za chungwa za ODM na wachache kofia za MDG. Rais na Wanga walionekana wakivalia kofia zinazofanana za ODM waliposhuka kutoka kwenye helikopta. Tukio hilo linakumbusha pia ziara ya Rais Ruto katika Kisiwa cha Rusinga, Homa Bay, Agosti 2024, ambapo Wanga alialikwa ndani ya gari rasmi la Rais na kuhutubia wananchi kupitia paa la gari.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 16 Sep 2026 12:07:22
New dispensary gives Karumandi residents easier access to healthcare
Residents of Karumandi Ward in Kirinyaga County no longer have to worry about travelling long distances for basic medical care following the opening of a new dispensary in the area. Kavote Dispensary, officially opened by Governor Anne Waiguru on Tuesday, is expected to serve about 5,000 residents who previously had to travel more than five...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 16 Sep 2026 12:15:37
Farmers benefit from subsidized fertilizer
Farmers in Vihiga County have commended the government for the timely distribution of subsidized fertilizer at affordable prices as the short rain season planting begins. A spot check by the Kenya News Agency (KNA) at the National Cereals and Produce Board (NCPB) depot in Chavakali established that farmers are accessing the commodity with ease. Speaking...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 16 Sep 2026 12:22:59
Kaelo TVC institute set for inaugural graduation as enrollment soars
Kaelo Technical and Vocational College (TVC) in Laare, Igembe North constituency, Meru county, is set to hold its inaugural graduation ceremony on September 25, with more than 400 graduands expected to receive certificates and diplomas in various fields. The graduation ceremony, to be presided over by TVET Principal Secretary Dr. Esther Thaara, will mark a...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 16 Sep 2026 12:26:25
Injury storm test: Harambee Stars ahead of historic AFCON 2027
Kenya's preparation for the 2027 Africa Cup of Nations has suffered an early setback, with a growing injury list threatening to disrupt Harambee Stars Coach, Benni McCarthys plans ahead of the opening Group 'D' fixtures. Among the players facing fitness concerns are Zech Obiero, Stanley Wilson, Louis Millard, and Deon Woodman, while defender Daniel Anyembe...
read morekenyans.co.ke
@kenyans Wed, 16 Sep 2026 07:15:16
Kenya Courts Korean Investors for Multi-Billion Nairobi-Mombasa Highway Upgrade
The project was presented during the Global Infrastructure Cooperation Conference in South Korea, where financial institutions discussed major investment opportunities.
read moreRight Column Content