taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 21 Jul 2026 05:49:30
Ajabu Gachagua akitaka Kindiki asishambuliwe
KIONGOZI wa DCP Rigathi Gachagua amewataka wafuasi wake wakome kumshambulia Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki, kauli ambayo imefasiriwa kuwa wanasiasa hao wamechukua mkondo wa maridhiano. Bw Gachagua ambaye amekuwa mkosoaji wa naibu rais alisema hakuna haja ya kumshambulia Profesa Kindiki ilhali pia anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa wanasiasa wanaomezea mate kiti chake. Aidha Bw Gachagua alisema yupo karibu kumkaribisha Profesa Kindiki nyumbani iwapo ataishia kukosa kuwa mgombeaji mwenza wa Rais Ruto mnamo 2027 huku akisisitiza kuwa eneo la Mlima Kenya lazima lisalie limeungana licha ya tofauti za kisiasa. Kauli yake ilikuja wiki moja baada ya Profesa Kindiki kumkemea Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku kuhusu matamshi yake kuwa Mlima Kenya Mashariki utajitenga na wenzao wa Magharibi na kupiga kura kivyake mnamo 2027.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 21 Jul 2026 06:07:34
Wanafunzi 'waua' wazazi ili wapate kiwango cha juu cha ufadhili serikalini
BAADHI ya wanafunzi wanaoomba ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu na mikopo ya HELB wamekuwa wakidai kwenye fomu za maombi kuwa wazazi wao wamefariki, ilhali bado wako hai. Wamekuwa wakifanya hivyo wakilenga kupata kiwango cha juu cha ufadhili wa serikalini. Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa Hazina ya Vyuo Vikuu (UF), Dkt Edwin Wanyonyi, alisema tabia hiyo imebainika chini ya mfumo wa ufadhili unaozingatia kiwango cha uhitaji wa mwanafunzi. Alisema wanafunzi wanaojitambulisha kama mayatima hupata nafasi ya kupata ufadhili mkubwa zaidi, lakini akasisitiza kuwa UF na HELB zina mifumo ya kuthibitisha taarifa zote zinazowasilishwa. "Msijaribu 'kuwaua' wazazi wenu kwenye karatasi. Tukigundua wazazi wako wako hai, tutajua. Toeni taarifa za kweli," akasema. Dkt Wanyonyi aliwataka wanafunzi kujaza taarifa sahihi kuhusu mapato ya familia, idadi ya ndugu na hali ya kiafya ili kiwango cha ufadhili kiamuliwe kwa haki. Naye Mkurugenzi Mkuu wa HELB, Geoffrey Monari, aliwahimiza wanafunzi wote waliopata nafasi kupitia KUCCPS kuomba ufadhili kabla ya Septemba 6, 2026. Alisisitiza kuwa mchakato huo ni bure na akawaonya wanafunzi dhidi ya kutumia akaunti za benki, nambari za simu au barua pepe za watu wengine wakati wa kutuma maombi.
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 21 Jul 2026 05:39:06
Business leaders, investors to gather for SME conference in Nairobi
Business leaders, policymakers, investors and industry experts are set to converge in Nairobi this week for the 3rd Annual SME Conference, Awards Exhibition organised by the Kenya Private Sector Alliance (KEPSA). The two-day event scheduled for July 23–24, 2026, at the All Saints' Cathedral Auditorium will be presided over by Chief Guest FCPA Dr....
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 21 Jul 2026 05:42:57
Kwale county government joins Mbuguni land case to defend residents' rights
The Kwale County Government will join an ongoing court case as an interested party to support residents of Mbuguni Settlement Scheme in Tsimba Golini Ward, Matuga Sub-County, who are challenging the alleged unlawful issuance of title deeds. Governor Fatuma Achani announced the move during a public meeting with residents, saying her administration was committed to...
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 21 Jul 2026 05:46:09
Money, religion threatens democratic process ahead of 2027 polls , warns NCCK
The National Council of Churches of Kenya (NCCK) has raised concerns over the growing influence of money and religion in shaping Kenya's democratic process, warning that economic hardship is making many voters, particularly young people, more vulnerable to political manipulation ahead of the 2027 general election. Findings of a nationwide study released during a stakeholders'...
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 21 Jul 2026 05:48:20
Tinderet farmers face poor maize harvest due to drought
Farmers in Tinderet Sub County are facing the prospect of one of the poorest maize harvests in recent years after erratic rainfall disrupted crop development, raising concerns over food shortages, rising maize prices and declining household incomes. Agricultural experts estimate that maize production in the sub-county could decline by between 30 and 40 per cent...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 21 Jul 2026 04:55:32
EACC seeks recovery of Sh4.3 billion prisons land grabbed in Kisumu
The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has filed civil suits seeking to recover 7.6 acres of public land in Milimani, Kisumu City, allegedly excised from land belonging to the Kenya Prisons Service and unlawfully converted into private ownership. According to the Commission, the disputed land is valued at approximately Sh790 million, excluding developments, and an [...] The post EACC seeks recovery of Sh4.3 billion prisons land grabbed in Kisumu appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 21 Jul 2026 04:53:25
Mke wa pasta aomba vipusa 'wapofuke' wasione mumewe
PASTA na waumini wa kanisa moja eneo hili waliachwa wakishangaa mkewe alipoporomosha ombi lisilo la kawaida. Mama mchungaji huyo alikuwa ameambiwa na mumewe aombe ili kupisha kipindi cha maisha ya jamii. Katika kuomba kwake, mke huyo wa pasta alisikika akimsihi Mola kuwafumba macho vipusa wote kanisani ili wasimuone na kumtamani mumewe. Alifululiza kwa kumshukuru Mungu kwa kumpa mume mzuri na mtanashati. Pia alifichua jinsi amekuwa akishikilia roho mkononi kila anapoandamana na mumewe maeneo ya umma. "Wajua vile ewe Mwenyezi Mungu umenipa mume mzuri, mtanashati. Pia hapa ukumbini najua kuna warembo wenye macho ya nje kama bwanangu. Basi ninakusihi kipindi hiki kinapoanza, wote hao wafunge macho, ikiwezekana wawe vipofu muda wote ili utukuzwe neno lako likipenya na kueleweka vizuri na hawa waja wako kabla uwarudishie macho yao," akaendelea kuomba kwa unyenyekevu mwingi. Ni hali iliyowaacha waumini na hata pasta mwenyewe wakishangaa hadi kufungua macho yao kwa kushangazwa na hata kutishwa na ombi hilo.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 21 Jul 2026 04:21:33
C.C. DeVille Net Worth
C.C. DeVille is an American rock guitarist with an estimated net worth of $8 million. He is best known as the lead guitarist of the glam metal band Poison, one of the most successful rock groups of the 1980s and early 1990s. During his time with Poison, DeVille helped create some of the bands biggest [...] The post C.C. DeVille Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 21 Jul 2026 03:50:08
Michael Schenker Net Worth
Michael Schenker is a German musician and guitarist with an estimated net worth of $6 million. He is best known for his work with the rock bands UFO and Scorpions, as well as for founding the Michael Schenker Group (MSG). Widely regarded as one of the most influential guitarists in hard rock and heavy metal, [...] The post Michael Schenker Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 21 Jul 2026 04:12:59
Bobby Dall Net Worth
Bobby Dall is an American musician with an estimated net worth of $4 million. He is best known as the bassist of Poison, one of the most successful glam metal bands of the 1980s and 1990s. Dall has spent most of his career with Poison, helping the band achieve worldwide success through hit songs such [...] The post Bobby Dall Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Tue, 21 Jul 2026 04:00:00
Oparanya, Wetang'ula battle for western Kenya's political crown ahead of 2027
A supremacy battle is quietly unfolding in western Kenya as Oparanya and Wetangula pursue separate political strategies that appear aimed at securing President Rutos running mate post.
read morekenyanews.go.ke
@kna -188138 minutes ago
NACADA engages Faith leaders, warns against illicit alcohol
By C, KNA The National Authority for the Campaign against Alcohol and Drug Abuse (NACADA) has intensified efforts to curb drug and substance abuse in Kwale County by partnering with religious leaders and warning residents against the consumption of illicit alcohol. NACADA Kwale County Director Eunice Kijala said the authority has rolled out a sensitization...
read morekenyanews.go.ke
@kna -191018 minutes ago
NYOTA project rolls out second phase of start-up capital to 27 counties
By N, KNA The Government has commenced the second phase of disbursement of business start-up capital under the NYOTA Project, targeting close to 50,000 youth beneficiaries across 27 counties between January 8 and January 16, 2026. The rollout follows the successful completion of nationwide classroom training under the project's Business Support Component, which aims to...
read morekenyanews.go.ke
@kna -643178 minutes ago
SRC condoles Raila family
By B, KNA The Salaries and Remuneration Commission (SRC) has sent a message of condolence to Mama Ida Odinga, the entire Odinga family, the nation and the world following the untimely death of former Prime Minister Raila Amolo Odinga. In the message on behalf of the Commission, the SRC Chairperson Sammy Chepkwony said the late...
read moreRight Column Content