kenyanews.go.ke
@kna Wed, 12 Aug 2026 11:40:43
Sh100 billion highway transforming the Northern Frontier
For decades, navigating the corridor between Nairobi-Kitale-Lodwar, and the far reaches of Turkana was more of an endurance test with transporters routinely spending a minimum of seven grueling days to conquer the terrain. It was a passage defined by unrelenting dust, deep rutted tracks, and relentless mechanical wear as truck axles snapped, suspensions shattered, and...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 12 Aug 2026 11:42:27
Konza Technopolis records major progress as Silicon Savannah takes shape
Konza Technopolis has recorded significant progress in infrastructure development, investment attraction, digital transformation, education and innovation, with the flagship smart city increasingly positioning itself as a regional hub for science, technology and enterprise. According to Josephine Ndambuki, Chief Manager for Business Development and Innovation at Konza Technopolis, Phase One of the development has been completed,...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 12 Aug 2026 11:43:39
Sh54 million Sosiot modern market nears completion, creates jobs for local community
Construction of the Sh54 million Sosiot Economic Stimulus Programme (ESP) Modern Market in Belgut Sub County, Kericho County has reached 89 per cent completion, with the two-storey facility set to provide modern trading space for 200 traders once completed. The project, which commenced on April 26, 2024, has also provided employment to an average of...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 12 Aug 2026 11:46:01
Scrapping ID fees spurs surge in Huduma Centre applicants
Huduma Centre Mombasa has recorded a 250 per cent increase in the number of Kenyans applying for and replacing their national identification cards since President William Ruto's directive scrapping ID fees took effect. Harison Yogo, the Centre Manager, attributed the surge to the Head of State's directive that ID services would henceforth be free, ending...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 11:14:14
Dominik Kotarski Siblings: Get to Know Ivana and Jurica
Dominik Kotarski is a Croatian professional footballer who plays as a goalkeeper. Born on 10 February 2000 in Zabok, Croatia, and raised in the Brestovec Orehovički area, he stands around 1.89 metres tall. He currently plays for Danish Superliga club FC Copenhagen and represents the Croatia national team. Known for his development through strong youth [...] The post Dominik Kotarski Siblings: Get to Know Ivana and Jurica appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 11:16:27
Luka Vušković Siblings: All About Mario Vušković
Luka Vušković is a Croatian professional footballer born on 24 February 2007 in Split. He plays as a centre-back for Premier League club Brighton Hove Albion and the Croatia national team. Vušković is known for his physical presence, aerial ability, defensive reading of the game, and surprising goal-scoring threat from the back. He rose [...] The post Luka Vušković Siblings: All About Mario Vušković appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 11:22:17
Andrej Gaćina Siblings: Getting to Know Željan Gaćina
Andrej Gaćina is a Croatian professional table tennis player born on 21 May 1986 in Zadar, then part of SR Croatia in SFR Yugoslavia. He has represented Croatia at the highest levels for over two decades. Gaćina began the sport as a child in Zadar during the Croatian War of Independence, initially trying football before [...] The post Andrej Gaćina Siblings: Getting to Know Željan Gaćina appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 12 Aug 2026 11:45:45
ODM katika hatari ya kupoteza Nairobi
CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kinakabiliwa na kazi ngumu kudumisha ubabe wake jijini Nairobi katika uchaguzi wa 2027 baada ya kifo cha kigogo Raila Odinga. Tangu 2005 chama hicho cha chungwa kilipoanzishwa, Raila alihakikisha ODM inalemea vyama vingine huku akiwa mwaniaji wa urais aliyeshabikiwa sana na wakazi jiji kuu. Katika kura ya 2017 ODM ilishinda kiti cha useneta, mbunge mwakilishi wa kike, viti 38 vya udiwani na viti vinane kati ya 17 vya ubunge. Wabunge wa ODM Nairobi kwa sasa ni TJ Kajwang (Ruaraka), Phelix Odiwuor 'Jalang'o' (Langata), Peter Orero (Kibra), Anthony Oluoch (Mathare), Tim Wanyonyi (Westlands), Beatrice Elachi (Embakasi Kaskazini), George Aladwa (Makadara) na Babu Owino (Embakasi Mashariki). Pia ni kupitia ODM ambapo Esther Passaris na Edwin Sifuna walishinda viti vya mbunge mwakilishi wa kike na seneta mtawalia. Hata hivyo, baada ya kifo cha Raila chungwa inakabiliwa na kibarua moto hasa kufuatia mpasuko chamani ambapo sasa kuna mirengo miwili. Mrengo wa kinara wa chama Dkt Oburu Oginga unatifuana na ule wa Linda Mwananchi unaoongozwa na Seneta Sifuna. Hali kwamba ODM inaonekana kupata ugumu kudumisha umaarufu wake ilidhihirika wiki mbili zilizopita baada ya Wanyonyi kukutana na Dkt Oginga, ambapo aliombwa arejee jiji kuu ili kuwania kiti cha ugavana 2027. Hata hivyo, Wanyonyi alikataa akisema ashakita siasa zake Bungoma huku duru zikiarifu kwamba pia ana makovu ya kupokonywa tikiti ya chama kuwania ugavana mnamo 2022. Licha ya Wanyonyi kuonekana kuwa kifua mbele wakati huo, marehemu Raila alimshawishi atetee kiti chake cha ubunge huku Muungano wa Azimio ukimwasilisha Polycarp Igathe. "Ni kweli Tim Wanyonyi alikutana na akina Dkt Oginga ambapo walijaribu kumshawishi arejee Nairobi kuwania ugavana, lakini akakataa. Aliwaambia kuwa ashaamua kupigania ugavana wa Bungoma na hata ashaanza kampeni," alisema Mbunge wa Sirisia, John Waluke, ambaye ni mwandani wa Wanyonyi na anayeunga mkono azma yake ya 2027. "Tim ameshaanza kampeni zake na ndiye kifua mbele katika kiny'ang'anyiro cha ugavana Bungoma. Hatuwezi kukubali arejee tena kuwania ugavana Nairobi," akaongeza Waluke. Mbunge huyo wa Westlands tayari amejitokeza hadharani na kutangaza kwamba anaegemea mrengo wa Linda Mwanachi wake Seneta Sifuna. Ingawa hakuhudhuria mikutano ya Linda Mwananchi mjini Trans Nzoia na Bungoma majuma mawili yaliyopita, alituma wawakilishi wake na hata akatoa mabasi ya kusafirisha raia. Mbunge wa Makadara George Aladwa ndiye sasa amejitokeza kusema analenga ugavana kupitia ODM, huku Babu Owino wa Linda Mwananchi akiwa tayari kasema hadharani awali kwamba hatatumia ODM kusaka kiti hicho. Kumekuwa na wito gavana wa sasa Johnson Sakaja ajiunge na ODM ili kuwania ugavana kwa chama hicho, lakini Aladwa amesisitiza lazima kuwe na mchujo wa chama kupata mgombea halisi atakayetwaa tikiti hiyo. Huku Passaris akiweka wazi kuwa hatatetea kiti chake cha mwakilishi wa kike, ODM haina mgombeaji mkakamavu katika nafasi hiyo. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mawakili Nchini (LSK) Faith Odhiambo ametangaza kusaka kiti hicho. Anaegemea Linda Mwananchi. ODM pia inakabiliwa na migawanyiko ya ndani hasa katika mrengo wa Dkt Oginga. Imebainika kuwa wasioridhika wataamua kuwania kama wagombeaji huru, na huenda wakabwagwa na wawaniaji wa vyama pinzani. Kulingana na mchanganuzi wa masuala ya kisiasa Martin Andati, ODM kwa sasa imesalia kigae na isipobadili mikakati ushawishi wake katika jiji kuu utaisha. "Raila alikuwa mjanja na mwenye mikakati, na hilo lilimsaidia kutawala siasa za jiji kwa miaka mingi. Jambo ambalo kwa sasa ni vigumu. Oburu hana ushawishi wowote kisiasa Nairobi. Wasipobadili mikakati chama kitapoteza sana 2027," akasema mchanganuzi wa masuala ya siasa Martin Andati. Anaonya kuwa ODM kwa sasa imesalia kigae na isipobadili mikakati uhai wake wa kisiasa jijini utaisha. "Oburu hana ushawishi wowote kisiasa Nairobi. Unaona hata hana wagombeaji maarufu wa ugavana, mbunge mwakilishi wa kike na useneta. Viongozi wengi maarufu wako mrengo wa Linda Mwananchi. Kwa hivyo wasipobadili mikakati chama kitapoteza sana uwakilishi 2027," akaeleza.
read moreRight Column Content