kenyans.co.ke
@kenyans Mon, 19 Oct 2026 04:22:27
Ebola Cases Rise to 8 as Ministry of Health Official Confirms New Case
Despite the new case, the Ministry of Health maintained that there was no cause for alarm among the general public, assuring Kenyans that the risk of wider transmission remains low.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 19 Oct 2026 03:55:57
Wanamtusi mjane, watoto wa Raila, Sifuna akashifu viongozi wa ODM
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna na baadhi ya viongozi wa Linda Mwananchi wamewakosoa baadhi ya viongozi wa ODM kwa kumkosea heshima mjane wa Raila Odinga, Mama Ida pamoja na familia ya waziri huyo mkuu wa zamani. Akizungumza katika ibada ya kanisa, eneobunge la Embakasi Mashariki jana, Bw Sifuna alisema kuvurugwa kwa maadhimisho ya kwanza ya kifo cha Raila eneo la Bondo kulipangwa na viongozi wa eneo hilo waliopinga mwaliko wa viongozi wa Linda Mwananchi. "Watu wale wale waliokuwa wameapa kuwa hawatakula kabla Raila hajatoa maagizo wamemsahau na sasa wanaimba wimbo wa mtu mwengine. Wanamtukana mjane wake na hata watoto wake," akasema Bw Sifuna. Bw Sifuna alisema mrengo wake utailinda familia hiyo na kuendeleza maono na uanaharakati wa Raila, ikiwemo kuhakikisha demokrasia. Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino naye aliishutumu serikali kwa kukaa kimya huku ufisadi ukiharibu Jiji la Nairobi. Aliahidi kuwa akichaguliwa kuwa gavana, ataboresha barabara, kuhakikisha wanafunzi wanapata busari bila malipo, kusafisha jiji na kuunda nafasi za ajira kwa vijana.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 19 Oct 2026 03:41:11
Man stabbed to death by teenage girlfriend in Nyamira village
A 50-year-old man was stabbed to death by his 18-year-old girlfriend following a domestic altercation in Nyamira South Sub-County, Nyamira County, police said. The deceased, identified as John Kebaso Kaptai, was allegedly stabbed in the neck after a disagreement with his girlfriend, at their home. According to police, the incident happened on October 17 after [...] The post Man stabbed to death by teenage girlfriend in Nyamira village appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 19 Oct 2026 03:43:24
Elderly couple hacked to death in Nyamira village
Detectives are investigating an incident where an elderly couple aged 68 and 72 have died after sustaining deep cuts in a suspected double murder in Nyamira County. The victims, identified as Hellen Bosibori, 68, and her husband, Jacob Migika, 72, were found with severe injuries in their temporary kitchen house at Nyamiranga Village, Enjoro Sub-location, [...] The post Elderly couple hacked to death in Nyamira village appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 19 Oct 2026 03:45:34
Girl burnt to death in Nairobi plot fire
A three-year-old girl died after being burnt beyond recognition in a fire that razed a 10-room residential plot in Reuben, Makadara Sub-County, Nairobi. The child was reportedly inside a room belonging to her father when the fire broke out late Sunday night. The police found the mabati-walled residential plot engulfed in flames, with the fire [...] The post Girl burnt to death in Nairobi plot fire appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 19 Oct 2026 03:48:02
Man found dead with rope around neck in Kiambu
Police in Kiambu County are investigating the death of a 31-year-old man whose body was found with a sisal rope tied around his neck in Kahuho, Kabete Sub-County. The deceased, identified as Dennis Njoroge Maina, was discovered lying on the ground on October 16, 2026, in circumstances that investigators say require further examination. Police rushed [...] The post Man found dead with rope around neck in Kiambu appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 19 Oct 2026 02:55:51
Raila Junior: Nitakufa na Ruto 2027
ODINGA Junior ameapa kubaki katika chama cha ODM na kumuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena mwaka ujao, licha ya tofauti za kisiasa zinazozidi kujitokeza katika familia ya Odinga. Jana, Raila Odinga Junior aliungana na viongozi wakuu wa ODM na Waziri wa Madini Hassan Joho katika mkutano wa kumbukumbu ya Raila Odinga uliofanyika Garissa. Haya yanatokea huku dadake Winnie Odinga akiendelea kuwakashifu baadhi ya maafisa wa chama hicho akidai walikodisha wahuni kuvuruga maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha baba yao yaliyofanyika katika uwanja wa Migwena, Bondo, wiki iliyopita. "Aaah, inafurahisha sana kuwaona viongozi wote wazuri wa ODM wakiadhimisha kumbukumbu ya kwanza ya Baba.Walipokuwa Dubai, sisi tulipokea zawadi zao kutoka Afgoonistan! Asante. Ni lazima nasi tulipe kwa namna hiyo hiyo," Winnie aliandika ujumbe uliofasiriwa kuwa kejeli katika ukurasa wake wa Instagram. Aliambatanisha ujumbe huo na video iliyowaonyesha Waziri wa Madini Hassan Joho, Gavana wa Homa Bay ambaye pia ni mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga, Mbunge wa Dagoretti Kaskazini Beatrice Elachi, Mbunge wa South Mugirango Silvanus Osoro, Kiongozi wa Wengi Kimani Ichung'wah na Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Kitaifa Junet Mohamed wakisafiri kwa ndege ya kibinafsi kutoka Eldoret hadi Garissa. Mkutano wa Garissa ni miongoni mwa shughuli zilizoandaliwa na ODM katika kipindi cha "Mwezi wa Baba", kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye aliongoza chama hicho kwa miaka 20. Bw Junior, ambaye ametangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge cha Kibra, alisema atatumia tiketi ya ODM kuwania kiti hicho huku akipigia debe muhula wa pili wa Dkt Ruto. Pia ameahidi kumuunga mkono ami yake Dkt Oburu Oginga, katika kukiongoza chama hicho. "Nitabaki ODM hadi mwisho na nitaendeleza kampeni za kusaka uvumishaji Rais Ruto kote nchini anapotafuta kuchaguliwa tena, huku nikigombea ubunge wa Kibra kupitia ODM," alisema katika mahojiano na Taifa Leo. Alisema hataathiriwa na jamaa zake wanaochagua mwelekeo tofauti wa kisiasa, akisisitiza kuwa anajenga safari yake ya kisiasa mbali na kumuunga mkono Rais. "Baba alituacha katika Serikali Jumuishi na hapo ndipo nitabaki. Nawarai watu wetu wamuunge mkono Rais achaguliwe tena. Nina Rais hadi mwisho," akasema. Kauli yake inajiri wakati ambapo tofauti zinaongezeka katika familia ya Odinga kuhusu mwelekeo wa ODM na ushirikiano wake na serikali ya Kenya Kwanza. Shangazi yake, Mwakilishi wa Kike wa Kisumu, Ruth Odinga, amesema yuko tayari kuondoka ODM ikiwa kufanya hivyo kutasaidia kutetea haki na demokrasia. Akizungumza katika uwanja wa Migwena wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha kaka yake, alisema, "Ikiwa kusimama na ODM kunamaanisha kujitolea kila kitu kulinda haki, basi iwe hivyo. Nikilazimika kujiunga na chama kingine ili kuhakikisha haki inapatikana Kenya, nitafanya hivyo." Winnie naye amekosoa baadhi ya misimamo ya uongozi wa ODM na kutangaza kuwania kiti cha useneta wa Nairobi kinachoshikiliwa na Edwin Sifuna. "Isiwe uvumi tena; Edwin Sifuna anapotafuta wadhifa wa juu, mimi nimeona nafasi. Ndiyo maana nitawania useneta wa Nairobi. Hata hivyo, sitaenda peke yangu; ninaenda na vijana," akasema. Kuhusu azma ya Winnie, Bw Junior alisema ana haki ya kidemokrasia kuwania kiti hicho lakini akamtaka kutafuta tiketi ya ODM kwa kushindana na Mbunge wa Lang'ata, Phelix Odiwuor almaarufu Jalang'o, katika uteuzi wa chama. Bw Junior amekuwa akimuunga mkono Jalang'o, akisema ODM inapaswa kumuunga mkono atakayeshinda uteuzi. Tofauti hizo pia zimeibua mjadala kuhusu nani anayefaa kuendeleza urithi wa kisiasa wa Raila. Bw Junior alipinga hatua ya baadhi ya wazee wa jamii ya Luo kumtawaza Winnie kuwa mrithi wa kisiasa wa babake. Siku ya kutawazwa kwa Bi Winnie, Bw Junior na Jaoko Oburu, anayelenga ubunge wa Bondo, walikutana na Waziri wa Ushirika Wycliffe Oparanya, aliyeahidi kuwaunga mkono kisiasa. Bw Junior pia amemtetea mamake Ida Odinga dhidi ya ukosoaji kuhusu maandalizi ya maadhimisho hayo, akisema kamati ilihusika na mialiko kwa kushauriana na familia.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 19 Oct 2026 02:38:10
Bollywood actor Tiger Shroff survives shooting in Mumbai
Bollywood actor Tiger Shroff has survived a shooting in Mumbai and has not sustained any gunshot wounds, according to Indian police who are investigating the incident. The 36-year-old was shot at on Sunday evening, while he was in a car that was leaving a football club in the suburb of Juhu. Several news outlets have [...] The post Bollywood actor Tiger Shroff survives shooting in Mumbai appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 19 Oct 2026 02:41:06
Macron calls for 'calm and order' after riots across France
French President Emmanuel Macron called for calm and order after a major day of protests turned into rioting and looting on Saturday, and as some disorder continued in Paris on Sunday. In a national address from the Élysée Palace, he warned those who had taken part not to escalate, adding: We all feel anger and [...] The post Macron calls for calm and order after riots across France appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content