taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 15 Jul 2026 07:55:02
Aliishi bila ajira ila akapata wazo la kipato kupitia ukuzaji wa mboga kwenye matairi
ZAHARA Mohamed, 45, ni mkazi wa kijiji cha Kauthara, tarafa ya Hindi, Kaunti ya Lamu. Miaka kadhaa iliyopita, Bi Mohamed alikuwa akiishi bila kazi yoyote isipokuwa kutekeleza majukumu ya nyumbani tu kama mke, ikiwemo ulezi, kupika na kutunza nyumba. Ila kwa sasa yeye ni mkulima na mfanyabiashara hodari wa mboga aliyejikimu binafsi. Miongoni wa mimea anayopanda ni mchicha, spinachi, sukumawiki, hoho na mnavu. Alipokea maarifa ya kupanda na kukuza mboga kutumia matairi kupitia elimu ya mitandaoni, hasa TikTok na YouTube. Shughuli za kilimo chake cha mboga huzitekeleza bila matumizi ya dawa au kemikali. Upekee wa mboga zake ni kwamba badala ya kunyunyiza kemikali, yeye huthamini sana matumizi ya michanganyiko asilia, ikiwemo majani ya mwembe na mwarobaini katika kupigana na wadudu waharibifu shambani. Mbolea yake anayotumia pia ni ile ya mchanganyiko wa vitu kama vile mboji (compost) iliyooza na kutayarika vizuri. Akiwa pia ni mfugaji kuku, mbuzi na kondoo, yeye hutumia sana kinyesi cha wanyama hao kama mbolea yake murua ya kikaboni, hivyo kuinawirisha mimea na bustani yake. Mama huyo wa watoto watano alianza kilimo cha mboga kupitia matairi makuukuu mnamo 2024, akianza harakati zake akitumia gharama ya kwanza kabisa ambayo ilikuwa ni Sh6,000. Miaka miwili baadaye, Bi Mohamed anakiri kuwa kilimo chake cha mboga ni biashara ya maana kwani humpatia kati ya Sh15,000 na Sh20,000 kwa mwezi. Yeye husambaza mboga zake kila wiki kwa wafanyabiashara wa ndani ya soko la manispaa ya Hindi. Hoteli nyingi na mikahawa ya mjini Hindi pia huodesha mboga zake. Isitoshe, Bi Mohamed huzungusha bidhaa zake kwa pikipiki kwenye vijiji na vitongojini ambapo anakiri kuvuna pakubwa. "Mimi situmii kemikali ya aina yoyote kutekeleza kilimo changu cha mboga. Nimeelekeza fikra na nguvu zangu zote kuendeleza kilimo hai. Hujihisi mwenye furaha ninapozalisha mboga ambazo ninajua hazina madhara yoyote kwa wateja wangu nikifahamu fika kwamba nimezikuza kwa njia asili kupitia kilimo hai," akasema Bi Mohamed. Wiki nzuri yeye huuza mboga za kati ya Sh4,000 na Sh5,000 kwani mara nyingi mavuno ya mboga kwenye bustani yake hupanda au kushuka. "Sijuti kamwe kuanzisha mbinu hii ya kukuza mboga kwenye magurudumu ya zamani. Haya matairi huonekana na wengi kuwa ni takataka tu ila kwangu yamefaulisha kilimo na kunipa ajira," akasema Bi Mohamed. Ili kuhakikisha kuna usambazaji wa kutosha kwa maji kwenye mboga zake bustanini, Bi Mohamed amechimba kisima ambacho amekiunganisha kupitia mashini ya kupiga maji na mabomba. Mboga anazouza sokoni na mitaani zimemwezesha kupata mtaji unaomsaidia kuchangia kukimu majukumu ya nyumbani, ikiwemo ununuzi wa chakula, kulipia watoto karo na mengineyo. "Nashukuru. Kupitia kilimo cha mboga cha matairini, nimegeuzwa kutoka hali ya zamani ambapo nilikuwa mke wa nyumba tu. Nilimtegemea mume wangu kukidhi mahitaji yote ya nyumbani na yangu binafsi. Ila leo najisimamia mwenyewe kifedha na hata kumsaidia bwanangu kutekeleza baadhi ya majukumu ya kifamilia," akasema Bi Mohamed. Aliwashauri wakazi wa Lamu waliojikita katika mtazamo kwamba eneo hilo ni ngome ya uvuvi kama kitega uchumi cha pekee kuondoa fikra au dhana hiyo. "Kupitia juhudi zangu nimebaini kuwa ukulima, hasa ule wa mboga na ufugaji hufanya vyema eneo hili letu. Badala ya kutegemea uvuvi, wajaribu kilimo na katu hawatajuta ilmuradi wawe wavumilivu," akasema Bi Mohamed. Afisa wa kilimo nyanjani wa serikali ya kaunti ya Lamu, Bw Lenox Katana anaeleza kuwa kupanda mboga kwenye matairi ya zamani ni njia nzuri, rahisi, na ya gharama nafuu ya kuanzisha bustani ya nyumbani, hasa kwenye maeneo madogo kama vile kwenye viwanja vya miji au mitaa ya miji kama vile Lamu, Malindi, Mombasa, Nairobi na kwingineko. Bw Katana anataja manufaa ya kukuza mboga kwenye matairi makuukuu kuwa njia inayosaidia kuhifadhi unyevu na inayozuia mmomonyoko wa udongo. Faida nyingine za matairi ni kuweka joto linalochochea ukuaji wa mimea. Bw Katana anafafanua kuwa rangi nyeusi ya mpira wa matairi hufyonza joto la jua na kuufanya udongo kuwa wa uvuguvugu, jambo ambalo ni zuri kwa ukuaji wa mimea wakati wa baridi au nyakati za usiku. Pia anaitaja mbinu hii ya kilimo kwamba inatoa uhuru wa mkulima kupanga bustani yake kwa mtindo wowote anaoutaka, hata ikiwa ni kwenye maeneo ya sakafu ngumu kama lami au zege. Ila anashauri mkulima kwamba ni vyema kuhakikisha tairi limetobolewa mashimo chini ili kuruhusu maji ya ziada kupita na kuepusha kuoza kwa mizizi ya mimea. "Kilimo cha mboga kutumia matairi makuukuu chaweza kutekelezwa hata kwenye vibaraza au pembezoni mwa nyumba yako katikati ya mji ambako mara nyingi ardhi kubwakubwa za kutekelezea kilimo zinakosekana," akasema Bw Katana. Katika kutekeleza uzalishaji mboga kwenye matairi ya zamani, Bw Katana anashauri kuhakikisha wakulima wanaweka udongo uliochanganywa vizuri na mbolea ndani ya matairi hayo. Kinachofuata ni mja kuumwagilia udongo husika maji kabla ya kupanda mbegu au miche ya mboga kama vile spinachi, sukumawiki, vitunguu, nyanya nakadhalika. Bw Katana anashauri kuwa kwa mimea yenye mizizi mirefu kama viazi vikuu, itakuwa ni vyema mkulima kuweka tairi mbili juu kwa juu kwenye bustani yake.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 07:21:07
Allyson Felix Net Worth
Allyson Felix is an American retired track and field sprinter with an estimated net worth of $4.5 million. Widely regarded as one of the greatest athletes in the history of athletics, Felix built her fortune through prize money, endorsement deals, sponsorships, and a remarkable career that saw her become the most decorated female track and [...] The post Allyson Felix Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 07:34:00
Sanya Richards-Ross Net Worth
Sanya Richards-Ross is a Jamaican-American retired track and field athlete with an estimated net worth of $4 million. The figure represents her combined wealth with her husband, former NFL player Aaron Ross. Richards-Ross built her fortune through an outstanding athletics career, endorsement deals, television appearances, business ventures, and broadcasting. She is widely regarded as one [...] The post Sanya Richards-Ross Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 07:45:07
Report shows rise in Kenya's high-net-worth individuals in 2026
The number of high-net-worth individuals (HNWIs) in Kenya grew significantly in 2026, with wealth managers reporting stronger growth in wealthy clients compared to the previous year, according to the latest Knight Frank Wealth Investment Trends Report 2026. The report shows that 44 percent of wealth managers recorded growth of between 11 and 20 percent [...] The post Report shows rise in Kenyas high-net-worth individuals in 2026 appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 06:46:06
Keiyo South schools embrace clean energy as Kyogreen biogas programme expands
Schools in Keiyo South are set to benefit from clean and affordable energy following the commissioning of the KyoGreen Biogas Unit at Mokwo Girls Secondary School and the launch of additional biogas projects in other learning institutions. Head of Public Service Felix Koskei commissioned the KyoGreen Biogas Unit at Mokwo Girls Secondary School, describing it...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 06:46:58
Government assures stable petroleum supply amidst Middle East tensions
The Government has assured Kenyans that the country's petroleum supply remains stable despite escalating tensions in the Middle East that have disrupted global oil markets and triggered uncertainty over international fuel prices. Energy and Petroleum Cabinet Secretary Opiyo Wandayi said attacks on commercial vessels around the Strait of Hormuz had reduced oil tanker traffic and...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 06:48:59
Coffee programme targets increased household incomes in Elgeyo Marakwet
Farmers in Sambirir and Kapsowar wards are set to benefit from increased coffee production following the launch of the second phase of coffee seedling distribution by Elgeyo Marakwet Woman Representative Caroline Ngelechei. The launch marks the completion of the coffee seedling distribution programme across all coffee growing wards in Elgeyo Marakwet County, a key milestone...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 06:50:27
Kenya targets five million tourists to boost foreign exchange earnings
Tourism Principal Secretary (PS) Prof. Julius Bitok has said the government is targeting five million international tourists as part of efforts to increase foreign exchange earnings and accelerate economic growth. Speaking during a courtesy call at Hill School Senior School in Eldoret, Uasin Gishu County, on Monday, Prof. Bitok said tourism remains Kenyas leading foreign...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:47:49
Usain Bolt Net Worth
Usain Bolt is a retired Jamaican sprinter with an estimated net worth of $90 million. Widely regarded as the greatest sprinter in history, Bolt dominated track and field for more than a decade while becoming one of the worlds highest-paid athletes through prize money, endorsements, appearance fees, and business ventures. The eight-time Olympic gold medalist [...] The post Usain Bolt Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 07:00:05
Justin Gatlin Net Worth
Justin Gatlin is a retired American sprinter with an estimated net worth of $3 million. The former Olympic champion enjoyed one of the longest and most successful careers in track and field, winning Olympic and World Championship medals over nearly two decades. Known for his explosive speed and remarkable longevity, Gatlin captured an Olympic gold [...] The post Justin Gatlin Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 07:06:00
How witness was paid Sh50,000 to trail slain MP Ong'ondo Were's vehicle
The prosecution strengthened its case in the murder trial of former Kasipul lawmaker Charles Ongondo Were after presenting a key witness under the Witness Protection Programme before the High Court at Kibera. Prosecution, led by Senior Deputy Director of Public Prosecutions Vincent Monda, alongside Senior Assistant Directors of Public Prosecutions Wangui Gikuyi and Sarah Ogweno, [...] The post How witness was paid Sh50,000 to trail slain MP Ong'ondo Were's vehicle appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 07:08:21
Tyson Gay Net Worth
Tyson Gay is a retired American track and field sprinter with an estimated net worth of $6 million. He built his wealth through a successful athletics career, endorsement deals, appearance fees, and prize money earned during more than a decade as one of the worlds fastest sprinters. Gay remains the American record holder in the [...] The post Tyson Gay Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 15 Jul 2026 06:55:54
ODM na UDA zapoteza ngome wanasiasa wakijipanga kwa 2027
HATUA ya baadhi ya vyama kujipanga kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 imeanza kubadili mwelekeo wa vyama hivyo huku utafiti mpya ukionyesha kuwa umaarufu wa chama cha UDA na mshirika wake katika serikali jumuishi, ODM, umepungua katika baadhi ya maeneo yaliyokuwa ngome zao. Kulingana na utafiti wa Infotrak uliotolewa Jumatatu, UDA ya Rais William Ruto bado inaongoza kwa umaarufu wa asilimia 22, ikifuatiwa na ODM kwa asilimia 21. Chama cha Democracy for Citizens Party (DCP) cha aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kimeorodheshwa cha tatu kwa asilimia tisa. Jubilee kinaungwa mkono na asilimia sita huku Wiper Democratic Movement cha Kalonzo Musyoka kikipata asilimia tano. Utafiti huo unaonyesha kuwa, UDA imepoteza pakubwa ushawishi wake katika eneo la Mlima Kenya, ambalo lilikuwa ngome yake kuu wakati wa uchaguzi wa 2022. Kwa sasa, chama hicho kinaungwa mkono na asilimia tisa pekee katika eneo hilo. Badala yake, DCP imeibuka kuwa chama maarufu zaidi Mlima Kenya kwa asilimia 33 huku asilimia 36 ya wakazi wakisema bado hawajaamua chama watakachounga mkono. Katika uchaguzi wa 2022, kaunti 10 za Mlima Kenya pamoja na saba za Bonde la Ufa Kaskazini zilimpa Rais Ruto takriban kura milioni 4.5, sawa na asilimia 63 ya kura zote alizopata. Hata hivyo, hali hiyo imebadilika kutokana na mivutano ya kisiasa iliyoibuka baada ya kuondolewa mamlakani kwa Bw Gachagua mnamo 2024. Kwa sasa, UDA inaungwa mkono zaidi Kaskazini Mashariki kwa asilimia 45, Bonde la Ufa kwa asilimia 39 na Pwani kwa asilimia 29. Magharibi asilimia 18, Mashariki asilimia 16, Nyanza asilimia 13 na Nairobi asilimia nane. Kwa upande wa ODM, utafiti unaonyesha umaarufu wake umeshuka kutoka asilimia 38 mnamo Septemba 2024 hadi asilimia 21 sasa. Wachambuzi wanaeleza kuwa ushirikiano kati ya Rais Ruto na kinara wa zamani wa ODM Raila Odinga umechangia mgawanyiko ndani ya chama hicho. Kutokana na hali hiyo, kundi la Linda Mwananchi linaloongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, limeendelea kupata ushawishi kote nchini.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:21:19
Body of Tanzanian woman found dumped in banana farm on Kiambu-Nairobi border
Detectives launched a murder investigation after the body of a 19-year-old Tanzanian woman was found dumped in a banana plantation along the Rosslyn-Gigiri border in Kiambaa Sub-County, Kiambu County. The body was discovered on Tuesday afternoon by a woman who had gone to her banana farm, prompting a report to Rweno Police Station. Police officers [...] The post Body of Tanzanian woman found dumped in banana farm on Kiambu-Nairobi border appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:22:00
How to Buy Airtime on Capitec Without Airtime
Running out of airtime can be frustrating, especially when you need to make an urgent call or stay connected. Fortunately, Capitec offers several ways to buy airtime even if you have no airtime left on your phone. If you have a registered Capitec account, you can use the Capitec app with zero-rated data on supported [...] The post How to Buy Airtime on Capitec Without Airtime appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:25:11
How to Buy Airtime Using Capitec USSD
Capitecs USSD cellphone banking service allows you to buy airtime quickly without using mobile data or the Capitec app. As long as you are registered for Capitec Mobile Banking, you can purchase airtime for yourself or someone else directly from your bank account using your phone. Learning how to buy airtime using Capitec USSD is [...] The post How to Buy Airtime Using Capitec USSD appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:28:22
How to Buy Airtime with FNB Without Airtime
Running out of airtime does not have to leave you disconnected. FNB allows customers to buy airtime directly from their bank accounts even when they have no airtime available on their phones. By using FNBs free Cellphone Banking service or the FNB App, you can top up your prepaid mobile number quickly and securely. Learning [...] The post How to Buy Airtime with FNB Without Airtime appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:31:07
How to Buy Airtime with a Mr Price Account
A Mr Price Money account allows eligible account holders to purchase airtime and data using their available credit. This provides a convenient way to stay connected without paying cash upfront, as the cost is added to your Mr Price account balance. You can buy airtime through the Mr Price app, online account, or by using [...] The post How to Buy Airtime with a Mr Price Account appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 06:39:30
Investors shift focus to refurbishing older commercial buildings, report shows
Investors are increasingly choosing to renovate older commercial buildings instead of buying new developments, as demand rises for energy-efficient and environmentally sustainable office space. According to the Knight Frank Kenya Wealth Investment Trends Report 2026, about 38 percent of respondents said their clients are investing in underperforming commercial properties and upgrading them while retaining [...] The post Investors shift focus to refurbishing older commercial buildings, report shows appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content