taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 10 Jul 2026 09:41:58
Wazee waonya mwenzao, 78, aliyeiga mbwembwe za Gen-Z
BARAZA la wazee kijijini hapa lililazimika kuandaa kikao cha dharura kuonya mmoja wa wanachama wake. Hii ni baada ya tabia, lugha, mavazi na mienendo ya mzee huyo wa miaka 78 kubadilika ghafla. Hivi majuzi mzee huyo alimtembelea mmoja wa watoto wake wanaoishi mjini. Inaaminika mitindo ya mavazi na muonekano wa vijana wanaoishi jijini ndiyo iliyomgeuza mzee kimtazamo kwani tangu arudi amekuwa akivalia mavazi ya kizazi cha Gen Z. Ni hali ambayo imemwacha mkewe, watoto, wajukuu na hata majirani ambao wamekuwa wakiishi naye mashambani kumshangaa na hata kuhisi kuaibika. Juhudi za mkewe kujaribu kumweleza aache kuiga mtindo wa vijana ziligonga mwamba kwani amekuwa akidakia kwamba yeye bado ni mdogo. "Sikiliza wewe. Mimi bado natamba. Uniache kabisa," akafoka buda huyo naye akafahamisha baraza la wazee mtaani mzee akaitwa kushauriwa akome kuiga rika ambalo halilingani na umri wake uliosonga.
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 09:13:12
Blood shortage delays C-section at the Embu Level 5 Hospital
A critical blood shortage at Embu Level 5 Hospital has sparked public outrage after an expectant mother reportedly waited for several days to undergo a life-saving Caesarean Section (CS) due to shortage of blood required to facilitate the operation. The woman, who had been scheduled for the procedure since Saturday and in labor pain, could...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 09:16:20
Leaders in Isiolo prepare for Presidential visit
Isiolo leaders both at the county administration and national government, alongside development partners have convened in Isiolo to finalize preparations for the operationalization of the Isiolo Export Abattoir, ahead of a scheduled Presidential visit later this month. The meeting, chaired by the Senior Presidential Advisor on Food Security and Animal Production, Dr. Dominic Menjo, alongside...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 09:18:18
The affordable housing programme takes off in Marsabit
The affordable housing programme has officially kicked off in Marsabit County, following the handing over of a two acre construction site to a contractor, where 220 housing units will be built Presiding over the ceremony, Marsabit County commissioner (CC) Stanley Kamande, noted that the Sh670 million project is expected to be completed within 18 months....
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 09:20:24
Tuk-Tuk operators issue strike notice over new transport rules
Tuk-tuk operators in Mombasa have issued a seven-day ultimatum to the County government to address their concerns over the new transport regulations failure to which they threatening to withdraw their services. The operators, represented by the Bodaboda and Tuk Tuk Transport Cooperative Union of Kenya (BOTUK) and the Mombasa Tuk-Tuk Union, accused the Mombasa County...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 10 Jul 2026 08:51:56
Kenyan Banks Record Sh111.8 Billion Profit as Lending and Deposits Grow
Kenyas commercial banks recorded a combined pre-tax profit of Sh111.8 billion in the four months to April 2026, reflecting strong growth in lending and improved asset quality that has boosted the sectors earnings. Data released by the Central Bank of Kenya (CBK) shows the banks pre-tax profit increased by 13.8 percent from Sh98.2 billion recorded [...] The post Kenyan Banks Record Sh111.8 Billion Profit as Lending and Deposits Grow appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 10 Jul 2026 09:18:43
Detectives Seize Sh24.7 Million Cannabis Haul in Voi, Arrest Two Suspects
Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) have intercepted a trailer transporting cannabis worth approximately Sh24.7 million in Voi, Taita Taveta County, and arrested two suspects. In a statement, the DCI said detectives from the Anti-Narcotics Unit (ANU) in Mombasa and Voi, working jointly with officers from Voi Police Station, acted on intelligence to [...] The post Detectives Seize Sh24.7 Million Cannabis Haul in Voi, Arrest Two Suspects appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Fri, 10 Jul 2026 09:05:00
IEBC barks without biting as Ol Kalou by-election is marred by bribery, spending spree
The Ol Kalou by-election has been overshadowed by allegations of voter inducement, misuse of public resources and intensified government project rollouts.
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 08:08:59
"Increasing of school fees must be procedural," CS Ogamba insists
A recent agitation by school heads to have school fees hiked has been put on hold after Education CS Julius Ogamba termed the move as unprocedural. Ogamba noted that while the tutors may have a valid reason to call for hiking of fees, existing legal framework dictates that such a change can only be done...
read morekenyans.co.ke
@kenyans Fri, 10 Jul 2026 07:50:05
Ruto Unveils Massive Job Opportunities in Dangote's Lamu Refinery
According to sources privy to the information, the multi-billion-shilling project is currently in the preparatory stage, with engineering studies and site assessments ongoing.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 10 Jul 2026 07:55:05
Jinsi ndoto ya maisha bora ya kijana Cecil Ouma ilikatizwa na risasi katika gari la Katibu Fikirini
KATIKA mila za Waluo, kuna makazi yanayojulikana kama gunda - boma lililotelekezwa baada ya wenyeji kufariki au kuhama. Kwa kawaida, mwana anapooa hujenga makazi yake mwenyewe, lakini asiporudi kuendeleza boma la wazazi, historia ya familia inaweza kufutika kabisa. Hiyo ndiyo hali iliyo katika boma la marehemu Cecil Ouma, kijana aliyeuawa kwa risasi akiwa gari la Katibu wa Idara ya Masuala ya Vijana, Fikirini Jacobs, jijini Nairobi. Nyumba ya wazazi wake katika kijiji cha Kogelo Agoro, Kaunti ya Homa Bay, imeharibika vibaya. Kuta za udongo zimebomoka, paa limeharibiwa na kutu, mlango umeharibiwa na mchwa huku kichuguu kikionekana nyuma ya nyumba. Uwanja umejaa vichaka kiasi kwamba kwa muda mrefu umekuwa njia ya mkato kwa majirani. Lakini ndoto ya Ouma ilikuwa kufufua nyumba hiyo na kuondoa fedheha ya kuitwa gunda. Shemeji yake, Ascar Adhiambo, alisema walikuwa wamepanga kuanza ujenzi Agosti mwaka huu. "Tulikuwa tayari tumepanga mahali ambapo angejenga nyumba yake," alisema. Ouma alipoteza wazazi wake akiwa Darasa la Pili na kulelewa na mjomba wake hadi alipomaliza shule ya msingi. Baadaye alihamia Nairobi kutafuta ajira lakini, kutokana na ukosefu wa vyeti vya juu vya masomo, alijipatia riziki kama mhamasishaji wa vijana katika mikutano ya viongozi wa kisiasa. Mapema mwaka huu alimshawishi Bi Adhiambo kuacha kazi yake ya ususi Nairobi na kurejea kijijini ili awe msimamizi wa mipango yake ya kujenga upya boma la familia. "Aliahidi kugharamia masomo ya watoto wangu wanne. Nilirejea kijijini nikafungua saluni huku nikisubiri kuhamia nyumbani kwa wakwe zangu baada ya nyumba kujengwa," alisema. Sasa familia imeachwa katika sintofahamu. Mjomba wake Jonathan Otieno alisema walikuwa wanamtegemea Ouma kubadilisha maisha yao lakini ndoto hiyo imezimika. Familia pia inasema haina uwezo wa kugharamia mazishi na imeomba serikali kubeba gharama zote kutokana na mazingira ya kifo chake. Wakati huohuo, jamaa wanataka haki itendeke. Binamu yake Samuel Odhiambo alitaka uchunguzi ufanywe kwa uwazi na kuonya watu dhidi ya kuchangisha fedha kwa jina la marehemu bila idhini ya familia. Licha ya madai yaliyomhusisha na siasa chafu, familia na marafiki walimtetea Ouma wakisema alikuwa mchapakazi, mkarimu na tegemeo kuu la ukoo wake.
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 07:26:30
Governor Ayacko rebuts drug, oxygen shortage claims at Referral Hospital
Migori governor Ochilo Ayacko has dismissed claims of drug and oxygen shortages at Migori County Referral Hospital after an impromptu inspection found the facility well stocked with essential medicines, a fully operational oxygen plant and key health infrastructure projects nearing completion. Ayacko conducted the impromptu inspection to assess service delivery, monitor the progress of ongoing...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 07:33:51
Tana River activates disaster preparedness ahead of anticipated El Nino rains
The county government of Tana River is activating contingency plans for the impending El Nino rains to reduce its normally devastating effects. Scientists contend that El Nino as part of a larger climate cycle is a naturally occurring climate phenomenon characterized by the abnormal warming of the Pacific sea surface temperatures. The World Meteorological Association...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 10 Jul 2026 07:17:17
Abagusii elders condemn political violence
The Abagusii Cultural and Development Council of Elders has criticized the increased cases of political violence being witnessed across the county. Speaking to the press in Kisii town, the Chairperson of the Council Araka Matundura condemned the recent alleged attack on the Linda Mwananchis faction leaders convoy in Keumbu that left one person dead and...
read moreRight Column Content