taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 13 Oct 2026 06:55:36
Kindiki sasa aelekea Mlima Kenya Magharibi
NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki anatumia baraka za wazee waliomteua kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya kupanua ushawishi wake katika Mlima Kenya Magharibi, ambako utawala wa Rais William Ruto unakabiliwa na upinzani mkali wa kisiasa. Prof Kindiki aliidhinishwa na wazee katika uwanja wa Kirigiti, Kaunti ya Kiambu, Septemba 19, 2026, na mara moja
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 06:09:28
US Journalist apologises to Kenyans over Nairobi remarks
American Newsmax journalist Rob Finnerty apologized to Kenyans after facing backlash for comparing New York City's poor condition to Nairobi. During a discussion about immigration, he said he had no idea where the immigrants are coming from. "We have no idea where these people are from, they move to blue sanctuary cities and the cities [...] The post US Journalist apologises to Kenyans over Nairobi remarks appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 13 Oct 2026 05:55:41
Usuhuba wa Matiang'i na Nyoro waibua maswali
IKIWA imesalia chini ya miezi 10 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, upinzani unaendelea kukabiliwa na mashaka kuhusu viongozi wasioaminika ndani ya kambi hiyo, huku mvutano kuhusu mgombea wake wa urais ukiendelea. Mashaka hayo yamezidi baada ya Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro na aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang'i, kujitokeza kupinga madai yanayotilia shaka uaminifu wao ndani ya upinzani. Hivi majuzi wawili hao wameonekana kushirikiana kisiasa, hali iliyoibua maswali kuhusu mikakati yao kuelekea uchaguzi ujao. Kuingia kwa Bw Nyoro katika kambi ya upinzani kumepokelewa kwa mashaka, hasa na chama cha DCP ambacho kinaendelea kumhusisha na serikali ya sasa. Jumapili, Seneta wa Nyandarua, John Methu, ambaye ni Katibu Mkuu wa DCP, alitilia shaka nia ya Bw Nyoro, akidai kuwa hatua zake za kisiasa zinaweza kumnufaisha Rais William Ruto. Bw Methu alidai kuwa muda mfupi baada ya DCP kushinda uchaguzi mdogo wa Ol Kalou mnamo Julai, watu kutoka serikalini walimwendea na kumpa ofa ya kuanzisha chama chake ili kugawanya upinzani na kudhoofisha ushawishi wa kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua katika Mlima Kenya. Alisema alikataa ofa hiyo iliyohusisha kupewa chama, fedha, vifaa vya kampeni na wagombea, ili kushindana na DCP na kuifanya ionekane kuwa haishirikiani na serikali. Alidai pia kuwa mpango huo ungeweza kumwezesha kuwa mgombea mwenza wa Ruto. Bw Methu alisema Gavana wa Murang'a, Irungu Kang'ata, pia alifikiwa na pendekezo kama hilo, lakini akalikataa. Aliongeza kuwa alimweleza Bw Gachagua kuhusu suala hilo kabla ya kuwasiliana na Bw Nyoro, ambaye alisema alimwonya dhidi ya kuingia katika mtego wa kugawanya kura za Mlima Kenya. Kwa mujibu wa Bw Methu, mbunge huyo wa Kiharu alimwambia kuwa Rais Ruto anahofia umoja wa Mlima Kenya na hataki viongozi wa eneo hilo wawe katika chama kimoja. Bw Methu alidai Bw Nyoro alikuwa amemwahidi kujiunga na DCP baadaye, na hata alikuwa tayari kumpa nafasi yake ya pili baada ya Bw Gachagua. Hata hivyo, alishangazwa na uamuzi wa mbunge huyo kuanzisha chama chake. Bw Nyoro alizindua chama cha People's Party of Kenya (PPK) mnamo Agosti baada ya kujitenga na UDA ya Rais Ruto. Tangu wakati huo, amekuwa akizunguka nchini kukitangaza chama hicho kabla ya uchaguzi wa 2027. Akizungumza na Taifa Leo, Bw Nyoro alikanusha madai ya Bw Methu, akisema hawajawahi kukutana kujadili suala la kujiunga na DCP. "Hatujawahi kukutana kuzungumzia jambo kama hilo. Huo ni upuuzi mtupu na madai ya kitoto," akasema Bw Nyoro. Alimshutumu Bw Gachagua kwa kuongoza kampeni ya kumchafua, akidai kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa wakimfikishia ujumbe kutoka kwa Bw Gachagua Amerika ukiwaelekeza jinsi ya kumkosoa. Bw Gachagua mwenyewe amekuwa akiwaonya viongozi wa upinzani kuhusu watu anaodai wamepandikizwa na Rais Ruto katika vyama vyao ili kuvuruga umoja wao. Dkt Matiang'i pia amewahi kupinga madai kwamba anafanya kazi ya kudhoofisha upinzani kutoka ndani. Alisema shutuma hizo ni mbinu ya kukwepa kujadili masuala muhimu. "Watu wanapokosa hoja, huamua kutumia matusi na majina ya kudhalilisha," akasema mnamo Agosti. Dkt Matiang'i aliteuliwa hivi majuzi kuwa kiongozi wa chama cha Jubilee, akimrithi rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Bw Methu alisema anamwamini kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, akidai wameonyesha msimamo thabiti wa kutaka Rais Ruto aondoke madarakani. Hata hivyo, alionyesha kutokuwa na uhakika kuhusu Dkt Matiang'i, akisema urafiki wake wa kisiasa na Bw Nyoro umeibua maswali kuhusu uaminifu wake.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Tue, 13 Oct 2026 06:00:00
The Irony: Government splashes billions for politics, zero for university education
University lecturers strike exposes the Governments failure to secure a lasting salary deal, leaving students stranded despite billions of shillings committed to other sectors.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 05:23:20
How to Avoid Tonsillitis in Kids
Tonsillitis is the inflammation of the tonsils, the two small pads of tissue at the back of the throat. It commonly affects children and may be caused by viruses or bacteria. Learning how to avoid tonsillitis in kids can help parents reduce exposure to infections, encourage healthy habits, and recognise symptoms early. Although tonsillitis cannot [...] The post How to Avoid Tonsillitis in Kids appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 05:29:53
How to Live With a Narcissist Husband
Living with a husband who displays narcissistic traits can be emotionally exhausting, especially when you feel ignored, criticised, manipulated, or constantly blamed for problems in the marriage. Learning how to live with a narcissist husband can help you establish healthy boundaries, protect your emotional well-being, and make informed decisions about your relationship. Although you cannot [...] The post How to Live With a Narcissist Husband appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 05:30:03
Man found dead in abandoned borehole in Mombasa
A 28-year-old man was found dead in an abandoned open borehole in Kibarani Village, Jomvu Sub-County, Mombasa County, on Monday. The deceased, identified as Sepu Kitsao, was reportedly heading home from a nearby shop when he allegedly slipped and fell into the borehole. The incident was reported at around 1:45 p.m. on October 12, 2026. [...] The post Man found dead in abandoned borehole in Mombasa appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 05:32:47
Man found dead with deep cuts in Nairobi's Suna estate
Police have launched investigations into the suspected murder of a 34-year-old man whose body was found lying along a road in Suna Estate, Riruta, Nairobi. The deceased, identified as Jared Omayio, was discovered on Monday, October 12, 2026. Police responded to the scene and found Omayio's lifeless body. The man had two deep cuts on [...] The post Man found dead with deep cuts in Nairobi's Suna estate appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 05:34:14
How to Collaborate on an Instagram Post
Instagram allows users to collaborate on posts so that the same content can appear on multiple profiles and reach a wider audience. Learning how to collaborate on an Instagram post is useful for businesses, influencers, content creators, and friends who want to share content with their followers. When a collaboration invitation is accepted, the post [...] The post How to Collaborate on an Instagram Post appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content