kahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 11:14:20
Tax Revenue Collections Rise 14.85 Per Cent to Sh258.31 Billion
Kenya's tax revenue collections rose by 14.85 per cent to Sh258.31 billion in September, offering a boost to government revenue mobilisation as the Treasury faces pressure to meet its annual targets and finance rising expenditure. The National Treasury's September fiscal outturn update shows that the government continued to rely on domestic borrowing and external financing [...] The post Tax Revenue Collections Rise 14.85 Per Cent to Sh258.31 Billion appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 11:15:50
PS Ng'eno, 4 others injured as KFS helicopter crashes during take-off in Kericho
Environment Principal Secretary Festus Ng'eno was among five people injured after a Kenya Forest Service (KFS) helicopter crashed during take-off at Kericho Golf Club on Monday. The helicopter, registration number 5Y-FSK, reportedly crashed at the golf club grounds near Famous Hotel in Kericho County, leaving the aircraft severely damaged. Kericho County Police Commander Kivindu Kilonzo [...] The post PS Ng'eno, 4 others injured as KFS helicopter crashes during take-off in Kericho appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 12 Oct 2026 11:02:17
Treasury, Nema given 53 days to pay Sh200 million to Owino Ohuru lead poisoning victims
Justice Bellinda Akello ordered the Treasury and National Environment Management Authority (NEMA) to pay 10 per cent of the Sh2 billion within 53 days.
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 12 Oct 2026 10:00:22
Kabogo pledges smartboard for Lari school as Government pushes digital learning
Information, Communications and the Digital Economy Cabinet Secretary, William Kabogo, has promised to deliver a smartboard to Kirasha Primary School in Lari Constituency in Kiambu County this week as government promotes the use of smart technology in schools. Kabogo made the pledge during a Mazingira Day tree-planting exercise in Kamae, Lari, where he said the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 12 Oct 2026 10:14:01
Government plans Sh350 million Kopanga border post to boost trade
Residents of Suna West Sub-County have welcomed plans to construct the Sh350 million Kopanga Border Post, saying the project will boost cross-border trade, improve security and create employment opportunities. Speaking during a public participation exercise at the proposed construction site, Secretary in the State Department for Interior and National Administration, in charge of Border Management,...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 12 Oct 2026 10:36:07
Habitat for Humanity restores hope through homes and better schools
For Joyce Nduku, a vulnerable mother from Kalima Kathei village near Makutano Junction in Kyumbi, Machakos County, the collapse of her rusted iron-sheet house during heavy rains threatened her familys safety and dignity. With no reliable income beyond casual jobs, rebuilding the house was beyond her means. The leaking roof and weakened walls exposed her...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 12 Oct 2026 09:50:37
Government cracks down on forest and wetland encroachment
The government has warned individuals encroaching on forests and wetlands that they will face the full force of the law as Kenya intensifies efforts to restore degraded ecosystems and increase national tree cover. Narok County Commissioner Kipkech Lotiatia said authorities would not tolerate illegal activities, including grazing livestock in forests, logging, lighting fires and destroying...
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 12 Oct 2026 09:55:46
Jubilee yalenga kiti cha ugavana Mombasa
USHINDANI wa ugavana wa Mombasa katika uchaguzi wa 2027 unatarajiwa kupima uwezo wa vyama vya upinzani kuungana dhidi ya Rais William Ruto ili kudhibiti nyadhifa muhimu za uongozi katika kaunti hiyo. Kiongozi wa Jubilee Party, Fred Matiang'i, ametangaza kuwa chama hicho kitawasilisha wagombea katika nyadhifa zote za uchaguzi katika eneo la Pwani 2027, huku vyama vya upinzani vikiendelea na mazungumzo kuhusu uwezekano wa kuwa na mgombea mmoja wa urais. Hatua hiyo inaiweka Jubilee katika ushindani wa moja kwa moja na Wiper, ambapo Mbunge wa Nyali, Mohamed Ali, anapanga kuwania ugavana wa Mombasa kupitia tiketi ya chama hicho. Mbunge wa zamani wa Kisauni, Bw Ali Mbogo, pia anawania kiti hicho cha Gavana Abdulswamad Nassir wa ODM kupitia tiketi ya Jubilee. Awali, kinara wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Bw Rigathi Gachagua, alikuwa ametangaza kumuunga mkono Bw Ali, bila kujali iwapo atawania kiti hicho kwa tiketi ya DCP au Wiper. Dkt Matiang'i alisema Jubilee tayari kina watu wanaotaka kuwania nyadhifa mbalimbali Pwani, lakini hakutaja baadhi yao kwa sababu bado wanahudumu serikalini akisema huenda wakaandamwa iwapo watatambuliwa kabla ya kujiuzulu. "Tuna wagombea wengi ambao wanataka kuwania viti vya kisiasa kupitia chama chetu katika eneo hili. Tuna wagombea watatu katika kila kiti cha kisiasa huku Pwani, kwa hivyo tutafanya uteuzi ili kumpata mgombea bora zaidi," alisema. Jubilee pia imekuwa ikiandaa mikutano ya mashinani inapojitayarisha kwa Kongamano la Kitaifa la Wajumbe (NDC). Dkt Matiang'i alichukua uongozi wa chama hicho kutoka kwa Rais mstaafu Bw Kenyatta mwezi uliopita. Alisema Jubilee imewasilisha kanuni zake za uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na inajiandaa kufanya uteuzi wa wagombea kote nchini. Dkt Matiang'i pia alitetea uamuzi wake wa kuacha kazi katika Benki ya Dunia na kurejea nchini Kenya, akisema vijana wa Kenya, hasa kizazi cha Gen Z, walimtafuta wakitumia mtandao wa kijamii kabla ya kurejea kwake. "Nilipigiwa simu na vijana wa Gen Z kabla sijarejea hapa kutoka Benki ya Dunia. Jambo hilo lilikuwa kila mahali, kwenye mitandao ya kijamii," alisema. Alipuuza madai kwamba kurejea kwake katika siasa kulifadhiliwa na Bw Kenyatta. "Hapana. Mkitaka kuuliza kuhusu mfadhili, wafadhili wangu ni wananchi wa Kenya," alisema. Dkt Matiang'i alijiunga na Benki ya Dunia baada ya kuondoka serikalini 2022 na kurejea Kenya mwaka 2025 na kutangaza azma yake ya kuwania urais. Jubilee imemuidhinisha kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi wa 2027. Alisema kampeni yake inaungwa mkono na wakenya wa kawaida, wakiwemo wanaochanga fedha kwa ajili ya shughuli zake. "Urais unahitaji fedha nyingi, lakini mnajua kuwa azma yangu ya kuwania urais ni tofauti. Niliitwa kuja kuwatumikia Wakenya. Ni wao wanaofadhili kampeni zangu. Wananichangia fedha kwa ajili ya kampeni zangu, huku wengine wakinipatia fedha za mafuta ya gari," alisema. Dkt Matiang'i alisema anawania urais kwa sababu anaamini Kenya inahitaji kiongozi mwenye uzoefu katika utumishi wa umma na utaalamu katika kusimamia Idara za serikali. "Nina uzoefu katika utumishi wa umma baada ya kuhudumu katika wizara mbali mbali. Nimefanya kazi kwa karibu na rais wa zamani na ninaamini mimi ndiye mgombea anayefaa zaidi kuchukua uongozi wa nchi hii," alisema. Alisema atakabiliana na ufisadi, ubadhirifu wa rasilimali za umma, ushuru wa juu, ukosefu wa usalama na siasa za kikabila. Pia alikosoa sera za elimu za utawala wa Kenya Kwanza, hasa mfumo mpya wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu, akidai kuwa baadhi ya wanafunzi wameshindwa kuendeleza masomo kutokana na changamoto za ufadhili.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 12 Oct 2026 08:55:10
Matiang'i aidhinisha Wanjiru kuwania ugavana Nairobi
MGOMBEAJI wa ugavana Nairobi, Askofu Margaret Wanjiru, jana alipigwa jeki baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa kiongozi wa Jubilee Fred Matiang'i katika uchaguzi wa 2027. Akizungumza katika ibada ya kanisa la Jesus Is Alive Ministries jijini Nairobi Jumapili, Dkt Matiang'i alisema chama chake kitashirikiana kuhakikisha Askofu Wanjiru anakuwa gavana wa Nairobi. Alimtaka aendelee na kampeni zake, akisema yuko tayari kushirikiana naye kufikia wapiga kura. Askofu Wanjiru, ambaye atawania kiti hicho kupitia chama cha Kenya Moja Movement, alisema ndiye anayefaa kuongoza jiji na akawataka wagombeaji wengine kumuunga mkono ili kumshinda Bw Sakaja, anayetafuta muhula wa pili. Dkt Matiang'i pia alitoa wito kwa viongozi wa upinzani kuungana ili kuunda muungano moja wa kukabiliana na serikali katika uchaguzi mkuu wa 2027. Alikosoa vurugu na fujo katika mikutano ya kisiasa na kanisani, akisema maeneo ya ibada yanapaswa kuheshimiwa. Bi Wanjiru aliishutumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kushindwa kutimiza ahadi za kuboresha maisha na kuunda nafasi za kazi, huku akiahidi kushirikiana na viongozi wenye mawazo sawa ili kuleta mabadiliko ya kisiasa.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 12 Oct 2026 08:22:17
How Mzee Moi's prophecy on Kenya and multipartism has been fulfilled
Three decades after multipartyism, we have over one hundred registered parties, and almost every major community has more than one. We have produced no ideology, only merchants.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Mon, 12 Oct 2026 07:52:06
Kenya Okays New Plan to Protect Indian Ocean
The 15 resolutions aim to address key challenges facing the vast shared waters, which support marine and coastal ecosystems and provide livelihoods for millions of people living along the Indian Ocean.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 07:41:27
Mourners killed by Kenya police at ex-PM's national farewell not part of violence, BBC finds
Three mourners killed when Kenyan police opened fire at a national farewell for former Prime Minister Raila Odinga were not involved in a clash that sparked gunfire, a BBC Africa Eye investigation has found. During an event held last October for people to pay their respects to Odinga, three people were shot dead after mourners [...] The post Mourners killed by Kenya police at ex-PMs national farewell not part of violence, BBC finds appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 12 Oct 2026 07:55:27
Kilicho ndani ya nyumba ya milele ya Raila
MAKAVAZI ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Kang'o ka Jaramogi, Bondo, yameundwa kuhifadhi historia yake ya kisiasa na mchango wake katika safari ya kidemokrasia Kenya. Muundo wake wa pembe tano unaashiria umuhimu wa nambari tano katika maisha yake ya kisiasa, ukikumbusha kundi la viongozi watano wa ODM lililojulikana kama "Pentagon" wakati wa uchaguzi wa 2007. Ndani, ngazi tano zinaelekea kwenye kaburi lake, huku picha tano za Raila zikipamba kuta. Kaburi limewekwa juu ya jukwaa pana jeusi lenye taa chini yake. Pia kokoto nyeupe zimejaza sehemu zilizo karibu. Jiwe jeusi aina ya granite limeandikwa mojawapo ya kauli zake maarufu: Democracy is the price of freedom — Aluta Continua! ikimaanisha kuwa demokrasia ndiyo gharama ya uhuru na mapambano yanaendelea. Picha za kihistoria zenye mwangaza na michoro ukutani zinaonyesha safari yake ya kisiasa na mchango wake katika maendeleo ya demokrasia nchini. Pia kuna nukuu kutoka hotuba zake, ikiwemo alizotoa katika mkutano wa Azimio la Umoja katika Uwanja wa Kasarani na sherehe za Madaraka Dei za 2020. Ujumbe mmoja unasema: "Kinachofanya taifa kuwa kuu si watu linaowazalisha, bali watu linaowaheshimu." Taa kubwa ya kuning'inia kwenye kilele cha paa na spika tano za JBL huongeza mwangaza na sauti ndani ya jengo hilo. Maandishi mengine yanaeleza maisha yake tangu alipozaliwa Maseno mnamo 1945, masomo yake, hadi alipoibuka kuwa mmoja wa wanasiasa wenye ushawishi mkubwa nchini. Kwa jumla, makavazi hayo si mahali pa mazishi pekee, bali pia ni kumbukumbu ya maisha, misimamo na urithi wa Raila kwa vizazi vijavyo.
read moreRight Column Content