kahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 10:51:15
Sudanese court sentences RSF commander Hemedti and 15 others to death in absentia
Sudanese court on Sunday sentenced Rapid Support Forces (RSF) commander Mohamed Hamdan Dagalo ("Hemedti") and 15 other defendants to death in absentia after convicting them in connection with the killing of West Darfur Governor Khamis Abdullah Abkar and crimes committed in El Geneina. The ruling, issued by the Anti-Terrorism and Crimes Against the State Court [...] The post Sudanese court sentences RSF commander Hemedti and 15 others to death in absentia appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 10:55:11
Blow to South African corruption case as key suspect pulls out of plea deal
Vusimusi Cat Matlala, a key figure in an ongoing police corruption inquiry in South Africa, has withdrawn from a controversial plea deal, serving a blow to prosecutors. The business tycoon pulled out of the agreement after a South African court recommended a higher jail sentence 12 years instead of the agreed eight. Matlala was [...] The post Blow to South African corruption case as key suspect pulls out of plea deal appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 10:33:22
Murkomen speaks on political attacks in Kisumu and Nyahururu
Interior and National Administration CS Kipchumba Murkomen Monday maintained that the security agencies are doing everything to curb goonism and political violence in the country. The CS said that 20 suspects have already been arrested and set to be arraigned to court in connection with Sunday's incidents in Kisumu and Nyahururu. Lets not start pretending [...] The post Murkomen speaks on political attacks in Kisumu and Nyahururu appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 10:38:05
Government disburses Sh1.8 billion to 133,484 vulnerable households under hunger safety net programme
The government has disbursed more than Sh1.8 billion to over 133,000 vulnerable households in eight arid and semi-arid counties under the Hunger Safety Net Programme (HSNP), providing critical financial support to families affected by recurrent drought. The National Drought Management Authority (NDMA), under the Ministry of East African Community, Arid and Semi-Arid Lands and Regional [...] The post Government disburses Sh1.8 billion to 133,484 vulnerable households under hunger safety net programme appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 10:41:43
Ruku urges Mt Kenya youth to prioritise development over opposition politics
Cabinet Secretary for Public Service, Human Capital Development and Special Programmes Geoffrey Ruku has urged young people in the Mt Kenya region to shun opposition politics and instead focus on development, entrepreneurship and economic empowerment. Speaking during a meeting with youth leaders from Mt Kenya East in Meru County, Ruku said the regions progress would [...] The post Ruku urges Mt Kenya youth to prioritise development over opposition politics appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 10:28:18
Gikaria matatani kwa madai ya kutoa hongo Ol Kalou akipigia debe mwaniaji wa UDA
MBUNGE wa Embakasi Mashariki David Gikaria alipewa hadi saa saba unusu kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Nidhamu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini (IEBC) baada ya kukosa kufanya hivyo licha ya kuitwa hapo awali. Kamati hiyo inayoongozwa na Dkt Alutalala Mukhwana ilisitisha shughuli zake baada ya mbunge huyo kumtuma msaidizi wake Joseph Kariuki Nelima kumwakilisha katika kikao hicho. Kwenye uamuzi wake, Dkt Mukhwana alisema hawakuridhishwa na sababu zilizotolewa na msaidizi huyo kuhusu kutofika kwa Bw Gikaria. "Hatujaridhishwa na sababu zake kuhusu kutofika kikaoni kuhusu suala hili. Kwa hivyo, tunasitisha shughuli za kamati hii ili kumpa Bw Gikaria nafasi ya kusikizwa," akasema Dkt Mukhwana. Bw Gikaria anakabiliwa na dai la kukiuka mwongozo wa IEBC kuhusu uchaguzi mdogo. Inadaiwa alishiriki utoaji hongo kwa wapigakura alipokuwa akimfanyia kampeni mgombeaji wa UDA Samuel Muchina Nyaga. Kupitia msaidizi wake wa kibinafsi, Bw Gikaria aliambia kamati hiyo kwamba alikuwa mgonjwa na ni sadfa alitakiwa kufika mbele ya kamati wakati ambapo alikuwa amwone daktari wake. Mbunge huyo pia alidai kuwa hakuwasilishiwa malalamishi dhidi yake kwa njia inayofaa akisema alifahamu suala hilo kupitia mtandao wa kijamii. "IEBC inafaa kufuata sheria. Mimi ni mgonjwa na nina miadi na daktari," akasema Bw Gikaria.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 00:55:17
Vita vya mamlaka Senegal korti ikizima Sonko kumvua Faye madaraka kupitia bunge
DAKAR, Senegal: MAHAKAMA ya Juu ya Senegal imeondoa marekebisho kwenye katiba ya taifa hilo ambayo yangebadilisha usawazishaji wa mamlaka serikalini. Korti ilibaini kuwa marekebisho hayo yaliyopitishwa na kuidhinishwa na Bunge la Kitaifa mnamo Juni 29, yalienda kinyume na katiba. Kati ya marekebisho hayo yalikuwa yale ya kumzuia rais aliye madarakani kuhudumu kama kiongozi wa chama cha kisiasa. Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye wiki jana alisema alikuwa anapanga kuanzisha chama chake cha kisiasa. Shinikizo za kubadilisha katiba zimekuwa zikiendeshwa na chama tawala cha Pastef ambacho kinaongozwa na Spika na aliyekuwa Waziri Mkuu Ousmane Sonko. Wakosoaji wanasema marekebisho hayo yalikuwa njama ya mrengo wa Sonko kutwaa mamlaka. Faye alimtimua Sonko kama mkuu wa serikali mnamo Mei. Mahakama hiyo ya kikatiba ilisema Faye aliiomba iangazie marekebisho hayo na ibaini iwapo wanasiasa wa upinzani walikuwa wamefuata sheria. Uhasama kati ya Sonko na Faye ambao walikuwa washirika wa zamani, huenda ukakwamisha juhudi za Senegal za kupata suluhu kuhusu malipo ya madeni mengi ambayo yameisakama. Sonko alisema anaheshimu uamuzi wa mahakama.
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 13 Jul 2026 09:14:01
ODM to back President William Ruto's re-election bid
ODM will not field a presidential candidate in the next years General Election and will instead back President Rutos re-election bid, Party leader Oburu Oginga has declared. Oburu made the revelation during a fundraiser at Chiga Catholic Church in Homa Bay Town Constituency noting that negotiations for pre-election agreement with the Presidents team was now...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 13 Jul 2026 09:16:43
Maintain stringent biosafety protocols in confined field trials, urges NBA
Kenya's National Biosafety Authority (NBA), which is mandated to regulate research activities involving genetically modified organisms (GMOs), has urged research institutions conducting Confined Field Trials (CFTs) to strictly comply with the biosafety protocols stipulated in the Biosafety Act, 2009. Speaking during a visit to the Kenya Agricultural and Livestock Research Organization (KALRO) research facilities at Muguga (Biotechnology Research...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 13 Jul 2026 09:20:37
AKEFEMA calls for strategic investment in quality animal feed production
The Association of Kenya Feed Manufacturers (AKEFEMA) has called for increased investment in quality animal feed production, saying it is critical to boosting livestock productivity, strengthening food security, and transforming Kenya's agricultural sector. Speaking ahead of the AKEFEMA Feeds Exhibition and Conference (AFEC) 2026, AKEFEMA Chairman Joseph Karuri said the livestock industry must become more...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 13 Jul 2026 09:22:44
Modern beekeeping 'sweetens' farmers' incomes
For generations, maize farming has been the backbone of livelihoods in Lugari Sub-County, Kakamega County. But as climate change, declining soil fertility and rising production costs continue to erode profits, an increasing number of farmers are turning to modern beekeeping as a sustainable and lucrative alternative that is transforming household incomes while supporting environmental conservation....
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 09:05:10
Bei ya mafuta yaanza kupanda tena baada ya Amerika kurejelea vita na Iran
TEHRAN, Iran: MASHAMBULIZI baina ya wanajeshi wa Amerika na Iran yaliyoendelea tokea wikendi yamechangia kupanda tena kwa bei ya mafuta ulimwenguni. Iran ililenga vituo vya kijeshi vya Amerika katika eneo la Ghuba na kutangaza kuwa imefunga tena Mlango-bahari wa Hormuz. Wanajeshi wa Iran Jumatatu walisema walilenga kambi za jeshi la Amerika nchini Bahrain na Kuwait na kuharibu vifaa vya kijeshi nchini Oman. Pia Iran ilishambulia ghala la silaha katika kambi ya jeshi la Anga la Prince Hassan nchini Jordan huku ikilipiza kisasi shambulizi lolote linalotekelezwa na Amerika. Amerika nayo ilishambulia mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran, kambi ya jeshi pwani na boti za kijeshi. Ilitumia ndege za kivita, meli za kijeshi na ndege zisizo na rubani (droni). Mapigano hayo yanaonyesha kuwa muafaka wa kusitisha vita kati ya nchi hizo mbili sasa umekiukwa. Muafaka huo uliafikiwa mnamo Juni na ulilenga kufungua Mlango-bahari wa Hormuz na kusitisha vita kabisa kwa siku 60. Katika mahojiano mafupi na Reuters Jumapili, Rais wa Amerika Donald Trump alitabiri kuwa mara hii watalemea Iran katika vita hivyo. "Tunawashinda vibaya," akasema Trump. Kiongozi huyo tayari ameweka wazi kuwa hatilii manani muafaka uliotiwa saini ambao anasema umekufa japo akasema iwapo Iran inataka kunusurika bado kutakuwa na mazungumzo. Mwakilishi wa Iran kwenye mazungumzo na Amerika, Mohammad Baqer Qalibaf amesema kuwa wapo tayari kwa vita na hawatakubali kuhadaiwa tena. "Enzi za makubaliano yanayoegemea upande mmoja zimekwisha. Tuliwaambia watimize ahadi zeo au walipe gharama na sasa ukweli unaonekana," akasema. Vita vilivyoanzishwa na Amerika-Israel dhidi ya Iran mnamo Februari 28 vimevuruga usalama katika eneo la Ghuba na kuenea katika Mashariki ya Kati. Iran imeonyesha uwezo mkubwa wa kijeshi na umekuwa ukishambulia kambi za wanajeshi wa Amerika Mashariki ya Kati. Vita hivyo vimesababisha maelfu ya watu kuuawa, wengi wao wakiwa Iran na Lebanon. Iran imezima shughuli katika Strait of Hormuz na sasa kando na bei ya mafuta kupanda kuna mfumuko wa bei ya bidhaa kote ulimwenguni. Aidha Iran inasisitiza kuwa itafungua mkondo huo na kuruhusu meli za kupitisha mafuta iwapo Amerika itazima shughuli za kijeshi katika Pwani yake.
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 13 Jul 2026 08:52:39
Kiambu PWD's receive food hampers
The Kiambu County Government has distributed food hampers to 120 persons with disabilities in Gitothua Ward, reaffirming its commitment to strengthening social protection programs for vulnerable residents across the county. The exercise, spearheaded by the Directorate of Gender and Social Services under the Department of Education, Gender, Culture and Social Services, forms part of the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 13 Jul 2026 08:57:21
County creates corporation to strengthen agricultural services
Bungoma Governor Kenneth Lusaka has signed into law the Bungoma County Agriculture Institutions Development Corporation Act, 2025, paving the way for the establishment of a Sh230 million corporation to oversee, finance and modernize key agricultural institutions across the county. The new law creates the Bungoma County Agriculture Institutions Development Corporation, a body mandated to manage...
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 08:39:52
Kampuni inavyotumia ubunifu kuvutia wateja wa maua
WAKATI mamia ya wageni wa humu nchini na kutoka mataifa mbalimbali walipofurika katika Maonyesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya Maua (IFTEX) jijini Nairobi, kampuni moja ya Kenya ilivutia wengi kwa ubunifu wa kipekee uliosimamisha shughuli katika Ukumbi wa Visa Oshwal. Banda la Ole Engai Growers lilikuwa miongoni mwa yaliyopigwa picha zaidi katika maonyesho hayo ya mwaka huu, 2026 baada ya kuwasilisha sanamu ya farasi mwenye ukubwa wa wastani wa mnyama huyo, iliyotengenezwa kwa maua mabichi yaliyolimwa kwenye mashamba ya kampuni hiyo. Farasi huyo wa maua, aliyebuniwa kuadhimisha Mwaka wa Farasi katika kalenda ya Mwaka Mpya wa Kichina, aliunganisha sanaa na kilimo kwa njia iliyovutia wageni katika maonyesho yaliyofanyika kati ya Juni 2 na 4. Sanamu hiyo ilionekana kana kwamba ilikuwa hai kutokana na umbo lake lililoundwa kwa ustadi mkubwa, likiwa na kichwa, manyoya shingoni, mwili na miguu iliyopambwa kwa maua meupe, ya kijani na ya krimu. Ua aina ya gypsophila ndilo lililotumika zaidi kuunda mwili wa farasi huyo, likimpa mwonekano mweupe na laini kama wingu. Muundo huo uliashiria nguvu, kasi na ustahimilivu—sifa zinazohusishwa na farasi katika utamaduni wa Kichina, na pia ukuaji wa kampuni hiyo katika sekta ya maua. "Mwaka huu, 2026, ni Mwaka wa Farasi kulingana na kalenda ya Kichina. Tulitaka kuonyesha nguvu, ukuaji na uvumilivu kama kampuni kupitia maua tunayozalisha wenyewe," alisema Mkurugenzi Mwenza kampuni hiyo, Anjili Shah. Anjili alieleza kuwa wazo hilo lilibuniwa na timu ya kiufundi ya kampuni ikiongozwa na mbunifu mkuu ambaye amekuwa akiandaa mabanda yaliyoshinda tuzo katika maonyesho ya IFTEX kwa miaka kadhaa. Ubunifu huo uliiwezesha Ole Engai Growers kutwaa Tuzo ya Fedha ya Ubora wa Ubunifu (Silver Award for Design Excellence), baada ya mwaka uliopita kushinda tuzo ya banda bora zaidi. [caption id="attachment_190053" align="aligncenter" width="300"] Tuzo ya Ole Engai Growers baada ya kutumia muundo wa farasi wenye mvuto wakati wa Maonyesho ya IFTEX 2026. Picha|Sammy Waweru[/caption] Mwanzilishi mwenza na mkurugenzi wa kampuni hiyo, Sanir Shah, alisema maonyesho hayo yalionyesha uwezo wa kampuni hiyo kuzalisha maua ya kiwango cha juu na kubuni kazi za kipekee bila kutegemea maua kutoka kwa wazalishaji wengine. "Ole Engai Growers huzalisha maua katika shamba lenye ukubwa wa karibu hekta 29 eneo la Kaptagat, Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu," Sanir alifichua. Mbali na gypsophila, kampuni hiyo pia hulima maua aina ya delphinium ya rangi mbalimbali, asters, kangaroo paws, dianthus na kiwi mellow kulingana na mahitaji ya soko. Kulingana na Sanir, kampuni hiyo huuza nje takribani tani 1,200 za maua kila mwaka, masoko makubwa yakiwa Ulaya huku Mashariki ya Kati ikiandikisha ukuaji wa oda. Hata hivyo, alisema sekta hiyo inakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kupanda kwa gharama za usafirishaji wa mizigo kwa njia ya ndege. "Miaka mitano iliyopita tulikuwa tukilipa karibu Dola 1.4 za Amerika kwa kilo moja ya maua kusafirishwa. Sasa gharama imevuka Dola 4 kwa kilo. Hii imeathiri faida yetu," alisema. Baraza la Maua Kenya (KFC), pia, limeeleza kuwa gharama hizo zimeongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, jambo linaloongeza gharama za usafirishaji wa bidhaa zinazoharibika haraka kama maua. [caption id="attachment_190054" align="aligncenter" width="300"] Ole Engai Growers huzalisha maua katika shamba lenye ukubwa wa karibu hekta 29 eneo la Kaptagat, Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu. Picha|Sammy Waweru[/caption] "Kwa sasa, usafirishaji pekee unachangia zaidi ya asilimia 40 ya gharama zote za kuuza maua nje wakati wa msimu wa mauzo bora," anasema Clement Tulezi, Afisa Mkuu Mtendaji KFC. Aidha, bei ya mbolea imeongezeka kwa karibu asilimia 25 huku gharama za uzalishaji zikiongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 30. Changamoto nyingine ni mabadiliko ya tabianchi ambayo yamevuruga ratiba za uzalishaji kutokana na mvua zisizotabirika. Anjili alisema hali hiyo imefanya upangaji wa shughuli za shambani kuwa mgumu zaidi. Licha ya changamoto hizo, Ole Engai Growers inaendelea kupanua uzalishaji na kutafuta masoko mapya, hasa Mashariki ya Kati ya nchi za Uarabuni. Kwa ujumla, sekta ya maua nchini Kenya inaendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi. Mwaka 2025 iliiingizia nchi karibu Dola milioni 845 za Amerika (zaidi ya Sh110 bilioni), huku Kenya ikiendelea kuuza maua katika zaidi ya nchi 60 duniani, asilimia 70 ya mauzo hayo yakielekezwa katika soko la Umoja wa Ulaya (EU).
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 13 Jul 2026 08:39:03
Wetang'ula risks jail over alleged breach of court orders on political campaigns
The High Court has certified as urgent a contempt application seeking to have Speaker Moses Wetangula jailed for at least one month or fined Sh725,017 for each political engagement.
read moreRight Column Content