taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 09 Oct 2026 02:55:29
Madaktari, wauguzi waliohudumia mgonjwa wa Ebola waeleza sababu ya kukataa karantini
MADAKTARI na wauguzi wanane waliomhudumia mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini Kenya wameeleza wasiwasi wao kuhusu hatua ya kupelekwa karantini katika jengo lile lile la hospitali ya Nairobi Hospital ambako mgonjwa huyo alitibiwa na baadaye kufariki dunia. Katika taarifa ya pamoja, wahudumu hao wa afya walisisitiza kuwa hawapingi maagizo ya karantini wala ufuatiliaji wa kiafya unaohitajika kufuatia kisa hicho. Hata hivyo, wanahoji utaratibu unaotumika kwa sasa wakisema hauzingatii viwango tofauti vya hatari ya maambukizi kwa watu waliohusika. Kwa mujibu wao, kila mtu aliyewasiliana na mgonjwa huyo anaonekana kushughulikiwa kana kwamba alikuwa katika kiwango sawa cha hatari ya kuambukizwa virusi vya Ebola, jambo ambalo wanasema si sahihi kimatibabu. "Tunaelewa uzito wa kisa hiki na tunakubali kushirikiana kikamilifu na hatua za kulinda afya ya umma. Hata hivyo, tunataka tathmini ya hatari ifanywe kulingana na kiwango halisi cha kila mtu," walisema. Wahudumu hao walifichua kuwa mwanzoni waliarifiwa kuwa wangekamilisha siku 21 za ufuatiliaji na kujitenga nyumbani chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya. Baadaye, hata hivyo, walipewa maagizo ya kuhamia katika jengo la East Wing la Hospitali ya Nairobi ili kuendelea na karantini yao. Walisema jengo hilo ndilo lililotumika kumhudumia mgonjwa wa Ebola kabla ya kifo chake, jambo ambalo limezua maswali kuhusu usalama wao. "Tungependa kujua kama eneo hilo limesafishwa kikamilifu na kuthibitishwa rasmi kuwa salama kwa matumizi. Pia tunataka kufahamu sababu za kitaalamu zilizosababisha eneo hilo lichaguliwe kuwa kituo cha karantini," walieleza. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, mgonjwa huyo awali alitengwa katika chumba maalum ndani ya kitengo cha dharura kabla ya kuhamishwa kituo cha East Wing. Nairobi Hospital imesema kituo hicho kiko mbali na majengo mengine ya hospitali, kina lango lake maalum na wafanyakazi wake wa kujitegemea. Hata hivyo, wahudumu hao wanasisitiza kuwa walimhudumia mgonjwa huyo wakiwa wamevaa vifaa vyote vya kujikinga vinavyopendekezwa katika visa vya Ebola. Aidha, hakuna aliyeripoti kuwa na hitilafu kwenye mavazi hayo ya kinga wala kuhusika katika mtagusano wa moja kwa moja usio na kinga. Kwa msingi huo, wanataka tathmini ya kibinafsi ya hatari ifanywe kwa kila mhudumu badala ya kuwekewa viwango sawa na watu waliokuwa na mtagusano wa karibu na mgonjwa bila vifaa vya kujikinga. Walinukuu miongozo ya Shirika la Afya Duniani (WHO) inayotaka wahudumu wa afya wanaohusika katika matibabu ya wagonjwa wa Ebola kutathminiwa kulingana na kiwango halisi cha hatari ya kila mmoja. Miongozo hiyo inaeleza kuwa wahudumu waliokuwa na vifaa sahihi vya kujikinga hawapaswi kuchukuliwa sawa na watu waliokutana na mgonjwa bila kinga. "Kuwa karibu na mgonjwa pekee si kipimo sahihi cha hatari. Kinachopaswa kuangaliwa ni aina ya mtagusano na matumizi ya vifaa vya kujikinga," walisema. Pia wamepinga uwezekano wa kuwekwa pamoja katika karantini na watu waliotangamana zaidi na mgonjwa huyo. Kwa maoni yao, wahudumu waliotumia mavazi kamili ya kinga hawapaswi kushughulikiwa sawa na watu waliokuwa na mtagusano wa moja kwa moja bila ulinzi wa kutosha. Iwapo karantini ya taasisi itaendelea kutumika, wanapendekeza watu watenganishwe kulingana na viwango vya hatari walivyokumbana navyo. Pia wanataka kila mhusika apewe chumba chake binafsi chenye choo, huduma bora za matibabu, chakula cha kutosha, maji safi na vifaa vingine muhimu. Mbali na hilo, wahudumu hao wanataka usaidizi wa kisaikolojia na ufuatiliaji wa afya kazini kwa wote waliohusika katika kushughulikia mgonjwa huyo. Wanasema kazi yao iliwaweka katika mazingira hatari na hivyo wanapaswa kupewa fidia au marupurupu maalum ya mazingira hatari. Katika barua ya ndani ya hospitali hiyo Oktoba 6, Mkurugenzi Mkuu Dkt Felix Osano alisema wafanyakazi waliotambuliwa kuwa walitangamana na mgonjwa huyo wawasiliane moja kwa moja ili kubaini kiwango cha hatari walichokuwa nacho. Naye Katibu Mkuu wa Chama cha Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno (KMPDU), Dkt Davji Atellah, alisema wahudumu wa afya waliokuwa wamevaa vifaa vya kujikinga hawapaswi kuwekwa pamoja na watu waliotagusana moja kwa moja na mgonjwa bila kinga. Alisisitiza kuwa madaktari na wauguzi waliokuwa mstari wa mbele katika kuokoa maisha ya mgonjwa huyo wanastahili kulindwa na kupewa mazingira salama wakati wa karantini. Hata hivyo, Dkt Atellah alisema watu wanaotambuliwa kuwa katika hatari ya kuambukizwa Ebola wanapaswa kufuatiliwa kwa karibu ili kuzuia uwezekano wa kusambaza maambukizi kwa wengine.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Fri, 09 Oct 2026 03:00:00
Ebola contact nightmare: Why tracing Patient Zero can become national disaster
Health experts are warning that gaps in Ebola contact tracing and border surveillance could allow further infections, urging Kenya to strengthen monitoring and prepare for a wider outbreak.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 00:06:46
Fort Hood attacker's execution by firing squad will be livestreamed, Pentagon says
The public will be able to watch the execution of a former US Army major by firing squad, US Defence Secretary Pete Hegseth has said. An official from the Defense Department told the BBC the execution of Nidal Hasan, who fatally shot 13 unarmed US soldiers at Fort Hood in 2009, would be livestreamed. The [...] The post Fort Hood attackers execution by firing squad will be livestreamed, Pentagon says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:26:29
El Nino will intensify, then peak in December, UN says
El Nino will intensify even more before peaking in December, the United Nations said Thursday, warning it could be among the strongest witnessed since at least 1950. The naturally occurring weather phenomenon is set to bring higher temperatures to much of the planet, the UNs weather and climate agency said, with its impact compounding the [...] The post El Nino will intensify, then peak in December, UN says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:30:25
FBI arrests man for plotting mass shooting at Mall of America
The World Health Organization said Wednesday it could not produce a full risk assessment as it did not have the whole picture from Russia on the suspected plague death of a laboratory technician. The WHO, the United States and the European Union have all urged Moscow for more information after the death of the 28-year-old [...] The post FBI arrests man for plotting mass shooting at Mall of America appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:33:21
Margaret Hamilton, scientist who worked on NASA's Apollo program, dead at 90
American scientist Margaret Hamilton, who led development of the computer system used by NASAs Apollo lunar program, has died at the age of 90, her former employer said Wednesday. In a statement, the Massachussetts Institute of Technology called Hamilton, who taught at the prestigious university from 1959 to the mid-1970s, a computing pioneer and said [...] The post Margaret Hamilton, scientist who worked on NASAs Apollo program, dead at 90 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:06:04
Christa Pike now walking after failed US execution, lawyer tells BBC
Christa Pike is up and walking though mentally foggy while in hospital after last weeks botched attempt to execute her in the US state of Tennessee, her legal team says. Pike, 50, who was sentenced to death after murdering Colleen Slemmer with her then-boyfriend in 1995, survived two lethal injections on 30 September. Experts described [...] The post Christa Pike now walking after failed US execution, lawyer tells BBC appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:08:05
Arizona congressional candidate says she was raped while repairing campaign sign
A congressional candidate in Arizona has said she was raped in a car park as she repaired campaign signs late at night in her district. Bernadette Greene-Placentia, a Democrat, told the Phoenix New Times she was knocked unconscious during the alleged attack in the Phoenix suburb of Sun City on 14 August, waking up to [...] The post Arizona congressional candidate says she was raped while repairing campaign sign appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:10:51
Warrants used to search Andrew's homes were unlawful, court says
Thames Valley Police has accepted warrants it used to search Andrew Mountbatten-Windsors homes at the time of his arrest in February were unlawful, the High Court has heard. Following Thursdays ruling items seized in the raids will continue to be held by the police until a hearing in 2027, and the criminal investigation into Mountbatten-Windsor [...] The post Warrants used to search Andrews homes were unlawful, court says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:13:37
Venezuela's ex-leader Nicolás Maduro charged with conspiracy to commit torture
Prosecutors in the United States have accused Venezuelas former leader Nicolás Maduro and his wife, Cilia Flores, of conspiracy to commit torture. The fresh charges against the couple were made public on Thursday and are in addition to the drug-trafficking and weapons charges already brought against them, which they have denied. Maduro, 63, and Flores, [...] The post Venezuelas ex-leader Nicolás Maduro charged with conspiracy to commit torture appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:17:02
Italy approves elections overhaul as opposition accuse Meloni of 'scam'
Italys parliament has approved fiercely contested changes to the countrys electoral system championed by Prime Minister Giorgia Meloni ahead of elections due next year. Lawmakers voted 227 to 164 in favour of moving to a fully proportional system, which Meloni has argued will boost the chance of clear winners and more stable government. Opposition parties [...] The post Italy approves elections overhaul as opposition accuse Meloni of scam appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:20:40
Suspect in death of socialite Starlet Wahu narrates what happened leading to tragedy
Murder suspect John Matara has given the High Court a detailed account of the events that preceded the death of socialite Starlet Wahu, claiming he survived a violent knife attack at a South B apartment before fleeing the scene in search of medical assistance. Testifying before Justice Alexander Muteti, Matara denied killing Wahu, insisting that [...] The post Suspect in death of socialite Starlet Wahu narrates what happened leading to tragedy appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 22:24:36
Strong winds damage buildings, bring down billboard in Kisumu
Heavy rains accompanied by strong winds swept through Kisumu City on Thursday, damaging buildings, blowing off rooftops and bringing down a billboard that landed on vehicles. The intense downpour, which lasted less than 30 minutes, caused widespread disruption across parts of the city. Along Jomo Kenyatta Highway, a billboard was blown down by strong winds [...] The post Strong winds damage buildings, bring down billboard in Kisumu appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 08 Oct 2026 21:00:00
Contact tracing: Brace for the worst Ebola scenario
Health experts are warning that gaps in Ebola contact tracing and border surveillance could allow further infections, urging Kenya to strengthen monitoring and prepare for a wider outbreak.
read moreRight Column Content