standardmedia.co.ke
@standard Thu, 08 Oct 2026 05:00:00
2027 plan: Gachagua's DCP to partner with Sifuna's TEP
Edwin Sifunas presidential bid is reshaping Opposition alliances, with Rigathi Gachaguas DCP signalling willingness to work with him and potentially strengthen his claim to the Opposition ticket.
read morekenyanews.go.ke
@kna Thu, 08 Oct 2026 06:35:07
CHPs to join fight against, illicit liquor, drug abuse in Kirinyaga
Community Health Promoters (CHPs) in Kirinyaga County have been challenged to play a greater role in the fight against illicit brews and drug abuse by creating awareness and supporting efforts to rehabilitate people struggling with addiction. Speaking during a stakeholders' meeting bringing together the County Security Committee, Community Health Promoters and members of the business...
read morekenyanews.go.ke
@kna Thu, 08 Oct 2026 06:42:33
Kiambu groups urged to register, ahead of IEBC inclusion initiative
Community-based organisations (CBOs), self-help groups and other bodies representing youth, women, persons with disabilities (PWDs) and ethnic minorities in Kiambu County have been urged to get their registration documents in order. The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) plans to strengthen the involvement of marginalized communities in electoral activities. IEBC has asked registered state and...
read morekenyans.co.ke
@kenyans Thu, 08 Oct 2026 06:49:31
Several Feared Dead After Lorry Carrying Hawkers Plunges Into River
The crash has sparked renewed concerns over surging road accidents, with the latest NTSA data revealing that about 9,002 people died in road accidents between January and October 2026.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 06:39:59
Veteran Indian actor Nana Patekar dies at 75
Veteran Indian actor Nana Patekar, known for his intense performances and distinct dialogue delivery, has died at the age of 75 in Goa, his son Malhar told BBC Marathi. One of the most recognisable faces of Indian cinema, Patekar won three National Film Awards and became known for playing complex, often volatile characters. He was [...] The post Veteran Indian actor Nana Patekar dies at 75 appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 08 Oct 2026 06:55:36
Kutoka Lagos hadi Lamu: Dangote aandamwa na kesi kujenga kiwanda cha mafuta
MRADI wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote Lamu wa thamani ya Sh2 trilioni ulikaribia kukumbwa na kizuizi cha kisheria saa chache kabla ya uzinduzi wake rasmi. Wakazi 133 waliwasilisha kesi katika Mahakama ya Mazingira na Ardhi Malindi wakitaka shughuli za mradi huo zisitishe. Wakazi hao walidai kuwa ardhi hiyo ni ya mababu zao ambao wameishi, kulima na kuendeleza eneo hilo kwa vizazi. Walilalamika kuwa serikali na waendelezaji wa mradi walianza utekelezaji bila kukamilisha tathmini ya ardhi, fidia na mpango wa kuwahamisha wakazi. Mahakama hata hivyo ilikataa kuthibitisha kesi hiyo kuwa ya dharura na kuwaagiza walalamishi kuwapa wahusika stakabadhi za kesi. Hivyo, hafla ya kuweka jiwe la msingi iliendelea Septemba 30. Siku chache baadaye, mradi huo ulikuwa tena mahakamani baada ya kesi nyingine kuthibitishwa kuwa ya dharura. Kesi hiyo inataka serikali kuweka wazi mikataba na ahadi zilizotolewa kuhusu ushiriki wa Kenya katika mradi huo. Hata hivyo, bilionea wa Nigeria Aliko Dangote alisema kesi hizo hazitamzuia kutekeleza ndoto yake ya kufanya Afrika ijitegemee katika nishati. "Ukitaka kwenda kortini kuzuia kiwanda cha Lamu, endelea. Tuko tayari. Hili ni jambo la kawaida Afrika," alisema. Kauli hiyo inaonyesha kuwa Dangote si mgeni wa vita vya mahakama katika miradi yake mikubwa ya mafuta. Nchini Nigeria, kiwanda chake cha Lagos chenye uwezo wa kusafisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku kimekumbwa na mizozo kuhusu usambazaji wa mafuta ghafi, uagizaji wa mafuta kutoka nje, kanuni za serikali na ushindani katika sekta hiyo. Kabla ya kujengwa Lekki, mradi huo ulipangwa kujengwa katika eneo la Olokola Free Trade Zone. Mpango huo ulikumbwa na changamoto za kisiasa, urasimu na mzozo kuhusu ardhi na hatimaye Dangote akahamishia mradi Lekki. Hata huko, makundi ya mazingira na wavuvi yalipinga shughuli za kuchimba mchanga na kubadilisha mazingira ya pwani, yakidai kuwa ziliathiri maeneo ya kuzaliana samaki na kuongeza mmomonyoko wa ardhi. Dangote baadaye alitia saini makubaliano na jamii 15 za eneo hilo ili kupunguza mizozo. Kampuni ilisaidia kujenga barabara, madarasa, visima, kutoa ufadhili wa masomo na mafunzo ya ufundi kwa vijana. Kiwanda chake cha Lamu kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku na kuunda zaidi ya ajira 60,000 wakati wa ujenzi. Rais William Ruto alisema mradi huo ni zaidi ya kiwanda cha mafuta, akisema utasaidia usalama wa nishati, viwanda na biashara ya kikanda. Hata hivyo, wataalamu wanaonya kuwa kiwanda hicho hakitaondoa mara moja gharama ya mafuta nchini kwa sababu Kenya bado italazimika kuagiza mafuta ghafi kutoka nje. Rais Ruto alisema bei ya mafuta itaendelea kuathiriwa na gharama ya mafuta ghafi, usafirishaji, bima, kodi na thamani ya shilingi. Kwa upande mwingine, uwezo wa Lamu kuzalisha mafuta mengi kuliko mahitaji ya Kenya unaweza kufanya nchi kuwa muuzaji wa mafuta yaliyosafishwa kwa mataifa jirani. Hivyo, huku vita vya kisheria vikiendelea, Dangote anakabiliwa na mtihani mwingine Lamu: kuhakikisha mradi huo mkubwa unatekelezwa bila kuacha nyuma jamii zinazodai kuwa na maslahi katika ardhi hiyo.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Thu, 08 Oct 2026 06:28:09
Kenyan Man Who Travelled From DRC Isolated Over Suspected Viral Infection
Organizations such as the World Health Organization have also come in advising Kenyans not to go on lockdown, claiming that doing this can be less effective than practical screening.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 06:23:16
Five children rescued from home linked to incarcerated Pastor Paul Mackenzie
Five school-age children were rescued from a home in Furunzi village, Malindi, after authorities found that they had not been enrolled in school. A multi-agency team visited the home of 76-year-old Kangwele Mackenzie, the mother of incarcerated pastor Paul Mackenzie, on Wednesday, October 7, 2026. The team, led by DCI Director of Homicide Martin Nyiguto, [...] The post Five children rescued from home linked to incarcerated Pastor Paul Mackenzie appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 06:26:25
Rabid donkey shot dead after killing sheep, attacking residents in Kericho
Police in Londiani, Kericho County, shot and killed a donkey suspected to have been infected with rabies after it attacked and killed a sheep and attempted to attack members of the public. The incident occurred on Tuesday, October 6, 2026, in Miti Tatu area, where a resident reported the animal to police at around noon. [...] The post Rabid donkey shot dead after killing sheep, attacking residents in Kericho appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 08 Oct 2026 05:55:40
Sifuna mbioni kubadili jina la chama chake kuwa Linda Mwananchi
CHAMA kipya cha The Equitable Party (TEP) kinachohusishwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kimeanza maandalizi ya kubadili jina na kuitwa Linda Mwananchi Movement (LMM), huku viongozi wake wakijipanga kukitumia kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Msajili wa Vyama vya Kisiasa tayari ameidhinisha mabadiliko ya majina ya maafisa wa TEP, hatua inayofungua njia kwa chama hicho kuanza mchakato wa kuitwa Linda Mwananchi. Baraza Kuu la Kitaifa la chama hicho lilikutana Jumatano na kuidhinisha mpango huo. Hatua hiyo inajiri siku chache baada ya Bw Sifuna kuzindua rasmi TEP jijini Nairobi, ambako alitambulishwa kama kiongozi wa chama hicho na kueleza mipango ya kukitumia kuelekea 2027. Katika hotuba yake ya uzinduzi mnamo Oktoba 4, Bw Sifuna alisema TEP ilipatikana baada ya juhudi za kutafuta makao mapya ya kisiasa kufuatia mzozo wake na ODM. Hata hivyo, alidokeza kuwa TEP huenda isiwe jina la mwisho la vuguvugu hilo. "Katika siku zijazo, na kwa mujibu wa uamuzi wa viongozi wakuu wa Linda Mwananchi, tutabadili jina la chama kuwa Linda Mwananchi Movement," alisema Bw Sifuna. Aliongeza kuwa iwapo kutakuwa na vikwazo zaidi katika mchakato huo, chama kitaendelea kutumia jina la TEP. Hatua hiyo imepatia nguvu zaidi vuguvugu la Linda Mwananchi, ambalo jina lake limekuwa katika mzozo wa kisheria kati ya washirika wa Bw Sifuna na Msajili wa Vyama vya Kisiasa. Msajili aliidhinisha kuhifadhi jina Linda Mwananchi Movement Oktoba 1, kufuatia uamuzi wa Jopo la Kutatua Mizozo ya Vyama vya Kisiasa kupitia upya uamuzi wake wa awali wa kulikataa. Hata hivyo, kuhifadhiwa kwa jina hilo hakumaanishi kuwa LMM kimesajiliwa kama chama cha kisiasa. Badala yake, jina hilo limepewa muda mpya wa siku 90 ambapo waasisi wake wanaweza kukamilisha hatua zinazohitajika za usajili. Hatua hiyo inafanyika wakati muhimu kwani vyama vinavyolenga kushiriki uchaguzi wa 2027 vinapaswa kuwasilisha kwa IEBC majina na saini za maafisa wao walioidhinishwa kufikia Oktoba 15. Uamuzi wa jopo ulitokana na rufaa iliyowasilishwa na Mbunge wa Suba South Caroli Omondi, Pauline Njoki Njoroge na Faith Odhiambo baada ya Msajili kukataa majina ya Linda Mwananchi. Majina yaliyopendekezwa ni pamoja na Linda Mwananchi Alliance, Linda Mwananchi Coalition na Linda Mwananchi Party of Kenya. Jopo lilibatilisha uamuzi wa Msajili wa Agosti 7, likisema hakutoa sababu za kutosha kukataa jina hilo. Pia ilisema uhifadhi wa jina la Liberty National Democratic Alliance, maarufu kama LINDA, ulimalizika baada ya muda wa kisheria wa siku 90. Hata hivyo, bado kuna kizingiti kingine. Charles Wanyonyi amemtaka Msajili kupatia kipaumbele ombi lake la kuhifadhi jina Linda Mwananchi Party of Kenya, akisema aliliwasilisha Februari 24, 2026. Wakili wake amesema ombi hilo liliwasilishwa miezi kadhaa kabla ya yale yaliyozingatiwa na jopo. Katika uzinduzi wa TEP, Bw Sifuna alisema chama hicho kinalenga kuwapa wananchi nafasi kubwa katika siasa. Alisema vuguvugu hilo litalenga siasa zinazozingatia mawazo, uwajibikaji, huduma na Katiba, badala ya siasa zinazozunguka mtu mmoja. Bw Sifuna pia alisema vijana na wanawake watapewa nafasi kubwa katika kufanya maamuzi ya kisiasa, huku maeneo na jamii mbalimbali zikizingatiwa kwa usawa. Alisema chama hicho kiko tayari kushirikiana na viongozi wengine wa upinzani pamoja na Wakenya wanaounga misingi yake ya kisiasa.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 08 Oct 2026 05:00:00
From DRC to Kampala and Nairobi: Did Patient Zero escape from Ebola treatment centre?
Investigators are tracing the journey of Kenyas first confirmed Ebola patient from treatment in eastern DRC through Uganda to Nairobi, raising questions about how he crossed borders while ill.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 08 Oct 2026 05:07:24
Body of boy found floating in sewage treatment plant in Kahawa West
The body of a young boy aged between two and four years has been recovered from a sewage treatment plant at the Farmers Choice facility in Kahawa West, Nairobi. The body was discovered floating in the treatment plant on Wednesday, October 7, 2026, police said. Police officers visited the facility and retrieved the body. The [...] The post Body of boy found floating in sewage treatment plant in Kahawa West appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content