taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 20 Jul 2026 03:55:00
Walimu wapokea mafunzo ya kugundua dalili za itikadi za ugaidi mapema
WALIMU kadha katika eneo la Pwani wamepokea mafunzo kuhusu jinsi ya kukabili itikadi kali. Mafunzo hayo yanayotolewa na Wizara ya Elimu na Kituo cha Kitaifa cha Kuzuia Ugaidi (NCTC) yalihusisha walimu karibu 40 kutoka shule mbalimbali za umma ili waweze kutambua mapema na kuepusha dalili za uenezaji itikadi kali shuleni, ambazo husababisha vijana kusajiliwa katika makundi ya kigaidi. Mkuu wa Mawasiliano katika NCTC, Bw Charles Opiyo, alisema ni muhimu walimu kupokea mafunzo hayo kwa sababu wana uhusiano wa moja kwa moja na wanafunzi. "Walimu ndio walezi wa vijana hawa na wao huwa na uhusiano wa karibu zaidi na wanafunzi kuliko mtu yeyote mwingine katika mfumo wa elimu. Kutokana na kuwa vijana wadogo ndio hulengwa zaidi na makundi ya kigaidi, kuwapa walimu ujuzi huu kutawawezesha kutambua mabadiliko ya tabia mapema na huenda wakafanikiwa kuokoa maisha," akasema Bw Opiyo.
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 20 Jul 2026 03:26:42
Government to spend Sh10 million to desilt Kosowe Earth dam
The National Government through National Drought Management Autbority (NDMA) will spend Sh10 million to desilt Kosowe Earth Dam in Nzaui Subcounty with a view to increase its water capacity to 30,000 cubic meters, Makueni County Drought Co-ordinator (CDC) Alice Munyao has disclosed. Munyao made the disclosure in a County Steering Group meeting held at the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 20 Jul 2026 03:32:50
Maalim urges Northern Kenya residents to register as voters
Mandera Deputy Governor Dr. Ali Maalim has called on residents of Northern Kenya to register as voters, saying higher voter registration will strengthen the regions political influence ahead of the 2027 General Election. Speaking during an Annual General Meeting (AGM) of a school in Mandera, Dr. Maalim urged all eligible residents to take advantage of...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 20 Jul 2026 03:45:25
Nandi upscales coffee processing to maximize profits
The Nandi Coffee Farmers' Cooperative Union milling plant at Chebonet in Songhor-Soba Ward has emerged as the centerpiece of the coffee revival programme in Nandi County. It is transforming the fortunes of thousands of smallholder farmers through value addition, improved marketing and cooperative development. Standing strategically in Tinderet Sub County, the modern milling facility has...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 20 Jul 2026 03:02:16
Turkana pastoralists welcome mass livestock vaccination drive to Combat Diseases
Livestock keepers in Elelea Ward, Turkana East Sub-County, have welcomed a mass livestock vaccination and supportive treatment campaign aimed at improving animal health, controlling diseases and expanding access to domestic and international livestock markets. The 10-day exercise, being implemented through a partnership between the Turkana County Government and GENCO Livestock and Fresh Meat Export Ltd,...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 20 Jul 2026 03:17:48
Government officials seek Mount Kenya support for Ruto's re-election bid
Senior government officials have adopted a conciliatory approach in an effort to rebuild the Kenya Kwanza administrations relationship with the Mount Kenya region as they seek to rally support for President William Rutos re-election in 2027. Speaking during an Education Day at Mbiriri Comprehensive School in Kieni, Nyeri County, the officials acknowledged growing dissatisfaction with...
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 20 Jul 2026 02:55:34
Madini muhimu yazidi kuvutia wawekezaji Pwani
WAWEKEZAJI mbalimbali wamezidisha juhudi za kufaidi kutokana na madini mengi Pwani yanayotegemewa ulimwenguni kutengeneza vifaa vya kielektroniki. Miongoni mwao ni kampuni ya Maboka Mining, ambayo iliwasilisha ripoti ya uchunguzi wa athari za kimazingira kwa Mamlaka ya Kitaifa ya Kusimamia Mazingira (NEMA) hivi majuzi. Kampuni hiyo inalenga kuchimba madini ya coltan, beryllium na cerium katika sehemu ya Mbuga ya Kitaifa ya Kora iliyo Kaunti ya Tana River. Madini hayo muhimu hutumiwa katika viwanda vya kutengeneza vifaa vya kisasa ikiwemo vyombo vya kielektroniki, ndege, silaha za kijeshi, vifaa vya kimatibabu, miongoni mwa mengine. Kampuni hiyo imependekeza kujenga kiwanda cha uchimbaji na usafishaji wa madini ghafi kwa gharama ya karibu Sh461 milioni. "Licha ya manufaa ya mpango huo, kuna pia uwezekano wa athari kwa mazingira," ripoti hiyo inasema. "Kutokana na uwepo wa madini katika eneo hilo, kumekuwa na uchimbaji unaofanywa na wachimbaji wadogowadogo wa madini hapo awali kwa njia inayoharibu ardhi. Shughuli za uchimbaji zinafaa kufanywa kwa muda mfupi iwezekanavyo kisha ardhi irudishwe katika hali yake halisi," ripoti ikaongeza. Katika Kaunti ya Kilifi, kampuni ya Leibra Investments Limited imewasilisha pendekezo la kuchimba madini ya manganese. Ombi hilo lilichapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali na Waziri wa Madini, Uchumi wa Baharini na Masuala ya Ubaharia, Bw Hassan Joho, mnamo Ijumaa wiki iliyopita. Wananchi walipewa siku 42 kuwasilisha pingamizi lolote kwa Waziri. Manganese hutumiwa sana katika uzalishaji wa chuma, lakini katika miaka ya hivi majuzi, madini hayo yamethaminiwa zaidi ulimwenguni kwa matumizi katika utengenezaji wa betri za magari ya elektroniki. Kwa mujibu wa ripoti za biashara ya madini hayo, soko la manganese ulimwenguni linatarajiwa kukua kutoka dola bilioni 32.98 (Sh4.3 trilioni) mwaka huu hadi dola bilioni 45.35 (Sh5.9 trilioni) mwaka wa 2032. Mpango huo wa Kilifi ukiidhinishwa, utaongezea juhudi za Kenya kuchimba madini hayo kutoka Lali Hills, Kaunti ya Tana River. Wizara ya Madini ilikuwa imetangaza wito kwa wawekezaji kuwasilisha mapendekezo ya uchimbaji Lali Hills mapema mwaka huu, na kueleza kuwa madini ya manganese yamekuwa yakichimbwa kwa kiwango kidogo Kilifi. Serikali imekuwa ikiendeleza juhudi za kurekebisha sekta ya madini ili kuvutia uwekezaji huku ikiimarisha usalama, utunzaji mazingira na faida kwa jamii pamoja na nchi. Katika hotuba zake, Rais William Ruto amekuwa akisisitiza kwamba makubaliano yoyote ya uchimbaji madini lazima yahakikishe utengenezaji unafanywa humu nchini, tofauti na awali ambapo madini ghafi yalikuwa yakichimbwa na kupelekwa nje ya nchi. Hata hivyo, mpango mkubwa zaidi wa uchimbaji madini katika Mrima Hill, Kaunti ya Kwale, umekumbwa na misukosuko. Akiongea pembezoni mwa mkutano wa G7 nchini Ufaransa, Rais Ruto alisema kulikuwa na mpango wa makubaliano kati ya Kenya na Marekani wa kuchimba na kutumia madini ya Mrima. Kundi la wanaharakati lilielekea mahakamani kuomba mpango huo usitishwe, likidai kuwa makubaliano hayo yalijadiliwa bila kushirikisha umma. Eneo hilo lina madini ya niobium na mengine ambayo ni muhimu kwa teknolojia, ulinzi na viwanda yanayokadiriwa kuwa na thamani ya karibu dola bilioni 62 (Sh9.7 trilioni).
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 20 Jul 2026 02:22:22
Governor Mutai orders crackdown on unlicensed milk vendors
Kericho Governor Dr. Erick Mutai has ordered an immediate crackdown on unlicensed raw milk vendors and brokers, declaring that the purchase, aggregation and distribution of raw milk outside the county's licensing framework is illegal. The governor said the county government would intensify enforcement against illegal milk aggregators to protect dairy farmers from exploitation and ensure...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 01:37:35
Woman found dead in Embakasi home
Police in Embakasi, Nairobi, have launched investigations into the death of a 27-year-old woman who was found unresponsive in her home. The deceased was identified as Nicole Semba, 27. According to police the incident was reported on Sunday night by her husband, who said he had found his wife unresponsive in their house. Police visited [...] The post Woman found dead in Embakasi home appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 01:41:07
KDF says it foiled multiple terror plots, destroyed four IEDs in Lamu
The Kenya Defence Forces (KDF) said it thwarted multiple suspected terrorist attacks in Lamu County after troops discovered and safely destroyed four improvised explosive devices (IEDs) planted along key supply routes used by security personnel and civilians. The operations were separately conducted under Operation Amani Boni (OAB), where troops carrying out route clearance, dominance patrols and [...] The post KDF says it foiled multiple terror plots, destroyed four IEDs in Lamu appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 01:45:40
Cop hospitalised after security dog attack at KICC
A police officer was admitted to hospital after he was attacked and bitten by a security dog while on duty at the Kenyatta International Convention Centre (KICC) in Nairobi. The incident occurred at about 10.30 p.m. on Sunday at Exit A of the KICC along City Hall Way. There was an event highlighting the FIFA [...] The post Cop hospitalised after security dog attack at KICC appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 20 Jul 2026 01:55:02
Seneti yataka mkataba wa Sh80 bilioni kati ya Ruto, Sakaja ufutwe
SENETI imependekeza kusimamishwa kwa muda kwa makubaliano ya ushirikiano yenye thamani ya Sh80 bilioni kati ya Serikali ya Kitaifa na Serikali ya Kaunti ya Nairobi, ikisema yana vipengele visivyoeleweka na vinavyoweza kukiuka Katiba. Katika ripoti iliyowasilishwa bungeni, Kamati ya Seneti kuhusu Mahusiano kati ya Serikali Kuu na Kaunti ilisema makubaliano hayo yanaonekana kuhamisha majukumu ya kaunti kwa Serikali ya Kitaifa chini ya Kifungu cha 187 cha Katiba, huku yakifichwa kama ushirikiano wa kawaida chini ya Kifungu cha 189. Makubaliano hayo yenye vifungu 17 yalitiwa saini Februari 2026 katika Ikulu na kupewa jina la Mkataba wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Kitaifa na Serikali ya Kaunti ya Nairobi. Kamati ilipendekeza makubaliano hayo yasitishwe hadi pande zote zitatue masuala yaliyoibuliwa na kuwasilisha ripoti yake ndani ya siku 60. Maseneta hao walieleza kuwa muundo wa uongozi uliowekwa unawapa wawakilishi wa Serikali ya Kitaifa mamlaka makubwa ya kusimamia sera, huku Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja akiongoza tu kamati ya utekelezaji. Hali hiyo, walisema, haibainishi iwapo bado ni ushirikiano au ni uhamishaji wa majukumu ya kaunti. Kamati pia ilieleza kuwa makubaliano hayo hayafafanui chanzo cha fedha za kutekeleza mradi huo. Kiasi cha Sh80 bilioni kilichotajwa hakijafafanuliwa katika mkataba wenyewe, bali kilitajwa tu na Mkuu wa Mawaziri, Musalia Mudavadi na Gavana Johnson Sakaja walipofika mbele ya kamati. Aidha, ripoti hiyo ilibaini kuwa Sh270 milioni tayari zilitengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kuboresha barabara za Nairobi, kazi ambayo ni jukumu la kaunti, lakini fedha hizo zitatumiwa moja kwa moja na wakala wa Serikali ya Kitaifa badala ya kupelekwa kwa kaunti. Kamati pia ilisema makubaliano hayo hayabainishi wazi wajibu wa kila upande wala kiwango cha mchango wa kifedha wa Serikali ya Kitaifa na Kaunti ya Nairobi, jambo linalofanya mipaka ya majukumu yao kutofahamika. Pia ilikosoa zoezi la ushirikishaji wa umma, ikisema lilifanyika baada ya makubaliano kutiwa saini badala ya kabla, kinyume na matakwa ya Kifungu cha 118 cha Katiba. Vilevile, Seneti ilisema makubaliano hayo hayatoi nafasi ya Bunge la Kaunti ya Nairobi au Seneti kusimamia matumizi ya mabilioni ya fedha za umma yatakayotumika kutekeleza majukumu hayo. Akijitetea mbele ya kamati, Gavana Sakaja alisema Nairobi ni jiji kuu la nchi na makao ya Serikali ya Kitaifa, hivyo haiwezi kulinganishwa na kaunti nyingine kwa sababu inahudumia wakazi milioni saba. Alisema mgao wa Sh33.8 bilioni ambao kaunti hupokea kutoka Serikali ya Kitaifa pamoja na mapato yake haitoshi kuhudumia mahitaji ya jiji hilo. Alitaja mradi wa maji taka wenye urefu wa kilomita 54 kila upande wa Mto Nairobi unaogharimu Sh50 bilioni, akisema kaunti isingeweza kuutekeleza bila usaidizi wa Serikali ya Kitaifa. Kwa upande wake, Bw Mudavadi alisema Serikali ya Kitaifa haina nia ya kudhoofisha ugatuzi bali inalenga kuimarisha uwekezaji katika miundombinu ya maeneo yenye wakazi wengi kama Kibera, Kasarani na Mathare. Seneti inatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu mapendekezo ya kamati hiyo wiki ijayo.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 00:48:36
How to Buy a Rain SIM Card
Rain is a South African mobile network provider that offers data-only and mobile voice plans with nationwide coverage. Buying a Rain SIM card is a straightforward process that can be completed online, with the SIM card delivered to your address, or through selected retail partners. Before purchasing, compare the available plans to find one that [...] The post How to Buy a Rain SIM Card appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 00:51:16
How to Buy Repossessed Cars
Repossessed cars are vehicles that have been taken back by banks or finance companies after the previous owners failed to keep up with their loan repayments. These vehicles are often sold below market value through auctions, dealerships, or financial institutions, making them an attractive option for buyers looking to save money. However, because many repossessed [...] The post How to Buy Repossessed Cars appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 00:54:24
How to Buy Shares on EasyEquities
EasyEquities is a South African investment platform that makes it simple for beginners and experienced investors to buy shares, exchange-traded funds (ETFs), and other investment products. The platform allows you to invest in fractions of shares, meaning you do not need enough money to buy a whole share. Before investing, remember that share prices can [...] The post How to Buy Shares on EasyEquities appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 00:56:35
How to Buy SMS Bundles on MTN
MTN offers SMS bundles that allow prepaid and eligible customers to send text messages at a lower cost than standard SMS rates. These bundles are available in different sizes and validity periods, making them suitable for occasional and frequent messaging. You can purchase SMS bundles using USSD, the MyMTN App, the MTN website, or participating [...] The post How to Buy SMS Bundles on MTN appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 20 Jul 2026 01:00:30
How to Buy a Takealot Voucher
Takealot Gift Vouchers are a convenient way to shop online or give someone the freedom to choose their own products. They are available in various denominations and can be purchased directly from the Takealot website. Once purchased, the voucher is delivered electronically and can be redeemed for eligible purchases on Takealot. Gift vouchers are valid [...] The post How to Buy a Takealot Voucher appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content