kahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 03 Aug 2026 03:44:07
Doris Day Net Worth
Doris Day was an American actress, singer, businesswoman, and animal welfare advocate who became one of the biggest entertainment stars of the 20th century. From chart-topping songs to blockbuster films, she built a remarkable career that spanned more than three decades. Best known for classics such as Calamity Jane, Pillow Talk, The Pajama Game, and [...] The post Doris Day Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 03 Aug 2026 03:50:43
James Cagney Net Worth
James Cagney was an American actor, dancer, and entertainer who had an estimated net worth of $20 million at the time of his death in 1986. Adjusted for inflation, that fortune would be worth approximately $60 million today. Widely regarded as one of the greatest actors of Hollywoods Golden Age, Cagney built his wealth through [...] The post James Cagney Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 03 Aug 2026 03:55:58
Humphrey Bogart Net Worth
Humphrey Bogart was an American actor who had a net worth of $5 million at the time of his death in 1957. Adjusted for inflation, that is equivalent to approximately $50 million today. Widely regarded as one of Hollywoods greatest leading men, Bogart built his fortune through an illustrious film career spanning more than three [...] The post Humphrey Bogart Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 03 Aug 2026 04:01:02
Audrey Hepburn Net Worth
Audrey Hepburn was a British-Dutch actress, fashion icon, and humanitarian who had an estimated net worth of $55 million at the time of her death in 1993. Adjusted for inflation, that fortune would be worth approximately $100 million today, reflecting the remarkable success of one of Hollywoods most beloved stars. Widely regarded as one of [...] The post Audrey Hepburn Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 03 Aug 2026 04:07:01
What Was Yul Brynner Net Worth?
Yul Brynner was a Russian-born actor, director, and producer who had a net worth of $10 million at the time of his death in 1985. Adjusted for inflation, that is equivalent to around $30 million today. Brynner became one of Hollywoods most recognizable stars thanks to his unforgettable portrayal of King Mongkut of Siam in [...] The post What Was Yul Brynner Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 03 Aug 2026 03:55:35
2027: Rais Ruto asema ODM haifai kumpa Kindiki presha
RAIS William Ruto Jumapili alipuuzilia mbali wasiwasi unaozidi kushuhudiwa ndani ya muungano wake wa kisiasa, akisisitiza kuwa ushirikiano kati ya UDA na ODM uko imara na utaendelea kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Akizungumza katika ibada na harambee ya Kanisa la St Stephen's ACK, Moiben, Kaunti ya Uasin Gishu, Rais aliwataka wafuasi wake kutokuwa na hofu kuhusu viongozi wa ODM kujiunga na serikali. "Wanachama wa ODM ni Wakenya na serikali hii ni kubwa na ina nafasi kwa kila mmoja. Hakuna anayepaswa kukasirishwa na uwepo wao serikalini," akasema Rais Ruto. Kauli yake inajiri huku kukiwa na mjadala mkali kuhusu uchaguzi wa 2027, hasa kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais Ruto. Baadhi ya viongozi kutoka ODM na Magharibi wamekuwa wakitajwa kuwa miongoni mwa wanaowania nafasi hiyo. Matamshi hayo pia yanajiri siku chache baada ya Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki kusisitiza kuwa tiketi ya Ruto na Kindiki 2027 haiwezi kujadiliwa. Hata hivyo, Rais Ruto hakuzungumzia moja kwa moja mjadala huo, badala yake alitetea mpango wake wa maendeleo ya Ruwaza ya 2060 na kutangaza kuwa mazungumzo ya kitaifa kuhusu mpango huo yataanza Agosti 12. Alisema Ruwaza ya 2060 italinganisha ajenda ya maendeleo ya Kenya na Katiba ya 2010, tofauti na Ruwaza ya 2030 ambayo iliandaliwa kabla ya katiba hiyo kupitishwa. "Ruwaza ya 2030 iliandaliwa kabla ya Katiba ya 2010. Ruwaza ya 2060 itaweka maendeleo yetu ndani ya misingi ya Katiba. Lengo letu la kuifanya Kenya kuwa taifa lenye ustawi haliwezi kuzuiwa," akasema. Rais pia aliwashutumu baadhi ya wapinzani wake kwa kuendeleza siasa za ukabila, chuki na matusi badala ya kutoa sera mbadala. Akizungumzia ukame uliokumba Bonde la Ufa Kaskazini, Rais alisema hata yeye amepata hasara katika shamba lake kutokana na ukosefu wa mvua. "Mimi pia ni mkulima na nimepoteza mazao kutokana na ukame huu. Serikali itawasaidia wakulima kwa kuwapa mbegu zinazokomaa mapema na pembejeo nyingine ili wanufaike na mvua zijazo na kuimarisha usalama wa chakula," akasema. Aliongeza kuwa serikali inapanga kupunguza gharama za pembejeo za kilimo kabla ya msimu ujao wa upanzi. Kama suluhu ya muda mrefu dhidi ya ukame, Rais alisema serikali itatumia Hazina ya Kitaifa ya Miundombinu kujenga mabwawa 50 makubwa, mabwawa 200 ya ukubwa wa kati na mabwawa 1,000 madogo ili kupanua kilimo cha unyunyuziaji mashamba maji, hasa katika maeneo kame. Ibada hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa UDA na ODM, huku wabunge zaidi ya 10 kutoka Bonde la Ufa Kaskazini wakitangaza hadharani kumuunga mkono Rais Ruto kuwania muhula wa pili 2027. Kwa utani, Rais aliwataka viongozi hao kuhubiri Injili kabla ya siasa. "Kabla ya kuhubiri kuhusu muhula wangu wa pili, hubirini kwanza kuhusu kuja kwa mara ya pili kwa Yesu Kristo," akasema. Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen pia alimshambulia aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimshutumu kwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu usalama wa taifa. Katika harambee hiyo, zaidi ya Sh50 milioni zilichangishwa kwa makanisa ya St Stephen's, St Peter's na St Mark's ACK, huku Rais Ruto akichangia binafsi Sh25 milioni.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 03 Aug 2026 04:20:00
Recipe for rigging: Battle looms over plan to scrap IEBC's livestreaming of election results
A controversial proposal to scrap the mandatory livestreaming of election results from polling stations has set the stage for a fresh battle over the transparency of the 2027 General Election.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 03 Aug 2026 03:10:24
Elke Sommer Net Worth
Elke Sommer is a German actress, singer, model, and painter who rose to international fame during the 1960s and 1970s. Best known for her glamorous screen presence and multilingual performances, Sommer appeared in more than 100 films and television productions throughout a career spanning several decades. As of 2026, Elke Sommer has an estimated net [...] The post Elke Sommer Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content