kenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:58:54
Rising Lake Turkana waters displace families in Marsabit County
Families have been displaced in the Loiyangalani sub-county of Marsabit County following rising waters of Lake Turkana as climate change takes toll on human settlement. The climate shocks have also disrupted human activities that include education, health, livelihoods and critical infrastructure. Bearing the brunt is one of the smallest ethnic groups in the country, the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 08:00:47
Mudavadi urges greater preparedness ahead of looming El Niño rains
The government has intensified preparedness for possible El Niño rains through strengthened early warning systems and coordinated disaster response mechanisms to minimise the impact of extreme weather events across the country. Prime Cabinet Secretary and Cabinet Secretary for Foreign and Diaspora Affairs, Musalia Mudavadi, said the government was working closely with the Ministries of Agriculture,...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 08:14:14
One life lost following a road accident in Marsabit
A man died while another sustained serious injuries today after a vehicle they were traveling in overturned at the Hulahula area along the Isiolo-Marsabit highway in Marsabit County. Marsabit Traffic Base Commander Martin Muthaura said the accident involved a Toyota Land Cruiser vehicle that was transporting miraa from Meru with two occupants on board. Muthaura...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:20:20
Mutula Care offers hope to vulnerable families
The County Government of Makueni has launched a comprehensive health care initiative to cover at least 11,000 vulnerable households under the Universal Health Care (UHC) programme. The initiative dubbed Mutula Care and spearheaded by Makueni Governor Mutula Kilonzo Jr. intends to accommodate all the less fortunate members of the society in the county under the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:22:56
Busia to roll out Mpox vaccination campaign in Malaba
The County government of Busia is set to roll out an Mpox vaccination campaign in Malaba from July 17, 2026, in a 7–10-day exercise targeting populations at high risk of infection in the busy border region. The campaign is part of efforts to curb the spread of the disease in Teso North, which hosts the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:27:34
Nakuru County strengthens dairy subsector
The County Government of Nakuru has pledged to continue strengthening the dairy sector by investing in projects that help farmers reduce post-harvest losses and increase their incomes. According to County Executive Committee Member (CECM) for Agriculture, Livestock and Fisheries Mr Leonard Bor, through such programmes, the devolved unit's administration remains committed to building a stronger...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:30:16
Lodwar stormwater drainage project takes shape
Preparations for the implementation of the Lodwar Storm Water Drainage Project are underway, marking a significant step toward addressing flooding challenges within Lodwar Municipality. Pre-implementation activities, including technical engineering designs, Environmental Impact Assessments (EIA), and the development of a Resettlement Action Plan (RAP), are currently in progress. These activities commenced following the introduction of Avatech...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:03:56
Education sector receives record Sh784.5 billion in budget
The Government has reaffirmed its commitment to strengthening Kenya's education sector through increased funding, research, innovation and digital transformation. But the allocation comes as calls were made to encourage public universities to diversify their income sources to secure long-term financial sustainability. Education Cabinet Secretary Julius Ogamba said the education sector has received a record Sh784.5...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:09:50
New epilepsy clinic opened in Kajiado
A new specialized epilepsy clinic has been opened at the AIC Child Care Centre in Kajiado County, offering renewed hope to people living with the condition through improved access to treatment, medical support and awareness services. The facility, established through a partnership between the Kenya Association for the Welfare of People with Epilepsy (KAWE), the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:14:57
Free medical camp targets over 6,000 Butula residents
More than 6,000 residents of Butula Sub-county are expected to benefit from a free medical camp launched at Ikonzo Dispensary by an aspiring politician, Daniel Sitawa, in partnership with Maseno Mission Hospital. The medical camp will run across the Sub County, with leaders and health workers citing poverty, inadequate medical supplies, and limited equipment as...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 07:17:23
Road upgrade to boost connectivity in Kikuyu Constituency
Residents of Kikuyu Constituency are set to benefit from improved transport and easier access to essential services following the commissioning of the upgrading of the Ngong (Kibiku)–Kangiria Road, a project expected to enhance connectivity and stimulate socio-economic development in the area. The road improvement programme covers the Gwa-Thiru–Munyeki–Riu Nderi–Kibiku Road as well as the Musa...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 06:53:19
Govt says no sensitive data compromised in cyberattack on President's website
The Government has assured Kenyans that no sensitive data was accessed or lost following the cyberattack that compromised the official website of the President. In a statement on Saturday, Information, Communications and the Digital Economy Cabinet Secretary William Kabogo said the Government was aware of the cybersecurity incident affecting president.go.ke and had immediately activated its [...] The post Govt says no sensitive data compromised in cyberattack on Presidents website appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 18 Jul 2026 07:16:34
Wadukuzi wavuruga tovuti rasmi ya Rais Ruto, wadai Sh41 milioni za Bitcoin
SERIKALI jana ililazimika kuzima tovuti rasmi ya Rais William Ruto baada ya wadukuzi kuivamia na kuweka ujumbe wa vitisho pamoja na kudai walipwe Bitcoin tano, za thamani ya takriban Sh41.3 milioni. Wakenya waliojaribu kufungua tovuti ya president.go.ke Jumamosi walikuta maudhui ya kawaida yameondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na ujumbe uliomlenga Rais Ruto. Wadukuzi hao walidai kuwa watafichua taarifa ambazo hawakuzitaja iwapo hawangelipwa fedha hizo. "Huu ni ujumbe wa tatu kwako kabla hatujafichua kila kitu kukuhusu. Lipa Bitcoin tano kwenye pochi hii ya Bitcoin ikiwa unataka amani kabla ya saa kumi na mbili jioni," ulisema ujumbe huo. Pia waliweka anwani ya pochi ya Bitcoin na kutaja majina ya watu watatu. Muda mfupi baadaye, tovuti hiyo ilizimwa na kuwekwa ujumbe unaosema ilikuwa ikifanyiwa matengenezo. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, William Kabogo, alithibitisha shambulio hilo na kusema Mamlaka ya ICT ilianzisha mara moja utaratibu wa kukabiliana na tukio hilo. "Baada ya kugundua shambulio hilo, Mamlaka ya ICT ilianzisha taratibu zilizowekwa za kushughulikia matukio ya usalama wa mtandao," alisema Kabogo. Alisema tovuti hiyo ilisitishwa kwa muda ili kuruhusu uchunguzi wa kitaalamu, kudhibiti athari za shambulio na kurejesha huduma. Kabogo alisema hatua za kukabiliana na tatizo hilo tayari zilichukuliwa na kazi ya kurejesha tovuti kuendelea. Aliongeza kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa wadukuzi waliiba taarifa muhimu au kufikia data muhimu za serikali. "Hakuna ushahidi wa mtu asiyeidhinishwa kufikia taarifa muhimu, kuiba data au kupotea kwa taarifa. Mifumo ya serikali na huduma za kidijitali zinaendelea kufanya kazi kwa usalama," alisema. Aliongeza kuwa Mamlaka ya ICT inashirikiana na mashirika mengine ya serikali pamoja na wataalamu wa teknolojia kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha shambulio hilo. Iwapo serikali ingelipa kiasi kilichodaiwa, ingetoa karibu Sh41.3 milioni, kwa kuwa Bitcoin moja kwa sasa ina thamani ya takriban Sh8.27 milioni. Kufikia wakati wa kuchapishwa kwa habari hii, Mkuu wa Huduma ya Mawasiliano ya Rais Munyori Buku na Msemaji wa Ikulu Hussein Mohammed hawakuwa wamejibu simu wala ujumbe wa kutaka maoni yao kuhusu tukio hilo. Hili ni shambulio la pili kubwa dhidi ya mifumo ya serikali katika kipindi cha miezi michache. Mnamo Novemba 2025, wadukuzi walivuruga tovuti ya Rais pamoja na zile za Wizara za Usalama wa Ndani, Afya, Elimu, Kazi na Nishati. Pia walilenga Idara ya Uhamiaji, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), Hazina ya Hasla na Serikali ya Kaunti ya Nairobi. Baada ya mashambulizi hayo, Wizara ya Usalama wa Ndani ilisema yalitekelezwa na kundi lililojitambulisha kama PCP@Kenya. Mwaka 2023, mfumo wa eCitizen pia uliangushwa na wadukuzi, hali iliyokatiza zaidi ya huduma 5,000 za serikali kabla ya kurejeshwa. Serikali ilisema wakati huo kuwa hakuna taarifa za wananchi zilizovuja. Shambulio hili linajiri huku Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nancy Gathungu akiendelea kuonya kuhusu udhaifu wa mifumo ya ICT katika taasisi za umma. Katika ripoti zake za ukaguzi, Gathungu amesema taasisi nyingi za serikali hazina sera madhubuti za ICT, zina udhibiti hafifu wa mifumo, hazina mipango ya kuendelea kutoa huduma wakati wa dharura na zina mapungufu katika usimamizi wa mifumo ya kidijitali. Alionya kuwa hali hiyo inaweza kuhatarisha shughuli za serikali na usalama wa taarifa muhimu za umma. Miongoni mwa mifumo iliyotajwa kuwa na mapungufu ni eCitizen, ambayo ilibainika kukosa sera iliyoidhinishwa ya ICT, mpango wa kuendelea na shughuli wakati wa dharura, kamati ya ICT na kituo mbadala cha kuhifadhi taarifa. Aidha, Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) imekuwa ikionya kuwa uelewa mdogo wa wafanyakazi kuhusu mashambulizi ya mtandaoni, pamoja na kuongezeka kwa mashambulizi yanayotumia Akili Unde (AI), kumeongeza hatari ya taasisi za umma kuvamiwa na wadukuzi.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 06:30:02
Jenna Nighswonger Siblings: Getting to Know Erin Nighswonger
Jenna Gray Nighswonger is an American professional soccer player who plays as a left-back for Arsenal in the Womens Super League and represents the United States womens national team. Born on November 28, 2000, in Huntington Beach, California, she has quickly risen to prominence as a versatile and dynamic defender capable of contributing effectively in [...] The post Jenna Nighswonger Siblings: Getting to Know Erin Nighswonger appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 18 Jul 2026 06:27:44
Chama chazinduliwa kulinda haki za wafanyakazi katika miradi ya kilimo
CHAMA kipya cha kitaaluma kimezinduliwa nchini ili kuimarisha ulinzi wa haki za kibinadamu za wafanyakazi na jamii zinazoathiriwa kwenye miradi ya kilimo na maendeleo, wasiwasi ukishamiri kuhusu ukiukaji wa haki za wafanyakazi, migogoro ya ardhi na ulegevu wa ulinzi wa kijamii. Social Impact Management Association of Kenya (SIMAK), ni muungano utakaowakutanisha wataalamu wanaohakikisha miradi ya maendeleo, hususan katika kilimo na miundombinu, inazingatia haki za kibinadamu na kushirikisha jamii zinazoathirika. Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Edward Ontita, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi jijini Nairobi alisema lengo ni kuhakikisha kila mradi mkubwa unakuwa na maafisa wa usimamizi wa kijamii kuanzia hatua ya kupanga hadi kukamilika. "Tunataka viwango endelevu vizingatiwe katika miradi yote ya maendeleo. Maendeleo yanawahusu watu, hivyo haki zao lazima zilindwe," akasema. [caption id="attachment_190228" align="aligncenter" width="300"] Kaimu Mwenyekiti wa Social Impact Management Association of Kenya (SIMAK), Profesa Edward Ontita (kulia) akikabidhi mmoja wa wanachama wa muungano huo cheti cha kuwa memba. Picha|Sammy Waweru[/caption] Prof Ontita alisema mashamba makubwa ya kilimo ni miongoni mwa sekta zilizoathirika zaidi na ukatili wa kijinsia, unyanyasaji wa kingono, mishahara duni na mazingira mabaya ya kazi. "Baadhi ya wafanyakazi hulipwa chini ya kiwango cha chini cha mshahara kilichowekwa kisheria, huku wengine wakikosa maji safi, vyoo bora na uhuru wa kujiunga na vyama vya wafanyakazi. Hizi ni haki za msingi za binadamu," alisema. Aliongeza kuwa jamii zinapaswa kushirikishwa kuanzia hatua za kwanza, hasa katika miradi inayohusisha ununuzi wa ardhi na ulipaji wa fidia. Aidha, alisema miradi ya mikopo ya kaboni na uhifadhi wa bioanuwai inapaswa kushirikisha wananchi kikamilifu ili wanufaike. "Kutofuata masharti ya ulinzi wa kijamii husababisha ucheleweshaji wa miradi na hasara ambazo tumefanya hesabu zinafika Sh600 bilioni" Ontita alionya. [caption id="attachment_190230" align="aligncenter" width="300"] Kaimu Mwenyekiti wa Social Impact Management Association of Kenya (SIMAK), Profesa Edward Ontita wakati wa mahojiano jijini Nairobi mnamo Juni 26, 2026. Picha|Sammy Waweru[/caption] Kwa upande wake, Kaimu Karani katika Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Ulinzi wa Jamii na Masuala ya Wazee, Dkt Lynett Ochuma, alisema serikali inaandaa sera ya kitaifa ya kusimamia hatari zinazokumba jamii ili kuoanisha sekta hiyo na viwango vya kimataifa huku ikizingatia mazingira ya wafanyakazi nchini Kenya. Alisema sera hiyo itashughulikia haki za wafanyakazi, afya na usalama wa jamii, kuzuia unyanyasaji wa kingono, kulinda makundi yaliyotengwa na kuhakikisha ununuzi wa ardhi na uhamishaji wa watu unafanyika kwa haki. "Ushirikishwaji wa wadau ni msingi wa maendeleo. Maendeleo hayapaswi kudhuru jamii bali yanapaswa kuwa jumuishi," alisema, akiongeza kuwa sera hiyo itawasilishwa bungeni kama mswada baada ya kukamilika.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Sat, 18 Jul 2026 04:19:29
President Ruto's official website down in second suspected hack within a year
President William Rutos official website, president.go.ke, was down on Saturday after hackers allegedly took control of the homepage and replaced it with a ransom message.
read moreRight Column Content