kahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 04:13:27
Karen Nyamu claims Ruto was not involved in Ol Kalou by-election campaign
Nominated Senator Karen Nyamu has claimed that President William Ruto was not involved in the campaign strategy or financing of the recently concluded Ol Kalou parliamentary by-election, in which the ruling United Democratic Alliance (UDA) lost to the Democracy for Citizens Party (DCP). The by-election was won by DCP candidate Sammy Kamau Ngotho, who garnered [...] The post Karen Nyamu claims Ruto was not involved in Ol Kalou by-election campaign appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 18 Jul 2026 03:55:44
ODM imekufa kisiasa,inaendeshwa na Ikulu -Sifuna
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna amesema chama cha ODM kimepoteza mwelekeo wake wa kisiasa na sasa maamuzi yake yanafanywa kutoka Ikulu. Akizungumza jana akiwa na Gavana wa Siaya, James Orengo baada ya mkutano wa waratibu wa mrengo wa Linda Mwananchi kutoka kaunti 36, Sifuna alisema chama hicho kimepoteza uhuru wake wala hakifanyi tena maamuzi kutoka makao yake ya Orange House. "Kwa bahati mbaya, maamuzi yanayoathiri ODM na wanachama wake hayafanywi tena Orange House. Hata uamuzi wa kuniondoa kama Naibu Kiranja wa Wachache ulitoka Ikulu. Inasikitisha kuona yaliyokumba chama chetu," alisema. Kauli hiyo inajiri siku chache baada ya Sifuna kuondolewa pia katika wadhifa wa Naibu Kiranja wa Wachache katika Seneti. Wakati huo huo, alitangaza kuwa mrengo wa Linda Mwananchi utaanza mikutano ya kisiasa nchini kote kuanzia Jumamosi katika Kaunti ya Taita Taveta, ikiwa sehemu ya maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Alisema kampeni hiyo inalenga kuimarisha miundo ya mrengo huo kuanzia ngazi ya kaunti hadi mashinani, huku ukitetea masuala yanayowahusu wananchi wa kawaida. "Mkutano wa Taita Taveta ndio mwanzo wa safari ya kuzunguka nchi nzima kuimarisha miundo yetu na kusikiliza matatizo ya Wakenya," alisema. Sifuna alisema viongozi waliokutana ni wanaharakati wa muda mrefu waliomsaidia kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa miaka mingi, lakini sasa wameamua kuendeleza azma hiyo kupitia mrengo wa Linda Mwananchi. "Hawa ndio askari wa mashinani. Tumefanya kazi pamoja kwa muda mrefu kutimiza ndoto ambayo Baba Raila Odinga alikuwa akiipigania. Tunawapongeza kwa kukataa kushawishiwa na madaraka na mali na kuamua kuendelea kutetea maslahi ya Wakenya," alisema. Aidha, aliikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa sera zake za uchumi, akisema ushuru mkubwa umeathiri uwezo wa wananchi kununua bidhaa na kufanya biashara nyingi kuyumba. "Taarifa tulizonazo zinaonyesha biashara nyingi zinadorora kwa sababu uwezo wa Wakenya wa kununua bidhaa umeshuka kutokana na sera za serikali, hasa ongezeko la ushuru," alisema. Alisisitiza kuwa Linda Mwananchi itaendelea kufanya mikutano katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kushinikiza utawala unaowajali wananchi na kuendelea kuikosoa serikali ya Kenya Kwanza. Sifuna pia alikipongeza Chama cha Democratic Change Party (DCP) kwa kushinda uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou. Alisema ushindi huo umeonyesha kuwa wapigakura wanaweza kushinda vitisho, rushwa na ushawishi wa kisiasa. "Wakazi wa Ol Kalou wamethibitisha kuwa haijalishi serikali inatumia mbinu gani, iwe ni zawadi, vitisho au vurugu, uamuzi wa mwisho hubaki mikononi mwa wapigakura," alisema. Hata hivyo, alitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ichunguze madai ya utoaji rushwa kwa wapigakura na matumizi mabaya ya rasilimali za serikali wakati wa uchaguzi huo. "Tunataka uwajibikaji. Wale wote waliotumia rasilimali za serikali na kuwahonga wapigakura wachukuliwe hatua. Hatutaki hali kama hiyo ijirudie mwaka 2027 au katika uchaguzi mwingine wowote," alisema. Gavana Orengo alisema waratibu kutoka maeneo ambayo hapo awali yalikuwa ngome za ODM wamekubali kupanua shughuli za Linda Mwananchi kote nchini. "Tumeshuhudia ukuaji mkubwa wa vuguvugu hili. Kwa idadi ya watu tunaowaona wakiiunga mkono, Linda Mwananchi ndiyo vuguvugu la kisiasa linalokua kwa kasi zaidi nchini. Tumejitolea kulieneza katika kila kona ya Kenya," alisema.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 03:44:02
Modern ECDE centres transform learning in Lugari
For years, many children in Lugari Sub-County began their education in overcrowded classrooms with leaking roofs, inadequate learning materials and poor sanitation facilities. Today, that picture is gradually changing as the County Government of Kakamega continues investing in modern Early Childhood Development Education (ECDE) centres aimed at giving young learners a strong foundation. The transformation...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 03:47:21
Stakeholders seek partnerships in Curriculum Based Education
The private sector in Bondo subcounty has been encouraged to embrace public-private partnership arrangements to support the implementation of Curriculum Based Education (CBE) in the region. According to Bondo subcounty director of education Alfred Mwaimba, the delivery of quality education is a shared responsibility and should not be left in the hands of the Ministry...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 03:49:46
Ecosystem restoration programme targets two million Kenyans
At least two million Kenyans are set to benefit directly from a new government-led programme aimed at restoring degraded ecosystems while improving livelihoods through climate-smart agriculture and sustainable natural resource management. The Integrated Natural Resources Management Programme (INReMP), an eight-year initiative running from the 2025/2026 financial year to 2033, will be implemented in ten counties...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 18 Jul 2026 03:51:58
Government expresses optimism over economic growth
National Treasury Principal Secretary Dr. Chris Kiptoo has assured Kenyans that the countrys economy remains stable, saying the government has made significant progress in restoring macroeconomic stability despite global economic shocks experienced over the past few years. Speaking in Gichugu, Kirinyaga County, Dr. Kiptoo said the economy had faced major external challenges from 2022, including...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 03:47:30
President's official website hacked
The official website of the President, president.go.ke, has been hacked, with its homepage defaced by attackers demanding a ransom in Bitcoin and posting messages targeting President William Ruto. A check on the website on Saturday showed that the official content had been replaced with unauthorised messages directed at the Head of State. The hackers published [...] The post Presidents official website hacked appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 03:01:23
Annie Duke Net Worth
Annie Duke is an American former professional poker player, author, and decision-making expert with an estimated net worth of $8 million. She rose to prominence as one of the most successful women in professional poker, winning major tournaments and becoming a respected strategist before transitioning into writing, public speaking, and business consulting. Best known for [...] The post Annie Duke Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 03:14:23
Lawyer burned beyond recognition in Uasin Gishu house fire
Police are investigating an incident where a 35-year-old advocate of the High Court died after a fire razed his house in Chepkatet Sub-location, Kapseret Sub-County, Uasin Gishu County. Police said the incident was reported to Langas Police Station on July 15, 2026, after neighbours discovered smoke billowing from the victim's single-room iron-sheet house. According to [...] The post Lawyer burned beyond recognition in Uasin Gishu house fire appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 18 Jul 2026 02:55:19
Joho, Mvurya na Kingi waanza kurindima Tutam Pwani
VIONGOZI wa eneo la Pwani wakiongozwa na Mawaziri Hassan Joho (Madini), Salim Mvurya (Michezo na Vijana) pamoja na Spika wa Seneti Amason Kingi, wameanza mikakati ya kusaka kura milioni nne kutoka eneo hilo kumuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Viongozi hao, kwa ushirikiano na magavana wanaounga mkono serikali akiwemo Abdulswamad Nassir (Mombasa), Fatuma Achani (Kwale), Gideon Mung'aro (Kilifi), Andrew Mwadime (Taita Taveta) na Issa Timamy (Lamu), wameanza mikutano ya hadhara kuwahamasisha wakazi kujitokeza kujisajili kama wapiga kura na kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kitaifa. Mikakati hiyo pia inahusisha maseneta wa eneo hilo pamoja na wabunge wengi wanaounga mkono serikali. Hata hivyo baadhi ya viongozi wa upinzani akiwemo Mbunge wa Wundanyi Danson Mwashako na mwenzake wa Nyali Mohammed Ali hawaungi mkono mpango huo. Viongozi hao wamekuwa wakiwahamasisha wananchi kumuunga mkono Rais Ruto, wakisema serikali yake imeanzisha miradi ya maendeleo inayolenga kuboresha maisha ya wakazi wa Pwani licha ya eneo hilo kutompa kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. "Rais Ruto hakupata kura nyingi eneo la Pwani lakini alitukumbuka na kutuletea miradi ya maendeleo. Alirejesha shughuli na biashara katika Bandari ya Mombasa ambazo zilikuwa zimehamishwa hadi Naivasha na Nairobi. Pia alimteua Bw Joho katika Baraza la Mawaziri baada ya kushirikiana na aliyekuwa kinara wa ODM, Bw Raila Odinga, na amewateua makatibu wakuu sita kutoka Pwani, ametufaa," alisema Bw Mvurya. Alisema viongozi wa pwani wameandaa ratiba ya kutembelea maeneo bunge yote ya Pwani ili kuwaeleza wananchi kuhusu miradi iliyotekelezwa na serikali ya Rais Ruto Wakisaka ungwaji mkono. "Tumepanga ratiba ya kwenda kila eneo bunge kueleza viongozi wa mashinani kuhusu serikali ya Rais. Tayari tumetembelea maeneo bunge ya Likoni, Matuga, Kaloleni na Jomvu, na sasa tuko Mvita kueleza umuhimu wa kumuunga mkono Rais Ruto kwenye uchaguzi mkuu wa 2027. Tunafanya hamasa ili watu wetu wasihadaiwe na wale walioko upinzani," alisema. Alisema siasa za sasa zimejaa fitina, uhasama na umbea, akisema viongozi wa Pwani wanapaswa kuangazia changamoto zinazowakabili wananchi kama umaskini, ukosefu wa ajira na maendeleo. "Vita yetu hapa Pwani ni kupambana na umaskini, ukosefu wa ajira kwa vijana wetu na kuhakikisha maendeleo yanafika kwa wananchi. Hatutaingia katika vita vya kisiasa vya wengine. Wale wanaompinga Rais hawajafanya chochote lakini wana maneno matamu ya kuambia watu ONETAM," alisema. Naye Seneta wa Mombasa, Mohammed Faki, aliwataka wakazi wa Pwani kujitokeza kwa wingi kuchukua vitambulisho na kujiandikisha kama wapiga kura ili kutumia nguvu yao ya kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Bw Faki alisema eneo la Pwani lina uwezo wa kutoa karibu kura milioni nne, lakini idadi hiyo haiwezi kufikiwa iwapo wananchi hawatashiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi. "Eneo la Pwani lina uwezo wa kutoa karibu kura milioni nne ambazo tunaweza kuziweka kwenye debe. Lakini changamoto ni kwamba si watu wote wanaopiga kura. Tuna tatizo kubwa la watu kutokuchukua vitambulisho. Kila kijana mwenye umri wa miaka 18 na zaidi aende akachukue kitambulisho," alisema. Alisema kama vile Mombasa ilivyoongoza katika usajili wa bima ya afya ya SHA, wanataka eneo hilo pia liwe mstari wa mbele katika usajili wa wapiga kura. Bw Faki na Gavana Nassir walisema uchaguzi mkuu ujao utakuwa fursa kwa wakazi wa Pwani kuonyesha shukrani kwa serikali ya Rais Ruto kwa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika eneo hilo. Walitaja hatua kama vile utoaji wa boti za kisasa kwa wavuvi, kushughulikia changamoto za ardhi, ujenzi wa masoko, barabara na miradi mingine ya miundombinu kama baadhi ya mafanikio ya serikali hiyo. Gavana Nassir alisema Pwani haipaswi kupinga uwekezaji unaoletwa katika eneo hilo, bali viongozi wanapaswa kuhakikisha wananchi wanapata sehemu yao katika maendeleo ya kitaifa. "Kwa miaka mingi tumekuwa tukishuhudia miradi ya maendeleo katika maeneo mengine ya nchi. Jukumu letu ni kuwaelekeza wananchi kwa ukweli na kuhakikisha eneo hili linasalia kwenye meza ya kitaifa ya kisiasa," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 18 Jul 2026 02:25:25
Daniel Negreanu Net Worth
Daniel Negreanu is a Canadian professional poker player with an estimated net worth of $50 million. Popularly known as Kid Poker, Negreanu is widely regarded as one of the greatest and most recognizable poker players in the world. Over a career spanning nearly three decades, he has amassed millions through tournament winnings, online poker, sponsorship [...] The post Daniel Negreanu Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content