K

kenyanews.go.ke

@kna 3 hours ago

Wataalamu wajadili nafasi ya Kiswahili katika teknolojia na maendeleo

Wataalamu wa lugha ya Kiswahili kutoka mataifa mbalimbali wamekutana katika Chuo Kikuu cha Kisii kujadili nafasi ya lugha hiyo katika maendeleo, wakisisitiza umuhimu wake katika teknolojia, utafiti na utengenezaji wa maudhui ya kidijitali yanayoakisi tamaduni za Afrika Mashariki. Kongamano hilo la Chama cha Kiswahili cha Afrika Mashariki (CHAKAMA) limewaleta pamoja zaidi ya washiriki mia mbili...

read more

Other Headlines