K

kenyanews.go.ke

@kna Sat, 05 Sep 2026 07:43:15

Wakaazi wa Olenamara waomba Serikali kuingilia mzozo wa ardhi

Wakaazi wa Olenamara, eneo la Kilgoris, wameiomba Serikali kuingilia kati mzozo wa ardhi unaodaiwa kuchochewa na ugunduzi wa madini ya dhahabu katika eneo hilo, wakisema wamekuwa wakikabiliwa na vitisho na usumbufu kutoka kwa aliyekuwa mwakilishi wa wadi (MCA) wa eneo hilo. Wakaazi hao walisema hali imekuwa tete tangu kubainika kuwepo kwa madini hayo, huku wakidai...

read more

Other Headlines