kahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 04:01:11
Breaking Bad actor RJ Mitte dies aged 34
US actor RJ Mitte, best known for his role as the defiant son of drug kingpin Walter White in the drama series Breaking Bad, has died aged 34. It is with profound sadness that we share the tragic passing of beloved actor, philanthropist, and passionate disability rights advocate RJ Mitte, his representative told the BBC. [...] The post Breaking Bad actor RJ Mitte dies aged 34 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 04:03:55
Qantas flight grounded after bedbug outbreak
A Qantas flight from Italy to Australia was cancelled on Saturday, after an outbreak of bedbugs on the plane. During the previous flight on Friday a nearly 17-hour journey from Perth to Rome some passengers had complained that they were being bitten by bugs, according to the Sydney Morning Herald. They were reportedly [...] The post Qantas flight grounded after bedbug outbreak appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 04:06:39
Congo's former president Kabila forms new group to replace AFC-M23
Former Democratic Republic of Congo (DRC) President Joseph Kabila has launched a new political-military coalition, the Front pour la Refondation de la Nation (FRN), placing himself at the centre of an insurgency against the government of President Félix Tshisekedi. The coalition is intended to replace the AFC-M23 alliance, which has been fighting government forces in [...] The post Congos former president Kabila forms new group to replace AFC-M23 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 04:34:20
Family agony after university student Ivy Anyango's body found in Athi River reservoir
The family of 22-year-old university student Ivy Anyango is seeking answers following the discovery of a decomposing body in a water reservoir behind Orange County Hostels in Athi River, Machakos County, months after she went missing. Anyango, a student at the Cooperative University of Kenya, disappeared on June 9, 2026. Her family and friends now [...] The post Family agony after university student Ivy Anyango's body found in Athi River reservoir appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 03:53:23
One dead and several hurt after rollercoaster incident at Six Flags
One person has died and several others were injured after an incident on a rollercoaster at Six Flags Over Georgia, an amusement park in the US state of Georgia. The Cobb County Police Department said it was investigating the fatality at the park, about 15 miles (24km) from Atlanta, according to the BBCs news partner [...] The post One dead and several hurt after rollercoaster incident at Six Flags appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 03:55:39
Bumble shares soar after report dating firm in $1bn takeover talks
Shares in dating app company Bumble soared by almost 50% on Monday after a report that it is in advanced talks to be bought for around $1bn (£757m). Technology holding company Ithaca could announce a deal to buy the Texas-based firm as early as this week, according to the Wall Street Journal. The jump in [...] The post Bumble shares soar after report dating firm in $1bn takeover talks appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 13 Oct 2026 03:58:18
Lockerbie bombing suspect seized from Libya in 'cloak and dagger' operation
A Lockerbie bombing suspect has claimed he was illegally removed from Libya to stand trial in the United States after a cloak and dagger operation conducted in the dead of night. Abu Agila Mohammad Masud Kheir Al-Marimi has alleged he was abducted by armed men and handed over hooded and bound to FBI agents, who [...] The post Lockerbie bombing suspect seized from Libya in cloak and dagger operation appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 13 Oct 2026 03:55:17
Ebola: Pigo kampuni ya meli ikisitisha ajira kwa Wakenya
SEKTA ya meli za kitalii za kimataifa imepata pigo nchini kutokana na kisa cha kwanza cha Ebola nchini, huku kampuni ya MSC Cruises ikisitisha kuajiri mabaharia Wakenya kwenye meli zake. MSC Cruises, ambayo huajiri mamia ya Wakenya kwenye meli zake, imesema hatua hiyo ya muda itadumu hadi Oktoba 31, ikitaja hali ya hivi karibuni ya afya ya umma nchini. Katika ujumbe kwa wafanyakazi walioathiriwa, kampuni hiyo ya usafiri wa meli za kitalii, ilisema uamuzi huo ni wa tahadhari huku ikiendelea kufuatilia na kutathmini hali ilivyo. Kampuni hiyo iliomba radhi kwa kutoa taarifa hiyo katika muda mfupi, lakini ikawahakikishia wafanyakazi walioathiriwa kuwa uamuzi huo hautaathiri ajira zao, mikataba yao ya kazi wala fursa zao za baadaye katika kampuni hiyo. Ilisema wafanyakazi ambao mipango yao ya kusafiri imeahirishwa watapewa kipaumbele katika kupanga upya safari zao kuanzia Novemba 1, isipokuwa kama kutakuwa na matukio mengine yatakayohitaji hatua za ziada. Ingawa MSC Cruises haikutaja Ebola moja kwa moja katika taarifa yake, hatua hiyo imezua maswali kuhusu uwezekano wa waajiri wengine wa kimataifa kuchukua hatua kama hizo za tahadhari na athari zake kwa Wakenya wanaotafuta ajira nje ya nchi. Mwezi Julai, baadhi ya wafanyakazi Wakenya pia walikwama baada ya kampuni hiyo ya meli za kitalii kuahirisha safari za wafanyakazi kutoka Kenya, ingawa hakuna kisa cha Ebola kilichokuwa kimeripotiwa wakati huo. "Tafadhali fahamuni kuwa kutokana na mlipuko wa Ebola, usimamizi umeamua kuahirisha kuingia kwa wafanyakazi kutoka Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Uganda kwenye meli hadi pale itakapotangazwa vinginevyo," barua pepe kutoka kwa kampuni hiyo ya meli za kitalii ilisema. Duru zilisema baadhi ya wafanyakazi kutoka Diani na Mombasa waliokuwa wanatarajiwa kuabiri meli ya kampuni hiyo walikwama. Mchambuzi wa masuala ya utalii, Bw Mohamed Hersi, alisema sekta hiyo haijapokea ripoti za watalii waliokatiza safari zao nchini kwa sababu ya Ebola. Hata hivyo, alionya kuwa hali inaweza kubadilika iwapo nchi ambazo Kenya hutegemea sana kwa utalii zitatangaza masharti makali zaidi ya ushauri wa usafiri. "Hatujapokea taarifa za safari zozote zilizoghairiwa. Yote yatategemea ushauri wa usafiri, hasa kutoka kwa serikali za Uingereza, Marekani na Milki za Kiarabu (UAE)," alisema Bw Hersi, ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Pollman's Tours and Safaris. Bw Hersi alieleza matumaini kuwa Kenya itaepuka ushauri mkali wa usafiri kwa kuwa kisa cha Ebola kilichoripotiwa kilitoka nje ya nchi na maafisa wa afya wamechukua hatua za kudhibiti hatari. Kwa upande wake, meneja wa kampuni ya Africa Last Minute Ltd, Bw Abraham Guyo, alionya kuwa kisa hicho kinaweza kudhoofisha imani ya wageni kwa Kenya kama kivutio cha watalii, hasa iwapo wasiwasi wa kimataifa utaongezeka. Wizara ya Afya ilithibitisha kisa cha kwanza nchini Kenya cha ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo mnamo Oktoba 6. Mgonjwa huyo, aliyekuwa amesafiri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia Uganda hadi Nairobi, baadaye alifariki na kuzikwa kwa kuzingatia taratibu za afya ya umma. Serikali imesisitiza kuwa kisa hicho kilitoka nje ya nchi na imewataka Wakenya kuwa watulivu, kufuata mwongozo rasmi wa afya na kuepuka kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa. Serikali imesema inaongeza ufuatiliaji wa magonjwa na kuimarisha hatua nyingine za afya ya umma ili kuzuia maambukizi zaidi.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Tue, 13 Oct 2026 03:30:00
The irony of State decking out billions for politics, but zero for university education
University lecturers strike exposes the Governments failure to secure a lasting salary deal, leaving students stranded despite billions of shillings committed to other sectors.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 13 Oct 2026 02:55:30
Ruto ampapura Uhuru, asema hawezi kuaminika
RAIS William Ruto jana alimrejelea Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kama kiongozi msaliti ambaye alimgeuka na kupuuza maelewano ya kila mmoja wao kuongoza kwa mihula miwili baada ya kuchukua uongozi katika uchaguzi mkuu wa 2013. "Nilikuunga mkono katika uchaguzi wa 2013 na 2017, ukatangaza kuwa ungehudumu kwa miaka 10 kisha uniunge mkono kwa miaka 10 mingine. Lakini ulinidanganya. Wewe nimtu asiyekuwa na shukrani hata kidogo," akasema Rais Ruto. Alikuwa akiongea katika ngome yake ya kisiasa, Kaunti ya Uasin Gishu ambapo aliwataka wafuasi wake kumpa kura milioni moja zaidi katika uchaguzi wa 2027. Bw Kenyatta na Rais Ruto walihudumu pamoja kama rais na naibu rais kuanzia 2013 hadi 2022, lakini uhusiano wao ulidorora Uhuru alipomuunga mkono Raila Odinga katika uchaguzi wa 2022. "Wale ambao wanalalamika kuhusu Uhuru wanafaa waniulize. Huyo jamaa ni mkora. Kama alinihadaa, mimi mwenye nilimpigia kura na kumfanyia kampeni, fikiria vile atamalizana na hao haraka sana," akaongeza. Ziara ya jana ilijumuisha uzinduzi na ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kaunti za Uasin Gishu na Nandi, huku Rais akitumia fursa hiyo kuimarisha ushawishi wake katika ngome yake. Pia alionekana kuanzisha kauli-mbiu mpya ya chama chake cha UDA akitumia maneno "Usawa ni Sawa" pamoja na kaulimbiu ya "Kazi ni Kazi". Katika kituo cha Kaptumo, Kaunti ya Nandi, aliwaambia wafuasi wake: "Ninaposema UDA, ninyi mnajibu 'Usawa ni Sawa'. Ninaposema 'Usawa ni Sawa', ninyi mnajibu 'Mbele Pamoja'". Kaulimbiu hiyo inajiri wakati Rais anajaribu kutumia miradi ya maendeleo kuimarisha nafasi yake ya kisiasa, hasa katika maeneo ambayo amekuwa akipata uungwaji mkono mkubwa. Katika Kaunti ya Nandi, Rais aliwaomba wakazi wamwongezee kura milioni moja kwa zile za awali na kuwataka vijana wanaostahili kupata vitambulisho vya taifa wajiandikishe kuwa wapigakura. "Urais unapatikana kupitia kura, na kama watu wangu, sitaki mnivunje moyo. Ninahitaji kura milioni moja zaidi kutoka kwenu," akasema. Alitetea rekodi ya serikali yake, akisema imetekeleza ahadi zake katika sekta nyingi na iko tayari kwa uchaguzi mkuu. "Tumezitimiza ahadi zetu na kufanikisha mengi katika karibu sekta zote ili kuboresha maisha ya Wakenya. Rekodi yetu ya kuchapa kazi inajidhihirisha," akasema, akiwashutumu wapinzani kwa kukosa manifesto na mipango madhubuti. Katika uzinduzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi cha Moiben, Uasin Gishu, Rais Ruto alisema wapinzani wake hawatamshinda hata wakiungana. Alitetea pia ushirikiano wa serikali ya Kenya Kwanza na ODM, akisema utadumu hata baada ya uchaguzi wa 2027. "Serikali Jumuishi na washirika wetu wa ODM tutaendelea kuwepo hata baada ya 2027. Hii ndiyo njia pekee ya kuhakikisha usawa kwa Wakenya wote," alisema. Ziara hiyo pia ilifichua tofauti za kisiasa miongoni mwa viongozi wa eneo hilo huku uchaguzi wa 2027 ukikaribia. Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago aliwaonya wanasiasa dhidi ya kutumia ziara ya Rais kulipiza kisasi au kuwafedhehesha wapinzani wao. Gavana Jonathan Bii alihimiza umoja huku akitaka ofisi yake iheshimiwe kama mwenyeji wa Rais. Viongozi hao waliwataka wakazi kumuunga mkono Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena. Kiongozi wa Wengi katika Seneti Aaron Cheruiyot alisema Uhuru anapaswa kuipa serikali ya sasa nafasi ya kuongoza, huku Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen akimtaka Rais kuzingatia maendeleo na umoja wa kitaifa. Ziara hiyo itafikia kilele katika sherehe za Mashujaa Day Oktoba 20, zitakazoandaliwa kwa pamoja na kaunti za Uasin Gishu, Nandi na Elgeyo Marakwet. Elgeyo Marakwet itaandaa mashindano ya riadha, Nandi fainali za voliboli, huku Uasin Gishu ikiandaa fainali za soka. Rais aliambatanisha ujumbe wake wa kisiasa na miradi ya miundombinu, umeme, nyumba za gharama nafuu na elimu ya ufundi. Katika Kaunti ya Nandi, alitangaza uwekezaji wa Sh20 bilioni kujenga kilomita 350 za barabara. Kwenye maeneo ya kilimo cha majanichai Nandi, wakulima wanaohudumiwa na viwanda vya Chebut na Kaptumo walipokea bonasi ya Sh12.50 kwa kila kilo ya chai msimu huu. Dkt Ruto aliwataka wakulima kuchagua wakurugenzi wenye uwezo wa kusimamia viwanda hivyo ili kuhakikisha wanapata mapato bora. "Bonasi za chai hutegemea jinsi wakurugenzi wanavyosimamia viwanda. Nawahimiza kuchagua viongozi wenye uwezo watakaohakikisha mnapata mapato bora," akasema. Alifichua kuwa serikali ilikuwa imetoa Sh850 milioni kusaidia wakulima wadogo wa majanichai katika eneo hilo.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 12 Oct 2026 21:00:00
State commits billions across sectors, but no deal for lecturers
University lecturers strike exposes the Governments failure to secure a lasting salary deal, leaving students stranded despite billions of shillings committed to other sectors.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 18:17:41
Prosecution urges Supreme Court to uphold conviction of former Venezuelan embassy official for murder
The prosecution urged the Supreme Court to dismiss an appeal by Dwight Sagaray, a former First Secretary at the Venezuelan Embassy in Nairobi, and uphold his 20-year prison sentence for the murder of Olga Fonseca Jimenez in July 2012. In a petition dated August 7, 2026, Sagaray challenged the Court of Appeal judgment delivered on [...] The post Prosecution urges Supreme Court to uphold conviction of former Venezuelan embassy official for murder appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 18:25:07
Microsoft to close Nairobi Engineering Centre in global restructuring
Microsoft is closing its Africa Development Centre (ADC) in Nairobi, ending its engineering operations in Kenya as part of a global restructuring that has raised concerns over local jobs and the country's technology investment climate. Employees were informed of the decision on Monday, October 12, 2026, with the changes affecting the engineering department at the [...] The post Microsoft to close Nairobi Engineering Centre in global restructuring appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 12 Oct 2026 17:45:04
South Africa's deputy police chief resigns after being charged with sexual offences
South Africas deputy police chief has resigned three weeks after he was charged with sexual offences. A lawyer representing Lt Gen Shadrack Sibiya submitted his resignation letter at his disciplinary hearing on Monday, a police spokesperson said. The charges relate to allegations that he sexually groomed a 16-year-old girl and raped an 18-year-old woman. He [...] The post South Africas deputy police chief resigns after being charged with sexual offences appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content