kenyanews.go.ke
@kna Fri, 09 Oct 2026 08:27:42
Nandi youth lobby unveils data protection policy
A youth group in Nandi County has launched a data protection policy to safeguard personal information collected from its members and communities. Nandi County Youth Bunge said the policy will ensure compliance with the Data Protection Act, 2019, and set clear procedures for the collection, storage, processing and sharing of personal data. Speaking during the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 09 Oct 2026 07:33:19
Auditor-General working within timelines to audit 12,000 public entities
The Office of the Auditor-General is working within tight timelines to audit and report on about 12,000 public entities, Deputy Auditor-General (DAG) Edwin Kamar has said. Kamar said the office was constitutionally mandated to audit all entities funded from public resources, including private entities that receive public funds, making timely submission of financial statements important...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 09 Oct 2026 07:51:22
Boda boda sector thrives in Nyeri despite challenges
For many people in Nyeri, the sight of a boda boda rider sneaking through traffic, carrying passengers or delivering goods, is an ordinary part of everyday life. But behind the familiar motorcycle is a sector with a leadership structure, welfare systems, security networks and long-term plans that many people rarely see. According to Charles Ndegwa,...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 07:48:10
Cars torched and shops looted as anti-migrant violence erupts in South Africa
At least 24 vehicles were set ablaze and foreign-owned shops looted in South Africa as anti-immigration protests descended into violence in two major cities, police say. Clashes broke out on Thursday in Soweto, a sprawling township outside Johannesburg, the countrys largest city, and Durban, a major port on the east coast. The violence comes amid [...] The post Cars torched and shops looted as anti-migrant violence erupts in South Africa appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 07:55:50
Why Elon Musk is taking on India's richest man over Starlink
Elon Musk has questioned whether billionaire Mukesh Ambani is the real boss of India as his satellite internet company Starlink struggles to secure final approval to launch in the country. The remark came a day after Musk accused unnamed powerful business interests of trying to block Starlinks entry into India. He then singled out Ambani, [...] The post Why Elon Musk is taking on Indias richest man over Starlink appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 09 Oct 2026 07:55:56
Mwalimu aliyehusishwa na sakata ya ajira Myanmar apokonywa gari la Sh1.7 milioni
MWALIMU mmoja amepoteza gari lake la thamani ya Sh1.7 milioni baada ya Mahakama Kuu kuamua kuwa lilinunuliwa kwa pesa zinazohusishwa na biashara ya ulanguzi wa watu kinyume cha sheria. Jaji B.M. Musyoki aliamuru gari hilo, Toyota Axio KDN 780J, litwaliwe na serikali baada ya kupata kwamba Evans Kimtai Sichei hakueleza vizuri alikopata fedha za kulinunua. Mahakama ilisema Mamlaka ya Kurejesha Mali (ARA) ilionyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa gari hilo lilinunuliwa kwa mapato ya uhalifu. Kesi hiyo ilitokana na uchunguzi kuhusu madai ya Wakenya kusafirishwa hadi Thailand kwa ahadi za ajira zenye mishahara mizuri, lakini baadaye kupelekwa Myanmar ambako walilazimishwa kufanya uhalifu wa kimtandao katika mazingira magumu. Kulingana na mpelelezi, baadhi ya waathiriwa walilipa kati ya Sh50,000 na Sh150,000 kama "gharama za kuwezesha safari" kupitia nambari ya M-Pesa iliyokuwa ya Sichei na nyingine iliyohusishwa na mshukiwa mwenzake, Emmah Bonareri Rosana. Familia za baadhi ya waathiriwa pia zilidaiwa kulipa kati ya Sh70,000 na Sh100,000 kama fidia ya kuwaokoa wapendwa wao. Mahakama iliambiwa waathiriwa Evans Kipyegon Kironget, Isaac Kipruto Mering, Phillip Ruto Cheptot, Jonathan Kusimba, Felix Kwemoi Cheptinde na Daniel Simotwa walipoteza jumla ya Sh616,700. Sichei na Rosana walikamatwa Machi 11, 2025 na kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa ambako walishtakiwa kwa makosa ya usafirishaji haramu wa watu miongoni mwa mashtaka mengine. Baadaye ARA ilichunguza miamala ya Sichei, ikilenga akaunti yake ya M-Pesa na uhusiano wake na waathiriwa. Mamlaka hiyo ilisema iligundua miamala ya kutia shaka, ikiwemo pesa nyingi kuingia kwenye akaunti na kutolewa karibu mara moja. Kwa mujibu wa wachunguzi, hali hiyo ilizua shaka kuwa kulikuwa na juhudi za kuficha chanzo cha fedha hizo. Gari hilo lilikuwa sehemu muhimu ya uchunguzi baada ya mahakama kuambiwa lilinunuliwa katika kampuni ya Ramna International Motors, Mombasa, kwa Sh1.7 milioni. Mwakilishi wa kampuni hiyo, Arif Saleh Subeya, aliwaambia wachunguzi kuwa malipo yalifanywa kwa awamu kupitia miamala ya M-Pesa kutoka kwa nambari iliyosajiliwa kwa jina la Sichei. Nambari hiyo pia ilidaiwa kupokea pesa kutoka kwa baadhi ya watu waliosafirishwa katika mpango huo. Sichei alipinga kutwaliwa kwa gari hilo, akisema kesi ya jinai dhidi yake ilikuwa na nia mbaya na ililenga kuchafua jina lake. Alisema alikuwa mwalimu, mkulima na mfanyabiashara na kwamba shughuli hizo zilimwezesha kupata pesa za kununua gari hilo. Pia alisema gari hilo lilikuwa likitumiwa kama teksi na kutwaliwa kungemnyima yeye na familia yake chanzo cha mapato. Hata hivyo, Jaji Musyoki alikataa hoja kwamba tarehe ya gari kununuliwa ilitosha kumwondolea mashaka. Jaji alisema kesi ya jinai na ile ya kutwaliwa kwa mali ni mambo mawili tofauti, kwani kesi ya mali inalenga zaidi chanzo cha mali hiyo. "Mshtakiwa ameonyeshwa kuwa alipokea pesa kutoka kwa baadhi ya waathiriwa waliotambuliwa. Ukweli huu unaonyesha zaidi ya tuhuma," jaji alisema katika uamuzi wake uliotolewa Nairobi Oktoba 2, 2026. Jaji pia alikataa madai ya Sichei kwamba ushahidi dhidi yake ulikuwa wa tuhuma pekee. Alisema waathiriwa walitambuliwa na walitoa taarifa zilizomhusisha mwalimu huyo. "Siwezi kuamini kwamba watu watajitokeza tu na kutoa taarifa za kumhusisha mtu wasiyemjua na kosa zito kama ulanguzi wa watu," jaji alisema. Mahakama ilisema baada ya ARA kuwasilisha ushahidi ulioibua sababu za msingi za kuamini gari hilo lilinunuliwa kwa pesa za uhalifu, Sichei alipaswa kueleza chanzo halali cha fedha hizo. Lakini hakufanya hivyo. Ingawa alisema alikuwa mwalimu, mkulima na mfanyabiashara, hakueleza kiasi alichokuwa akipata kutokana na shughuli hizo wala kuwasilisha ushahidi wa mshahara wake. Jaji pia alishangaa kwa nini hakueleza ikiwa Sh1.7 milioni za kununua gari zilitokana na mshahara, faida za biashara au kilimo. "Bado hajafichua aina ya biashara anayofanya wala anacholima," jaji alisema. Mahakama pia ilikosoa kushindwa kwake kueleza mapato aliyokuwa akipata kutokana na kulifanya gari hilo teksi. Jaji alisema gari lililonunuliwa kwa pesa za uhalifu haliwezi kuwa halali kwa sababu tu baadaye limetumiwa katika biashara halali. "Mali iliyonunuliwa kwa mapato ya uhalifu haiachi kuwa na doa kwa sababu baadaye imeingizwa katika biashara halali," alisema. Alisema alitembea takriban mita 500 akiwa anachechemea kutokana na majeraha ya miguu kabla ya kumkuta mkewe akiwa amelala kwenye damu. "Yote ninayotaka ni haki, sasa kwa kuwa kuna ushahidi kwamba mke wangu aliuawa kwa njia ya kikatili," alisema. Muturi alisema alipata majeraha mikononi na miguuni baada ya kutupwa kutoka kwenye gari. Alitibiwa katika Zahanati ya Murinduko na kuruhusiwa. Baadaye aliripoti tukio hilo katika Kituo cha Polisi cha Piai na kurekodi taarifa katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), Wang'uru. Baada ya tukio hilo, wakazi walifanya maandamano wakitaka haki, wakifunga Barabara ya Piai-Murinduko. Hata hivyo, utulivu ulirejea baada ya Kamanda wa Polisi wa Mwea, Henry Gitonga, kuwahakikishia wakazi kuwa suala hilo linachunguzwa na hakutakuwa na kufichwa kwa ukweli.
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 09 Oct 2026 07:01:13
Embu raises alarm over poor vision among drivers
The Embu County Health Department has raised concerns over the troubling increase in the number of drivers experiencing poor vision, especially double vision. The County Vision Impact Project (VIP) Coordinator Daniel Kiige warned that this rise in these cases poses a severe threat to road safety if left unaddressed. Speaking during a free eye medical...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 09 Oct 2026 07:17:45
Nandi sportsmen prepare for Mashujaa Day competitions
Nandis reputation as the Source of Champions is receiving a fresh boost as the county steps up preparations for this years Mashujaa Day celebrations, with hundreds of sportsmen and women set to compete in a series of events across the North Rift. As the government prepares to host this years national Mashujaa Day celebrations in...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 09 Oct 2026 07:29:36
Kenya steps up community-based rehabilitation to curb youth crime
The government is stepping up community-based crime prevention and rehabilitation programmes, aimed at tackling youth crime, substance abuse and repeat offending through stronger partnerships between probation services and local communities. By strengthening volunteer networks, mentorship and reintegration programmes, the government seeks to address substance abuse, crime and repeat offending among young people. Correctional Services PS...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 07:27:58
Two cops killed in al-Shabaab IED attack in Garissa
Two police officers, including the Officer Commanding Police Division (OCPD) of Hagadera were killed after a Land Cruiser attached to Hagadera Police Station ran over an improvised explosive device (IED) along the Saretho–Dadaab Main Supply Route in Garissa County. The incident occurred at around 6am on Friday, October 9, according police. The vehicle was travelling [...] The post Two cops killed in al-Shabaab IED attack in Garissa appeared first on Kahawatungu.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Fri, 09 Oct 2026 06:31:18
U.S. Exposes Kenyan Officials Over Recruitment of Over 1,000 Men for Russia War
The findings have raised concerns over the vulnerability of Kenyans seeking employment abroad and the role of recruitment agencies in allegedly exploiting job seekers.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 06:28:51
Robert Smith Net Worth
Robert Smith has an estimated net worth of $25 million. The English musician built his wealth through his long career as the lead singer, guitarist and principal songwriter of The Cure, one of the most influential rock bands to emerge from the late-1970s post-punk scene. Over more than four decades, Smith has earned recognition and [...] The post Robert Smith Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 06:32:20
Homa Bay gang leader Abdi Sebo arrested on assault warrant in chaotic operation
Police in Homa Bay have arrested a gang leader who was wanted over an assault case alongside seven other suspects accused of obstructing officers during his arrest. The suspect, Kassim Abdi Sebo popularly known as Abdi has been a leader of Hammer Boys gang. He was arrested at Homa Bay Bus Stage on Thursday night [...] The post Homa Bay gang leader Abdi Sebo arrested on assault warrant in chaotic operation appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 09 Oct 2026 06:35:50
Four killed, 16 injured in grisly Meru-Nkubu Road crash
At least four people were killed and about 16 others injured after a lorry ferrying compost manure lost control and ploughed into pedestrians, motorcycle riders and several vehicles along the Meru-Nkubu Road. The accident occurred at around 9pm on Thursday, October 8, in the River Land area as the lorry descended a steep slope towards [...] The post Four killed, 16 injured in grisly Meru-Nkubu Road crash appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 09 Oct 2026 06:55:18
Wabunge wataka IEBC ijitenge na mchujo vyamani
WABUNGE sasa wanapanga kuondoa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika usimamizi au kusikiliza migogoro inayotokana na mchujo ndani ya vyama vya kisiasa, wakisema hatua hiyo itaongeza uhuru wa vyama hivyo. Wakati wa kujadili Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa mwaka 2024, wabunge walisisitiza kuwa vyama vya kisiasa ni taasisi huru zenye haki ya kusimamia shughuli zao za ndani bila kuingiliwa na IEBC. Wanataka Sheria ya Uchaguzi ifanyiwe marekebisho ili kuondoa mamlaka ya IEBC kushughulikia migogoro ya uteuzi wa wagombea ndani ya vyama na jukumu hilo lihamishiwe Mahakama ya Kutatua Migogoro ya Uchaguzi. Kwa mujibu wa Katiba, Ibara ya 88 inapatia IEBC jukumu la kusimamia au kuendesha kura za maamuzi na uchaguzi. Aidha, Ibara ya 88(4)(e) inaeleza kuwa tume hiyo ina wajibu wa kushughulikia migogoro ya uchaguzi, ikiwemo inayotokana na uteuzi wa wagombea, isipokuwa kesi za uchaguzi na migogoro inayozuka baada ya kutangazwa kwa matokeo. Hata hivyo, wabunge wanasema kuhusika kwa IEBC katika mchujo wa vyama kunadhoofisha uhuru wa vyama vya kisiasa.Kwa mujibu wao, uamuzi wa kumpa mwanasiasa tiketi ya moja kwa moja au kupitia mchujo ni haki ya chama husika pekee. Kwa msingi huo, wanadai IEBC haipaswi kuwa na mamlaka ya kusikiliza malalamishi yanayotokana na maamuzi hayo.Pia walieleza kuwa kushiriki kwa IEBC katika michakato ya vyama ni sawa na kuingilia masuala ya ndani ya vyama vya kisiasa. Hoja nyingine iliyotolewa ni uwezekano wa mgongano wa maslahi. Walisema baadhi ya vyama hupatia IEBC jukumu la kusimamia mchujo kutokana na uwezo wake wa kiteknolojia na kiutawala. Hivyo, si sahihi kwa tume hiyo hiyo kusikiliza migogoro inayotokana na uchaguzi ambao imesimamia. Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Masuala ya Kisheria, George Murugara, alisema wabunge wanataka jukumu la IEBC katika kusuluhisha migogoro ya uteuzi lifutwe kabisa. "Tunataka kuondoa jukumu la IEBC katika kushughulikia migogoro inayotokana na uteuzi wa wagombeaji. Migogoro hiyo ishughulikiwe na Mahakama ya Kutatua Migogoro ya Uchaguzi," alisema Murugara. Mbunge wa Ugenya, David Ochieng', alisema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa inapaswa kuimarisha vyama ili viweze kusimamia shughuli zao kwa uhuru. "IEBC haina kazi katika uteuzi wa ndani ya vyama. Vyama ni kama vilabu. Kama chama kinaamua kunipa tiketi ya moja kwa moja, hilo ni suala lake. Kwa nini IEBC ihusike?" alihoji. Kwa upande wake, Mwakilishi wa Wanawake wa Baringo, Florence Jematiah, alisema hana tatizo IEBC kusaidia vyama visivyo na uwezo wa kusimamia uchaguzi wa mchujo. Hata hivyo, alionya kuwa matatizo huibuka pale tume hiyo hiyo inapolazimika kusikiliza migogoro inayotokana na mchujo iliyoendesha. Kulingana na Mpango wa Uchaguzi wa 2025-2027 uliozinduliwa Mei, vyama vyote vinavyokusudia kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027, vinapaswa kukamilisha mchujo na kutatua migogoro yote ifikapo Mei 9, 2027. Ratiba hiyo pia inaeleza kuwa wagombea wasioridhika na namna vyama vyao vilivyoshughulikia malalamishi yao watakuwa na hadi Juni 12, 2027 kuwasilisha kesi kwa IEBC, ambayo itatakiwa kutoa uamuzi ndani ya siku 10.
read moreRight Column Content