kahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 05:23:47
Two men die in Tana River shooting as father and son arrested
Police in Tana River County have arrested a man and his son in connection with a shooting incident in Wolesorea area that left two men dead. The second victim, Maulid Yussuf Dayib, who had fled the scene during the initial shooting, was later found hiding in a nearby bush with two gunshot wounds to the [...] The post Two men die in Tana River shooting as father and son arrested appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 05:28:24
Alison Arngrim Net Worth
Alison Arngrim has an estimated net worth of $1 million. She is an American actress, comedian, author and activist best known for playing Nellie Oleson on the NBC television drama Little House on the Prairie. Arngrim joined the series in 1974 at the age of 12 and appeared in more than 100 episodes before the [...] The post Alison Arngrim Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 05:35:50
EACC recovers Sh12.57 million from former Homa Bay Assembly Clerk, two others
The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has secured a court order compelling former Homa Bay County Assembly Clerk Bob Kephas Otieno and two others to pay back Sh12.57 million in public funds fraudulently transferred from the Assembly's salary suspense account between 2015 and 2017. In a judgment delivered on October 16, 2026, Justice Benjamin Musyoki [...] The post EACC recovers Sh12.57 million from former Homa Bay Assembly Clerk, two others appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 05:40:11
One dead, two rescued as landslide hits Meru quarry, three trapped
One person died, two others were rescued, and three are feared trapped after a landslide struck a mining quarry in Mutonga Village, Igoji, Meru County. The incident occurred on Wednesday, October 21, 2026, at Mutonga One quarry. According to police, the landslide was reported, prompting officers from Igoji Police Station and the Directorate of Criminal [...] The post One dead, two rescued as landslide hits Meru quarry, three trapped appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 05:41:52
Karen Grassle Net Worth
Karen Grassle has an estimated net worth of $1.5 million. She is an American actress and author best known for portraying Caroline Ingalls, also known as Ma, on the NBC television series Little House on the Prairie. She starred alongside Michael Landon for eight seasons, becoming one of the most recognisable television mothers of the [...] The post Karen Grassle Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 05:45:06
Woman drowns in Kirinyaga stream after suspected epileptic seizure
A 22-year-old woman drowned in a stream in Karuru Village, Kirinyaga East Sub-County, after she reportedly suffered an epileptic seizure while washing clothes. The deceased, identified as Faith Wanjiru Kithinji, was found dead in the stream in Kianjiru Sub-location, Baragwi Location, on Wednesday, October 21, 2026. According to police, Wanjiru, who had a history of [...] The post Woman drowns in Kirinyaga stream after suspected epileptic seizure appeared first on Kahawatungu.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Thu, 22 Oct 2026 05:07:08
Babu Owino Explains Dropping Out of Nairobi Governor Race After Meeting Gachagua
Embakasi North MP James Gakuya, a close ally of Gachagua, is one of the people who are keen on unseating the incumbent, Johnson Sakaja, at the City Hall during the 2027 polls.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 22 Oct 2026 04:55:40
Ziara ya Ruto yafichua ushindani mkali ngomeni
ZIARA ya siku 10 ya Rais William Ruto katika ngome yake ya kisiasa ya Kaskazini mwa Bonde la Ufa imefichua ushindani unaozidi kuongezeka ndani ya chama tawala cha UDA huku wanasiasa wakiwania ushawishi wake kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ziara hiyo iliyohusisha uzinduzi wa miradi ya maendeleo na sherehe za Mashujaa Day, ilidhihirisha makundi yanayojipanga kuwania viti vya magavana, wabunge na nyadhifa nyingine za uchaguzi ujao. Ingawa UDA ina uungwaji mkono mkubwa katika eneo hilo, tofauti za viongozi wanaotaka tiketi ya chama zimeanza kuwa changamoto kwa Rais Ruto, hasa ikizingatiwa kuwa uteuzi wa chama unaweza kuamua hatima ya wengi wao. Mchambuzi wa siasa wa Eldoret, David Kosgei, alisema wagombea wanajitahidi kupata nafasi ya kuzungumza na Rais wakiamini kuwa baraka zake zitawasaidia kupata kura. "Wagombea wote wanatafuta kuteka umakini wa Rais Ruto kwa matumaini kuwa mkakati huo utawasaidia kupata kura," alisema. Katika kaunti ya Uasin Gishu, ushindani umejikita kati ya makundi yanayohusishwa na Gavana Jonathan Bii Chelilim na Seneta Jackson Mandago. Kambi ya Mandago inajumuisha Katibu katika Wizara ya Utalii Julius Bitok, ambaye anajaribu kwa mara ya tatu kuwania ugavana, Mbunge wa Soy David Kiplagat na Mbunge wa Kesses Isaac Rutto. Kwa upande mwingine, kundi la Gavana Bii inahusishwa na Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi na washirika wake wa kisiasa. Hata hivyo, ushindani huo hauhusu uchaguzi wa 2027 pekee, bali pia nani atakuwa na ushawishi mkubwa miongoni mwa jamii ya Wakalenjin baada ya Ruto kuondoka kwenye ulingo wa siasa. Mchambuzi Benjamin Kirwa alisema makundi hayo yanaashiria mapambano makubwa yanayoweza kulipuka iwapo viongozi watashindwa kudhibiti tofauti zao. "Mapambano ya kisiasa hayahusu uchaguzi mkuu wa 2027 pekee, bali pia nani atakuwa msemaji wa Wakalenjin baada ya Rais Ruto kuondoka kwenye ulingo wa siasa," alisema. Mvutano ulionekana wazi zaidi katika kaunti ya West Pokot, ambapo makundi mawili yanapigania ushawishi kuelekea uchaguzi wa ugavana. Kundi la 5G linahusishwa na aliyekuwa gavana John Lonyangapuo, huku kundi la Message likihusishwa na Mbunge wa Sigor David Pkosing. Makundi hayo yanapigania ushawishi ndani ya UDA licha ya viongozi wao kuhusishwa na Kenya Union Party (KUP), ambacho kimehamia upande wa UDA. Kundi la 5G linajumuisha Seneta Murgor, Mbunge wa Sigor Peter Lochakapong, Mbunge wa Kapenguria Samuel Moroto, Mwakilishi wa Wanawake Rael Kasiwai, aliyekuwa Mbunge wa Kacheliba Mark Lomunokol na aliyekuwa Katibu wa wizara James Teko. Mrengo wa Messag nao unajumuisha Gavana Simon Kachapin, Mbunge wa Kacheliba Titus Lotee, aliyekuwa Mbunge wa Sigor Philip Rotino, Balozi wa Kenya nchini Zambia Lillian Tomiton, Naibu Gavana Robert Komolle, MCA wa Sekerr Jane Mengich, Naomi Kendagor na Spika wa Bunge la Kaunti Fredrick Kaptui, pamoja na madiwani wengine. Mchambuzi wa siasa Joshua Kosgei alisema kupata tiketi ya UDA na kuungwa mkono na Rais kunaweza kuwa sawa na kushinda uchaguzi katika eneo ambalo chama hicho kina wafuasi wengi. "Kupata tiketi ya UDA katika mchujo na kuvutia umakini wa Rais ni sawa na kushinda uchaguzi katika eneo ambalo UDA ina nguvu. Haya ni mapambano ya kufa au kupona," alisema. Katika ziara yake, Rais Ruto alilazimika mara kadhaa kuwataka wafuasi wa makundi hasimu kudumisha umoja ili mikutano ya maendeleo isigeuke uwanja wa malumbano ya kisiasa. Pia alikumbana na malalamishi kuhusu utendaji wa baadhi ya viongozi wa maeneo ya Elgeyo Marakwet na Nandi, ambapo wakazi walihoji rekodi zao za maendeleo. Akijaribu kutuliza hali, Rais aliwataka wagombea na wafuasi wao kubaki ndani ya UDA na serikali jumuishi hadi wakati wa kuchagua viongozi utakapofika. "Mnajua la kufanya kwa kura zenu. Subirini wakati huo, kisha mfanye uamuzi wenu. Kwa sasa, tuungane ndani ya UDA na serikali jumuishi," alisema, huku akisisitiza kaulimbiu mpya ya chama, Usawa ni Sawa. Rais pia aliwataka wapiga kura kuchagua viongozi kwa kuzingatia rekodi zao za maendeleo, sera na ahadi zao badala ya kufuata ushawishi wa kisiasa pekee. Alisema ana imani kuwa serikali yake imefanya mengi katika miaka minne iliyopita na akapuuza uwezekano wa upinzani kumshinda mwaka 2027.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Thu, 22 Oct 2026 04:14:24
Sifuna Suffers New Blow in Linda Mwananchi Registration Bid
Sifuna has been facing a myriad of challenges in a bid to register his Linda Mwananchi movement as a political party and has been involved in a back-and-forth with the Registrar of Political Parties.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 22 Oct 2026 03:55:38
Kenya miongoni mwa mataifa fisadi zaidi Afrika, duniani – ripoti
KENYA imeorodheshwa katika nafasi ya 137 duniani katika kupambana na ufisadi, huku ripoti mpya ikionyesha kudhoofika kwa uhuru wa mahakama na baadhi ya haki za kiraia. Ripoti ya mwaka 2025 ya World Justice Project (WJP) Rule of Law Index inapatia Kenya nafasi ya 102 kati ya nchi na maeneo 143 duniani katika utekelezaji wa utawala wa sheria. Alama ya jumla ya Kenya ilishuka kwa chini ya asilimia moja ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, lakini nchi ilifanya vibaya zaidi katika kipengele cha kupigana na ufisadi, ambapo iliorodheshwa ya 137 duniani na ya 31 kati ya nchi 34 za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kenya pia iliwekwa katika nafasi ya 128 duniani katika kipengele cha usalama na utulivu, hali inayoangazia changamoto za kulinda watu na mali yao. Ripoti hiyo inasema mifumo ya kuzuia matumizi mabaya ya mamlaka na kuhakikisha taasisi za serikali zinawajibika imeendelea kudhoofika. "Uadilifu wa mifumo ya kuzuia na kusawazisha mamlaka pia umedhoofika pakubwa, ikiwemo nchini Kenya," ripoti hiyo inasema. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa uhuru wa kutoa maoni, kujieleza, kukusanyika na kujiunga na mashirika umepungua katika baadhi ya nchi, Kenya ikiwa miongoni mwa zilizorekodi kushuka katika vipengele hivyo. Hata hivyo, ushiriki wa wananchi katika shughuli za kiraia nchini Kenya ulisalia bila mabadiliko makubwa, tofauti na mataifa mengi ambako ushiriki huo ulipungua. Ripoti hiyo pia inaonyesha wasiwasi kuhusu kuingiliwa kwa mifumo ya haki na wanasiasa. Kenya ilishuka katika vipimo vinavyochunguza uwezo wa mahakama kuzuia matumizi mabaya ya mamlaka ya serikali kuu na uhuru wa mifumo ya haki ya kesi za jinai. Licha ya changamoto hizo, Kenya ilifanya vizuri zaidi katika baadhi ya vipengele. Ilishika nafasi ya 69 duniani katika uwazi wa serikali, ya 82 katika haki za madai na ya 87 katika haki za jinai. Uwazi wa serikali ulijumuisha upatikanaji wa taarifa za umma na mifumo inayowawezesha wananchi kuwawajibisha viongozi. Hiki ndicho kilikuwa kipengele kilichopatia Kenya matokeo bora zaidi kati ya vipengele vinane vilivyopimwa. WJP hutumia maoni ya wananchi, wanasheria na wataalamu kutathmini jinsi utawala wa sheria unavyotekelezwa katika maisha ya kila siku, badala ya kutegemea Katiba na sheria pekee. Duniani kote, asilimia 68 ya nchi na maeneo 143 yaliyotathminiwa yalirekodi kushuka kwa viwango vya utawala wa sheria mwaka 2025, ikilinganishwa na asilimia 57 mwaka 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa WJP Alejandro Ponce alisema hali hiyo imegeuka kwa kasi baada ya kushuka kwa viwango hivyo katika miaka iliyotangulia. "Kuharibiwa kwa taratibu za utawala wa sheria kulipungua katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, mwaka huu tunaona mabadiliko makubwa, huku nchi nyingi zaidi zikishuka na chache zikiimarika," alisema. Denmark iliongoza katika orodha ya kimataifa, ikifuatiwa na Norway, Finland, Sweden na New Zealand, huku Venezuela ikiwa ya mwisho. Katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya ilishika nafasi ya 13 kati ya nchi 34, na nafasi ya 15 kati ya nchi 35 zenye uchumi wa kipato cha chini-kati. Matokeo hayo yanaangazia changamoto ya kuhakikisha kuwa haki zilizowekwa katika Katiba zinalindwa, taasisi za umma zinawajibika na mamlaka yanatekelezwa kwa mujibu wa sheria.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 03:28:06
US State Department orders some staff to leave Saudi Arabia as attacks escalate
The US State Department has ordered some diplomats and their families to leave Saudi Arabia as attacks escalate, with three people killed in strikes across the country. Saudi authorities said debris from a drone intercepted during an attempted attack on an oil field killed two people, while one person died after a strike at the [...] The post US State Department orders some staff to leave Saudi Arabia as attacks escalate appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 03:31:41
'Targeted' attack on much-loved MP leaves Australian town heartbroken
Wangaratta has been thrust into an unwelcome spotlight this week. Residents in this rural Victorian town are used to catering to tourists passing through on their way to regional wineries, or music lovers visiting its annual jazz and blues festival. Instead, locals are fielding endless questions about their MP and having to explain to [...] The post Targeted attack on much-loved MP leaves Australian town heartbroken appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 03:34:17
Nigeria's first Ebola patient holidayed in Uganda, officials say
Nigerias first confirmed case of Ebola since the outbreak in East Africa began in May is the wife of a diplomat who travelled to Ugandas capital for a holiday, the head of Africas health agency has told the BBC. The woman is originally from Uganda but based in Abuja, where she fell ill three days [...] The post Nigerias first Ebola patient holidayed in Uganda, officials say appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 03:37:48
New Mexico sues Epstein lawyer and accountant, accusing them of hiding his sex crimes
Prosecutors in the US state of New Mexico have filed a civil lawsuit against two longtime aides of Jeffrey Epstein, accusing the men of profiting from the late financiers sex trafficking ring. Lawyer Darren Indyke and accountant Richard Kahn are the sole executors of Epsteins estate, controlling all his wealth and possessions. They have denied [...] The post New Mexico sues Epstein lawyer and accountant, accusing them of hiding his sex crimes appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 22 Oct 2026 03:40:51
Vance tells Republicans to 'stop whining' about controversial Ohio attack ad
US Vice-President JD Vance has urged fellow Republicans to stop whining about a controversial attack ad that featured a Democratic candidates estranged mother calling her a liar. While campaigning in Ohio for Vivek Ramaswamy, the Republican candidate for governor, Vance said he was a little bit disgusted by criticism from members of his own party. [...] The post Vance tells Republicans to stop whining about controversial Ohio attack ad appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 22 Oct 2026 03:30:00
Super coalition: Gachagua and Sifuna court Uhuru, Kalonzo in plot to deny Ruto 'tutam'
Fresh details emerging from a meeting held at Wamunyoro on Tuesday indicate that a series of joint meetings between the two camps will continue in the coming weeks.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 22 Oct 2026 02:55:27
Changamoto mpya mirengo mitatu ikizuka katika upinzani
UPINZANI nchini unaonekana kukabiliwa na changamoto mpya huku viongozi wakipanga mikakati tofauti ya kumwondoa Rais William Ruto mamlakani katika uchaguzi mkuu wa 2027. Mikakati ya kiongozi wa Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, anayeongoza vuguvugu la Linda Mwananchi, inaonekana kuwa na uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa siasa za upinzani. Hata hivyo, ushirikiano huo unaweza kuimarisha umoja au kuchochea makundi pinzani yanayowania uongozi wa nchi. Kwa sasa, upinzani unaonekana kuunda mirengo mitatu ya kisiasa huku viongozi wakitofautiana kuhusu wakati wa kumteua mgombea urais, namna ya kuendesha kampeni na chama kitakachotumiwa katika uchaguzi. Mrengo wa kwanza unahusisha kiongozi wa Wiper Patriotic Front Kalonzo Musyoka, kiongozi wa Democratic Party of Kenya (DP) Justin Muturi na kiongozi wa Democratic Action Party-Kenya (DAP-K) Eugene Wamalwa. Watatu hao wamekuwa wakifanya mikutano ya pamoja katika miezi ya hivi majuzi. Mrengo wa pili unajumuisha kiongozi wa Jubilee Fred Matiang'i, Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro wa People's Party of Kenya (PPK) na kiongozi wa People's Liberation Party (PLP) Martha Karua. Watatu hao wameanza kuonekana pamoja katika mikutano ya kisiasa, wakikosoa utawala wa Rais Ruto. Hapo jana viongozi hao walikuwa Nakuru wakieneza ujumbe wa kupinga serikali ya Kenya Kwanza. Kundi la tatu linaweza kuundwa na Gachagua na Sifuna, ambao wameanza mazungumzo kuhusu ushirikiano kuelekea uchaguzi wa mwaka ujao. Mnamo Jumanne, Sifuna alifanya ziara ya kushtukiza katika makazi ya Gachagua ya Wamunyoro, Nyeri, ambapo walijadili uwezekano wa kuunganisha nguvu zao. "Tulikuwa na mazungumzo ya wazi na ya kujenga kuhusu ukombozi wa nchi yetu na kuunda utawala wa sita," alisema Gachagua baada ya mkutano huo. Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya, mshirika wa karibu wa Sifuna, alisema mkutano huo ni ishara kuwa viongozi wa upinzani wanaweza kuungana. "Njia pekee ya kushinda serikali hii ni umoja. Idadi ya wafuasi wanaoungwa mkono na viongozi hao wawili inaonyesha kuwa mshindi wa uchaguzi huu anaweza kupatikana katika duru ya kwanza," alisema Natembeya, akiongeza kuwa mazungumzo yataendelea ili kutafuta uungwaji mkono kutoka maeneo mengine. Hata hivyo, tofauti kuhusu jinsi ya kuchagua mgombea urais zimezua mashaka kuhusu uwezekano wa viongozi hao kukubaliana. Kalonzo na Muturi wanataka mgombea atangazwe mapema ili upinzani uwe na muda wa kujiandaa. Kwa upande mwingine, Gachagua na Linda Mwananchi wanataka viongozi wajenge kwanza vuguvugu la kitaifa kwa kuunganisha misingi yao ya kisiasa. Muturi alikiri kuwa kujenga muungano si jambo rahisi, lakini akasema viongozi wana nia ya kushinda changamoto zinazowakabili. "Muungano wa kisiasa haujawahi kuwa rahisi popote, na hatutarajii kuwa jambo jepesi hapa Kenya. Tumejitolea kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza," alisema. Aliongeza kuwa lengo lao ni kumuondoa Ruto madarakani kwa njia ya kidemokrasia na kurejesha utawala unaoheshimu Katiba, utawala bora na sheria. Nyoro pia alikanusha madai kuwa upinzani umegawanyika, akisema viongozi wanatumia njia tofauti kufikia lengo moja. "Hatujagawanyika. Tumeungana kwa lengo la kumuondoa Rais Ruto mamlakani," alisema. Alisema hawatakimbilia kumtangaza mgombea urais kwa sababu mchakato huo unahitaji kuzingatia mambo mengi. Kwa maoni yake, upinzani ukiungana na kuwasilisha mgombea mmoja, utakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda. Seneta wa Kitui Enoch Wambua, mshirika wa Kalonzo, pia alipuuzilia mbali uwezekano wa makundi hayo kubaki yakiwa tofauti katika uchaguzi ujao. Alisema hivi karibuni Wakenya wataanza kuona mikutano itakayowaleta pamoja viongozi wa Wiper, DCP, Linda Mwananchi, DAP-K, DP na vyama vingine washirika. Lakini Naibu Kiongozi wa Jubilee Jeremiah Kioni alisema ukosefu wa kuaminiana, kusalitiana na hila ni baadhi ya vikwazo vinavyoweza kuvuruga mipango ya upinzani. Alisema baadhi ya viongozi wana uwezo wa kuvutia wapiga kura lakini hawana uungwaji mkono wa kutosha kuongoza nchi, huku wengine wakikabiliwa na tatizo la kukosa imani ya wananchi. Mbali na tofauti za kitaifa, ushindani wa kupata ushawishi katika eneo la Mlima Kenya umeongeza mgawanyiko. DCP, Jubilee, PLP, DP, Party of National Unity (PNU) inayoongozwa na Peter Munya na Devolution Empowerment Party (DEP) ya Lenny Kivuti ni miongoni mwa vyama vinavyowania uungwaji mkono katika eneo hilo lenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi. Mvutano umeongezeka tangu Nyoro azindue PPK mnamo Agosti 17 na kuanza kampeni za kujijengea msingi wa kisiasa kote nchini, pamoja na Mlima Kenya. Baadhi ya viongozi wa DCP wamemlaumu Nyoro kuwa "fuko", madai ambayo yanalenga kuonyesha kuwa anatumiwa kuhujumu upinzani. Seneta wa Nyandarua John Methu hata amekiita chama cha Nyoro "wilibaro ya kijani", akijaribu kukihusisha na UDA. Nyoro amepuuzilia mbali madai hayo, akisema ni kampeni ya kumchafua yeye na chama chake. "Hatuna muda wa kujibu mashambulizi na uongo wa kitoto. Anayetuma watu hao aseme moja kwa moja, nasi tutajibu ipasavyo," alisema. Akiwa Kajiado wiki iliyopita, Nyoro alisema wanaomshambulia wanahofia kuongezeka kwa ushawishi wake wa kisiasa. Ushirikiano wake wa hivi karibuni na Matiang'i katika mikutano ya pamoja umeongeza dhana kuwa wawili hao wanaunda mhimili tofauti ndani ya upinzani. Ilivyo kwa sasa, changamoto kubwa inayowakabili viongozi wa upinzani si kupata tu mgombea anayeweza kumshinda Ruto, bali pia kukubaliana kuhusu mchakato wa uteuzi ambao utawafanya wagombea wengine kuunga mkono mshindi bila kuhisi wamesalitiwa au kushindwa kisiasa
read moreRight Column Content