kahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 04:46:01
What Is Joe Carter Net Worth?
Joe Carter has an estimated net worth of $20 million. The American former professional baseball player built his wealth during a 16-season Major League Baseball career that made him one of the most recognizable power hitters of his generation. Carter is best remembered for one of the greatest moments in baseball history. In Game 6 [...] The post What Is Joe Carter Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 04:53:30
What Is Carlos Delgado Net Worth?
Carlos Delgado net worth is estimated at $65 million. The Puerto Rican former professional baseball player built his fortune during a highly successful Major League Baseball career that spanned nearly two decades. Delgado made his MLB debut with the Toronto Blue Jays on October 1, 1993. He later played for the Florida Marlins and New [...] The post What Is Carlos Delgado Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 05:00:19
What Is Dave Winfield Net Worth?
Dave Winfield net worth is estimated at $12 million. The former American professional baseball player built his wealth during an exceptional 22-year Major League Baseball career. Widely regarded as one of the greatest outfielders of his generation, Winfield combined power hitting with outstanding defense and consistency. He played for several MLB teams, including the San [...] The post What Is Dave Winfield Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 05:08:26
What Is Wade Boggs Net Worth?
Wade Boggs net worth is estimated at $20 million. The former American professional baseball player built his fortune during an 18-year Major League Baseball career in which he became one of the greatest hitters of his generation. Boggs spent most of his career with the Boston Red Sox but also played for the New York [...] The post What Is Wade Boggs Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 03 Sep 2026 04:55:56
Anajuana na kina Sifuna? Kivutha abadili jina la chama, sasa kuwa 'The Mwananchi Party'
ALIYEKUWA Gavana wa Makueni Kivutha Kibwana anataka kubadili jina la chama chake cha Muungano Party (MP) kuwa The Mwananchi Party (TMP), hatua ambayo imeibua maswali kuhusu uhusiano wake na vuguvugu la Linda Mwananchi linaloongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Hatua hiyo pia inaweza kuwa sehemu ya mikakati ya Profesa Kibwana kujiandaa kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Bw Sifuna na washirika wake katika Linda Mwananchi wamekumbwa na pigo kubwa kisiasa katika wiki za hivi majuzi baada ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa (ORPP) kuzuia juhudi zao za kusajili rasmi jina hilo. Huku wakikumbana na vikwazo katika juhudi za kulinda jina la vuguvugu hilo, Profesa Kibwana aliwasilisha stakabadhi za kuomba kubadili jina la chama chake. Si siri kwamba Profesa Kibwana amekuwa akimuunga mkono Bw Sifuna na vuguvugu lake kupitia mitandao ya kijamii. Katika tangazo la gazeti rasmi la serikali la Agosti 24, Msajili wa Vyama vya Kisiasa John Cox Lorionokou alisema Muungano Party imewasilisha ombi la kubadili jina. "Kwa kutumia mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 20(1)(d) cha Sheria ya Vyama vya Kisiasa, Msajili wa Vyama vya Kisiasa anatoa taarifa kwamba Muungano Party (MP) inakusudia kubadili jina na kuwa The Mwananchi Party (TMP)," ilisema taarifa hiyo. Msajili aliwaalika watu walio na pingamizi kuwasilisha maoni yao kwa maandishi katika muda wa siku saba tangu kuchapishwa kwa tangazo hilo. Hata hivyo, muda huo sasa umekamilika bila pingamizi zozote. Profesa Kibwana hakujibu maswali kuhusu sababu ya kubadili jina la chama na iwapo ana mpango wa kushirikiana na wanasiasa wa Linda Mwananchi 2027. Hivi majuzi Bw Lorionokou alisema kuwa Liberty National Democratic Alliance Party, almaarufu LINDA Party, pamoja na Mwananchi Party, zilikuwa katika mchakato wa kusajiliwa. Alisema hali hiyo ndiyo iliyofanya Bw Sifuna na washirika wake kunyimwa jina la Linda Mwananchi baada ya kubainika kuwa majina hayo yalikuwa tayari yamehifadhiwa. Kwa mujibu wa ORPP, LINDA Party ilihifadhi jina lake Novemba 15, 2024. Msajili pia alisema ombi la kuhifadhi jina Mwananchi Party liliwasilishwa na Pius Onyango Julai 2026 na bado linazingatiwa. Hii inamaanisha kuwa jina hilo haliwezi kuchukuliwa na kundi jingine bila mchakato huo kukamilika.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 03 Sep 2026 05:00:00
Six hours of terror: Harrowing abduction ordeal for Standard Group editor
It was 9:20 pm on Tuesday when Standard Group Senior Editor Alex Kiprotich made his final desperate call to the companys Head of Security, shouting that he was being abducted in Gilgil.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 04:18:48
What Is Edwin Encarnación Net Worth?
Edwin Encarnación has an estimated net worth of $40 million. The retired Dominican professional baseball player built his fortune during a 15-year Major League Baseball career that ran from 2005 to 2020. Encarnación earned an estimated $123 million in MLB salary during his career. He played for seven teams but became best known for his [...] The post What Is Edwin Encarnación Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 04:29:44
What Is José Bautista Net Worth?
José Bautista has an estimated net worth of $45 million. The Dominican former professional baseball player built his fortune during a 15-year Major League Baseball career, most notably with the Toronto Blue Jays. Known by his nickname Joey Bats, Bautista became one of baseballs most recognizable power hitters during the 2010s. He played for several [...] The post What Is José Bautista Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 04:31:09
Gachagua claims Kiprotich was targeted over planned Mau Forest corruption exposé
Former Deputy President Rigathi Gachagua has alleged that Standard Group Associate Editor Alex Kiprotich was abducted because he was preparing an investigative exposé on alleged corruption involving compensation funds meant for Mau Forest evictees. Gachagua accused senior government officials of controlling operations within the National Police Service and alleged that the abduction was carried out [...] The post Gachagua claims Kiprotich was targeted over planned Mau Forest corruption exposé appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 03 Sep 2026 04:35:12
Who is Alejandro Betancourt, colourful oil baron behind US-Venezuela oil deal?
President Donald Trump has called the deal granting the US control of strategic Venezuelan oil fields the biggest in history. North American Blue Energy Partners (Nabep), a company little known outside the South American country, will oversee the production and sale of 17 oil fields containing about 65bn barrels of crude. The agreement has raised [...] The post Who is Alejandro Betancourt, colourful oil baron behind US-Venezuela oil deal? appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 03 Sep 2026 03:55:28
Ruto aagiza sheria ipitishwe kuzuia wageni kufanya uchuuzi Kenya
RAIS William Ruto amesema kwamba haikubaliki kwa raia wa kigeni kuja nchini kufanya uchuuzi na biashara ndogo ndogo. Anasema wageni wana ruhusa ya kuwa wawekezaji pekee, sio kushindana na wenyeji katika biashara ndogo kama uchuuzi na maduka madogo madogo. Akizungumza baada ya kukutana na sehemu ya wafanyabiashara waliofanya maandamano wiki jana kulalamikia ushuru mpya wa KRA kuhusu shehena ya bidhaa za kutoka nje katika Ikulu ya Nairobi Jumatano, Rais aliagiza mawaziri husika kuharakisha mswada bungeni unaoharamisha aina fulani ya biashara kufanywa na raia wa kigeni. "Tuko na wafanyabiashara kutoka nchi zingine, wacha nisiseme nchi gani, wamekuja hapa na kuwa wachuuzi, wanauza duvets. Bw Mukwana na Lee Kinyanjui, tayari tuko na mswada bungeni kuhusu mambo ya biashara. Katika hiyo bill, tumesema kuna biashara mgeni hawezi kufanya hapa Kenya by law. Nataka mketi chini na hawa wafanyabiashara muangalie na tuzibe mianya yote. Isitokee kwamba mtu ametoka China na amekuja kuwa hawker au kuuza duka kidogo hapo. Ichungwa, you don't need any further instructions. Monday muamkie hiyo biashara. Hao wachuuzi wote wanafanya hii biashara kidogo kidogo wafunge na wasipofunga (ashangiliwa) tutafunga. Hatujajenga Investor Confidence ndio watu wakuje kuwa wachuuzi. Tumejenga Investor Confidence ndio watu wakuje kuwekeza," akasema Bw Ruto. Katika maandamano ya Agosti 28, 2026, waandamanaji walikusanyika katika eneo la Archives kabla ya kuelekea makao makuu ya KRA katika jengo la Times Tower katikati mwa jiji. Wafanyabiashara hao walisema mabadiliko ya kiwango kinachotumiwa kukadiria thamani ya bidhaa za uagizaji yameongeza gharama za biashara na kupunguza faida zao. Kwa mujibu wao, KRA imepandisha kiwango cha ukadiriaji kutoka 2.5m hadi 3.2m, hatua wanayodai imeongeza kwa kiasi kikubwa kodi inayolipwa kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, hususan kutoka China. Walisema mabadiliko hayo yamesababisha ongezeko la takriban asilimia 28, huku thamani ya bidhaa kwa madhumuni ya kodi ikiongezeka kutoka Sh2.5 milioni hadi Sh3.2 milioni.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 03 Sep 2026 03:10:00
Harrowing abduction ordeal for Standard Group editor
It was 9:20 pm on Tuesday when Standard Group Senior Editor Alex Kiprotich made his final desperate call to the companys Head of Security, shouting that he was being abducted in Gilgil.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 03 Sep 2026 02:55:31
IEBC, NCIC na Polisi watoa tahadhari kuhusu dalili za hatari uchaguzi mkuu ujao
KENYA inapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027, tayari kuna ishara za hatari zinazoweza kuzua vurugu na kuzamisha nchi katika mzozo wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Vurugu katika mikutano ya kisiasa, matamshi ya chuki, madai ya wizi wa kura, mizozo kuhusu zabuni za mabilioni ya fedha, taarifa za uongo na kupungua kwa imani kwa taasisi za uchaguzi ni baadhi ya changamoto zinazotajwa. Masuala hayo yalijadiliwa jana katika mkutano wa kitaifa wa usalama wa uchaguzi uliofanyika Nairobi. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC), Polisi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) na Idara ya Mahakama zilitahadharisha kuhusu umuhimu wa kujifunza kutokana na machungu ya ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007/08. Ghasia hizo zilisababisha vifo vya zaidi ya watu 1,100, 3,500 kujeruhiwa na hadi 600,000 kuhama makazi yao. Ripoti ya Kofi Annan Foundation ya Electoral Vulnerability Index ya 2026–2027 iliyotolewa Julai ilianika uwezekano wa Kenya kukumbwa na aina fulani ya ghasia zinazohusiana na uchaguzi kuwa asilimia 81.6. Ripoti hiyo ilitaja ukosefu wa imani kwa IEBC, ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira kwa vijana, siasa za ukabila na wasiwasi kuhusu mwenendo wa polisi wakati wa maandamano. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon alisema tume hiyo imekuwa ikielekezewa na madai mazito kutoka kwa viongozi wa kisiasa kuhusu maandalizi ya uchaguzi wa 2027. Alisema madai yasiyothibitishwa yanaweza kudhoofisha imani ya wananchi katika IEBC kabla kampeni hazijaanza kikamilifu. "Tunahitaji kuchunguza ukweli kuhusu baadhi ya madai haya ya ajabu ambayo yanalenga kuwafanya Wakenya waamini kwamba uchaguzi hautakuwa huru na wa haki," alisema. Kauli yake ilijiri baada ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kudai IEBC inapanga kuiba uchaguzi wa 2027 kupitia mfumo mpya wa usimamizi wa uchaguzi. Pia kuna mzozo kuhusu zabuni ya mabilioni ya fedha ya mfumo wa teknolojia utakaotumiwa katika uchaguzi huo. Bw Ethekon alisema IEBC italinda uhuru wake na kupinga juhudi zozote za kudhoofisha uaminifu kwa tume. Alisema hata hivyo IEBC haiwezi kufanikisha uchaguzi wa kuaminika bila ushirikiano wa polisi, mahakama na taasisi nyingine. Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Renson Ingonga alionya kuwa uchunguzi dhaifu na ukosefu wa ushahidi unatatiza juhudi za kuwafungulia mashtaka wahusika wa vurugu za kisiasa na uchochezi. Aliwataka polisi na DCI kukusanya ushahidi unaohusisha washukiwa na uhalifu, wakiwemo wale wanaofadhili au kupanga makundi ya vijana wanaotumika kuvuruga mikutano. Alisema kuwakamata vijana pekee bila kuwafuatilia wanaowafadhili hakutamaliza tatizo. Mwenyekiti wa NCIC, Askofu Kepha Omae, alisema tume hiyo ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa matamshi ya chuki na uchochezi kadiri shughuli za kisiasa zinavyozidi. Alisema NCIC itachukua hatua dhidi ya wanasiasa na Wakenya wengine wanaokiuka sheria kupitia kauli zao. Tume hiyo pia imekuwa ikifuatilia jumbe zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo WhatsApp na TikTok. Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja alisema Polisi wameanza kutekeleza mpango wa usalama wa uchaguzi wa 2027. Jaji Daniel Musinga, aliyekuwa mgeni rasmi, alisema vitisho vipya kama matamshi ya chuki, taarifa za kupotosha, propaganda za kisiasa na matumizi ya teknolojia kuwanyanyasa wanawake kisiasa vinahitaji taasisi mbalimbali kushirikiana.
read moreRight Column Content