kenyanews.go.ke
@kna Thu, 23 Jul 2026 06:04:49
Busia advocates join nationwide strike seeking Judiciary reforms
The Law Society of Kenya (LSK), Busia Chapter, has joined their counterparts across the country in the declared industrial action to demand accountability from the judiciary. Led by their Chairperson, Dollan Nabulindo, the advocates said that the Judiciary has let down the entire justice system due to corruption, lack of accountability, and poor relationships between...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 06:15:22
How to Calculate Diameter of a Cylinder
A cylinder is a three-dimensional shape with two identical circular bases connected by a curved surface. The diameter of a cylinder is simply the diameter of its circular base, which is twice the radius. Knowing how to calculate the diameter of a cylinder is important in mathematics, engineering, construction, plumbing, and manufacturing. Whether you know [...] The post How to Calculate Diameter of a Cylinder appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 06:18:00
How to Calculate Diameter of a Cylinder
A cylinder is a three-dimensional shape with two identical circular bases connected by a curved surface. The diameter of a cylinder is simply the diameter of its circular base, which is twice the radius. Knowing how to calculate the diameter of a cylinder is important in mathematics, engineering, construction, plumbing, and manufacturing. Whether you know [...] The post How to Calculate Diameter of a Cylinder appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 23 Jul 2026 05:55:12
Wahuni ghasia za Ol Kalou hawajashikwa timu ya DCI ikisema 'inasubiri maagizo ya wakubwa'
WAHUNI waliozua vurugu wakati wa uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou bado hawajakamatwa licha ya Rais William Ruto kuagiza maafisa wa usalama kuwasaka wahusika, hali inayozua maswali mapya kuhusu kujitolea kwa serikali kukomesha utamaduni wa kutoadhibiwa kwa wahalifu wa kisiasa. Zaidi ya wiki moja baada ya vurugu hizo zilizogharimu maisha ya watu wawili na makumi ya wengine kujeruhiwa, hakuna mshukiwa aliyetiwa mbaroni, licha ya picha, video na nambari za usajili za magari yanayodaiwa kutumiwa na wahuni kusambazwa mitandaoni na katika vyombo vya habari. Timu maalumu ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) iliyoundwa kuchunguza vurugu hizo haikuwa imeondoka Nairobi kufikia Jumatano jioni, huku maafisa wakisema walikuwa bado wakisubiri maagizo kutoka kwa wakubwa wao. Timu hiyo, inayojumuisha maafisa kutoka Kitengo cha Makosa Makubwa na Kitengo cha Operesheni cha DCI, iliundwa na Mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin kuongoza uchunguzi kuhusu ghasia za uchaguzi huo. Hata hivyo, baadhi ya maafisa waliohusika waliambia Taifa Leo kuwa bado hawajapokea maagizo ya kuelekea Nyandarua. "Hatujapokea maagizo yoyote kutoka kwa wakubwa wetu. Bado tunasubiri," alisema afisa mmoja wa cheo cha juu. Kuchelewa huko kunajiri licha ya Rais Ruto kuagiza hadharani idara za usalama kuwachukulia hatua wahusika wa vurugu za kisiasa. Akizungumza Jumatatu, Rais alisema magenge ya wahuni yanatishia demokrasia nchini na kuagiza polisi kutekeleza sheria bila upendeleo. "Sasa kwa kuwa tumekubaliana, idara zetu usalama lazima zitekeleze wajibu wao kwa mujibu wa sheria na zikomeshe uhalifu. Hivyo ndivyo tutakavyolinda mustakabali wa Kenya," alisema Rais Ruto. Chini ya saa 24 baadaye, Naibu Rais Kithure Kindiki aliunga mkono kauli hiyo akisema vurugu za kisiasa sasa ni tishio kwa usalama wa taifa. Alipokuwa akifungua rasmi Ofisi ya Usajili wa Ardhi ya Kithimani katika Kaunti ya Machakos, Profesa Kindiki aliwaonya wanasiasa dhidi ya kufadhili magenge ya wahuni. "Haijalishi unaunga mkono serikali au upinzani. Usalama na utulivu wa taifa letu ni muhimu zaidi," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 05:34:05
Woman shot and robbed of Sh70,000 in Migori attack
Police in Migori County launched investigations after a middle-aged woman was shot and robbed of cash and mobile phones by unknown assailants in Suna West Sub-County. The victim was attacked on Tuesday at about 8:30 p.m. in Nyangubo area, Oruba Location, police said. According to police, the incident was reported on Wednesday after officers from [...] The post Woman shot and robbed of Sh70,000 in Migori attack appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 05:37:25
Woman found dead in shallow well after failing to return home in Makueni
Police in Makueni County are investigating the death of a 32-year-old woman whose body was found floating in a shallow well after she failed to return home from fetching water. The deceased, identified as Stella Nzilani, had left her home on Wednesday to fetch water from a well in Kyamwele Sub-location, Kee Location, Kilungu Sub-County. [...] The post Woman found dead in shallow well after failing to return home in Makueni appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 05:41:13
Toddler dies after suffering burns in Ruiru kettle accident
Police in Kiambu County are investigating the death of a 17-month-old boy who succumbed to severe burns after he was scalded by boiling water from an electric kettle in Ruiru. The child died on Wednesday morning while receiving treatment at Thika Level Five Hospital. According police, the incident occurred on the evening of July 21 [...] The post Toddler dies after suffering burns in Ruiru kettle accident appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 05:44:36
Man found dead at Githurai bar as police probe suspected stupefying
Police in Kiambu County launched investigations after a man was found dead inside a bar in Githurai 45 in a case suspected to involve stupefying. The incident was reported on Wednesday afternoon by the manager of Marina Lounge, after a customer was found unresponsive several hours after entering the establishment. According to the report, the [...] The post Man found dead at Githurai bar as police probe suspected stupefying appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 23 Jul 2026 04:55:13
EACC kuandama wanaomwaga mamilioni kwenye hafla za uwezeshaji
TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imesema inawafuatilia wanasiasa wanaotumia mamilioni ya pesa katika hafla za uwezeshaji wa wananchi, ikionya kuwa mali waliyotangaza inaweza kufichua iwapo fedha hizo zinatokana na vyanzo halali. Tume hiyo ilisema kutoa fedha taslimu katika mikutano ya kisiasa kumeibua maswali kuhusu iwapo baadhi ya viongozi wanaishi zaidi ya kipato chao kinachojulikana. Katika miezi ya hivi majuzi, viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini na wanaharakati wamekuwa wakitaka serikali ichunguze chanzo cha fedha zinazotolewa katika hafla hizo. Afisa Mkuu Mtendaji wa EACC Abdi Mohamud alisema maafisa wa umma hulazimika kutangaza mali, mapato na madeni yao kila baada ya miaka miwili, jambo litakalowezesha tume kulinganisha mali waliyotangaza na kiasi cha fedha wanachogawa hadharani. "Maafisa wa umma wanatakiwa kutangaza mali yao kila baada ya miaka miwili. Tukigundua kuwa kuna mali ambayo hawawezi kueleza ilivyopatikana, tunafanya uchunguzi na kuwasilisha suala hilo mahakamani ili iamue iwapo ilipatikana kinyume cha sheria," alisema Bw Mohamud. Alizungumza Kisumu Jumanne wakati EACC ilipotangaza kuanza mchakato wa kurejesha ardhi ya Huduma ya Magereza ya Kenya yenye thamani ya Sh4.3 bilioni inayodaiwa kutwaliwa isivyo halali. Bw Mohamud alisema tume ilitoa notisi mnamo Novemba 12, 2025 ikiwataka maafisa wa umma kutangaza mapato, mali na madeni chini ya Sheria ya Migongano ya Maslahi ya mwaka 2025. Kwa mujibu wa notisi hiyo, tangazo hili lilipaswa kuwasilishwa kati ya Novemba 1 na Desemba 31, 2025. EACC pia inatarajiwa kuwataka baadhi ya wanasiasa kueleza chanzo cha fedha wanazotumia katika shughuli hizo na kubaini iwapo ni misaada ya kawaida, kampeni za kisiasa au matumizi mabaya ya nyadhifa za umma. Hata hivyo, Bw Mohamud alisema kubeba fedha taslimu si kosa la jinai. "Kuwa na pesa si kosa. Swali ni, fedha hizo zimetoka wapi? Je, ni matokeo ya uhalifu au zinanuiwa kutoa hongo? Ni lazima fedha zihusishwe na uhalifu kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa," alisema. Katika miezi ya hivi majuzi, viongozi wengi hasa wanaounga mkono serikali jumuishi wamekuwa wakifanya hafla za uwezeshaji katika maeneo mbalimbali wakitoa mamilioni ya fedha. Mfano mmoja ni hafla iliyofanyika Suna Mashariki, ambapo Mbunge Junet Mohamed alitoa Sh10 milioni akiwa amebeba kwenye mkoba mgongoni, huku Rais William Ruto naye akichangia Sh10 milioni. Kwa mujibu wa taarifa za mishahara ya viongozi wa umma, mbunge hupokea mshahara na marupurupu yanayofikia takriban Sh1.45 milioni kwa mwezi.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 23 Jul 2026 04:05:22
Canada's 'powerful' dairy sector is in Trump's trade crosshairs
Canadas dairy industry policy is among the most politically sacrosanct in the country. It has also long been a thorn in the side of Donald Trump. Now, Canadas dairy supply management system is back in the spotlight after the US president singled it out as one of three main irritants used to justify a 50% [...] The post Canadas powerful dairy sector is in Trumps trade crosshairs appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content